polisi wa bongo njaa tupu....
Wameshawahi kukuomba chakula mkuu unaweza ku prove njaa yao au umeshakula kitu cha malawi?
polisi wa bongo njaa tupu....
Huu ubabe wa kupigana pigana huu ndio utaharibu kila kitu; ... hata mjusi ukimkimbiza sana upo uwezekano wa kukugeuzia kibao!
Kama ni sheria basi ifuatwe na kila mtu, sio wengine waonekane kama vile wako juu ya sheria na wengine chini. Utawala wa sheria unasema watu wote ni sawa.
Kumbuka Sugu hakuanza kumpiga Asikari bali alisogea kumlinda m/kiti asidhalilishwe na Polis Ndipo ikatokea songombingo akaamua kujihami baada ya kuona polis hawatumii busara ya Kuchanganya Akili za Ndungai na zao kisha watafakari ndipo waamue lakini walikurupuka tu matokeo yake Sugu akaamua kujihami eti sasa anashitakiwa ! Kumbuka hata sugu ana haki ya kuwashitaki wale polisi kwa kumpiga kwani na wao hawana Haki ya kumpiga mh mbungeTatizo lenu nyinyi mnakula sana majani ya malawi sugu katolewa nje kukosa adabu ndani ya bunge letu la jmt na kashitakiwa kwa kosa lakumpiga askari ambae alikuwa anafanya kazi yake umenielewa wewe mla kitu cha malawi
Laani ni kwa wauuza unga, majangili, wangoa kucha na meno na kwa kingwagala ambae ameshindwa kumtibu baba yake...Haya ndio unayowaambiaga mama na baba yako? Sina shaka wewe una matatizo makubwa ya laana ya wazazi wako.
Dogo ukitaka kunijibu unapaswa kunisoma kwa makini sana ndio utanielewa.Akili za kuambiwa changanya na zako hao Polisi walipaswa kufikiria kabla ya kukurupuka na kufanya maamuzi ya kidhalilishaji kwa mh mbunge ndani ya Bunge ambapo alijihami sasa anashitakiwa kwa kujihami na majanga ya Amri ya Ndungai hivi na yeye akiamua kuwashitaki polis kwa kumpiga mtama na kumkwida mahakamani patatosha ?
Sasa mzifuate hizo sheria za nchi mkivunja sheria lazima mpigwe tu hakuna jinsi
Mwenyewe anajisifia kwa alichofanya na wabunge wako wengi na wengi wala hawajui kwanini wako mjengoni. Sasa vituko kwa kwenda mbele, Deus Kibamba naye kwenye jukwaa lake amewashangaa wabunge kwa kuacha kufanya kazi iliyowapeleka bungeni wanajitishwa jukumu kutunga katiba mpya wakati si kazi yao.
Sugu aombe radhi yaishe mbwembwe zingine za kishamba, ukiangalia post zake FB we question his integrity. Wafuasi wake ndio balaa wao kusifia tu. Hata wakiweka sparling mtu mbili na askari hana upepo huo kutokana walivyombeba kimanumanu alikuwa mwepesi mno.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wanatafuta umarufu ambao hawauwezi;
Kama anapenda ngumu si akaungane na matumla.
Tatizo lenu nyinyi mnakula sana majani ya malawi sugu katolewa nje kukosa adabu ndani ya bunge letu la jmt na kashitakiwa kwa kosa lakumpiga askari ambae alikuwa anafanya kazi yake umenielewa wewe mla kitu cha malawi
Sasa mzifuate hizo sheria za nchi mkivunja sheria lazima mpigwe tu hakuna jinsi
Mnyika, zitto hawakuwahi kutumia nguvu katika ulingo wa siasa pale bungeni bali wanatumia facts ,na ni wanaharakati.
Nimekuelewa vizuri ndio Maana nikasema sheria ni sawa kwa wote kwani pale Sugu alipigwa na yeye akapiga Akiwa na Maana ya kijihami sasa iweje aliyejihami Ndio anashitakiwa?wote wamepigana hadhalani kama ni mashitaka wote washitakiane yaani sugu awashitaki polisi kwa kumpiga na wao wamshitaki kwa kuwapiga japo yy alikuwa akijihamiDogo ukitaka kunijibu unapaswa kunisoma kwa makini sana ndio utanielewa.
yeye na sugu ni sawa.unamfahamu sana Sugu? Kwa hiyo na wewe ni kijana wa hip hop!
ukiwa na gari tu ni rahisi kuiona njaa yao.hii ni njia rahisi zaidi ya kuona njaa ya policcm.Wameshawahi kukuomba chakula mkuu unaweza ku prove njaa yao au umeshakula kitu cha malawi?