SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

Status
Not open for further replies.
ushahidi gani wanaotaka kulikuwa ma kamera mle zinamlika au wanataka wakazichakachue
 
Kinga ni ndani ya bunge sugu kampiga askari nje ya bunge haki sawa kwa wote

ufahamu pls - je viwanja vya bunge havina kinga kama vilivyo viwanja vya balozi za nchi za nje??
 
Sugu kanyanga twende! Ni mbumbu pekee wa sheria kama policcm ndo wanaweza kusema una kesi ya kujibu! Kwa ufupi huna kesi kaka! Peoples' power!
Makamanda leo Mh.Sugu anapelekwa mahakamani mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Sugu anakabiliwa na shitaka la kumtishia kumpiga askari polisi bungeni.

Updates: Sugu karudishwa kwa RCO. RCO anasema uchunguzi haujakamilika kwa hiyo SUGU kaachiwa kwa dhamana hadi hapo atakapoitwa tena.

Updates: Katika kuongea na waandishi wa habari Lisu amesema ni mbumbu wa sheria pekee ndie atakaethubutu kuipeleka kesi hiyo mahakamani kwani inaingilia haki na madaraka ya bunge kikatiba.
 
umechukia sana ehh??

"ni mbumbu wa sheria pekee ndie atakaethubutu kuipeleka kesi hiyo mahakamani kwani inaingilia haki na madaraka ya bunge kikatiba" by Advocate Tundu Lissu.

nimependa jinsi unavyowamwagia hiyo nukuu ya the one and only advocate! Ngoja nami niwagonge nayo kidogo:

"ni mbumbu wa sheria pekee ndie atakaethubutu kuipeleka kesi hiyo mahakamani kwani inaingilia haki na madaraka ya bunge kikatiba" by Advocate Tundu Lissu.
 
Serikali ina utitiri wa wanasheria vilaza wasioweza hata ku-frame kesi, product za hivi vyuo vinavyoota kama uyoga. Itakuwa kichekesho huko mahakamani watakapokutana na wanasheria mahiri kama Lissu.
 
Lisu asijifanye anajua sheria,aache ukichaa wake hivi unaweza ukatenda jinai na kubaki salama kwa madai ya kinga ya bunge,kwa mfano ikitokea mbunge amemchoma mwenzake kisu mdani ya bunge na kumuua,eti hatashitakiwa kw king ya bunge?

kama ni Pinda hata amchune mtu ngozi mle bungeni hawezi kushtakiwa!
 
Na kweli huyo askari alikubali kupigwa na group nzima likabaki linamwangalia Sugu?. Ebu tafakari ukweli hapo je na yule askari aliyempiga Mbunge anachukuliwa hatua gani?
Hv kweli askari anaweza kupigwa na raia? Basi hatuna askari ila wauza sura, na wapigwe tu, mimi nasema wapigeni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom