SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

Status
Not open for further replies.
kama kweli lissu anajua kwamba kupeleka kesi hii mahakamani ni umbumbumbu wa kisheria na pia atakuwa anavunja ama kukiuka katiba iliyopo, basi ni dhahiri kwamba tendo lile lilifanyika kwa makusudi kwa kujua kwamba mbunge ana hiyo kinga.

kama ukiaangalia footage ile, mh. sugu hakuonekana kumtishia askari kwa kuaka kumpiga akiwa ndani ya bunge, ingawa alitolewa nje kwa njia ya kushusha heshima kidogo. ila muendelezo wa footage inaonesha nje ya ukumbu sugu anamvamia askari.. naamini kama kweli wabunge wa upinzani walitoka nje wote ni naweza kuamini kwa njia moja ama nyingine kwamba sugu alishawishiwa kufanya aliyofanya kwa sababu tu kuna kunga ya mbunge ama ndani ya bunge ama kwenye viwanja vya bunge.
kwa upande mwingine, nadhani kamati ya nidham na maadili ya wabunge kama ipo na kufanya kazi basi ni vema ikachukua hatua yake. hatuwezi, binafsi siwezi kukaa na kuona utovu wa nidhamu unaoletwa na baadhi ya wabunge ambao naweza kusema wana upeo mdogo sana kwenye siasa na nyanja zake zote. kutoka kwenye jukwaa lakuimba matusi na kushabikiwa na watu ndo unataka kuleta bungeni

kama ni kweli mh sugu anataka kutetea wanyonge ama kupigania haki kama navyosema, basi ni dhahiri ajenge hoja sio kutumia nguvu kulaimisha umaarufu. aige mfano kwa kina mnyika, slaa, mbowe na hata zitto na lissu pia..

Upstairs huna tofauti na Avatar yako.Sugu was right jino kwa jino!
 
Mkuu achana na huyu jamaa anayejiita Mamndenyi kutwa nikumuita mliberali mwenzake chama ili kuiletea thread shombo

Hiyo michezo ya kiliberal mnayo huko Chadema unakumbuka babu yako alikuwa ni padri wa kikatoliki? Na unajua kashfa inayotingisha kanisa katoliki? Ni ufuksa wa kulawiti vijana wa kiume muulize huyo babu yenu awaeleze ukweli kilichomkimbiza kanisani; mama toto ngoma hiyo unaijua sana kuicheza hata mkao wako unajionyesha!!!
 
Last edited by a moderator:
Nchi hii yaaani tunafanya mambo kama walevi sijui kwa nini
 
Mkuu Pasco.
Unataka kuniambia mbunge akiwa bungeni akimchinja askari au kumpiga risasi analindwa na kinga na cheo chake
Sheria ya "kinga, haki na madaraka ya bunge" inaishia kwa kinachosemwa tuu!, tena kiwe cha kweli!. jinai nyingine zote, zinaendelea kuwa jinai, ile kwa ile ya juzi, Naibu Spika alikosa busara na kumtoa nje KUB katika hali ilisababisha "provocation!", mtu ukishakuwa "provocked!" kitendo chochote utakachokifanya "under provocation" japo ni kosa, linakuwa sio kosa lako, bali la yule aliye ku provoke!, incase Sugu angekuwa na "cha moto!", angemuwasha "yule jamaa!". Kwani kwa "Brother Ditto" ilikuwaje?!.
Pasco.
 
Bro Pasco ukiachana bahasha za kaki wewe ni mtu mhimu sana JF asante sana kwa jibu lako hapo..
 
Last edited by a moderator:
Hiyo michezo ya kiliberal mnayo huko Chadema unakumbuka babu yako alikuwa ni padri wa kikatoliki? Na unajua kashfa inayotingisha kanisa katoliki? Ni ufuksa wa kulawiti vijana wa kiume muulize huyo babu yenu awaeleze ukweli kilichomkimbiza kanisani; mama toto ngoma hiyo unaijua sana kuicheza hata mkao wako unajionyesha!!!

mpaka mikao unaijua utakuwa mliberal wewe..halafu usiingize imani za watu hapa
 
Last edited by a moderator:
Mimi sio lazima nijue sheria za bunge.Tatizo lako wewe shule hujakwenda unasikiliza maneno na kanuni zakwenye vijiwe vya wauza kahawa ndio unaona unajua kanuni rudishule bado huja chelewa hata elimu ya wazee ipo pale kwenu kigogo nenda kama huna ada basi njoo nikupe wende ukapate elimu

bibiee wema una mipasho kweli ! hahaaaah wako wapi pilisisiem na mashtaka yao bandia, nilikuacha ili muda ukuthibitishie uzuzu wako wa mambo madogo kama kanuni na sheria za kinga kwa mbunge, Nyang'au usie na haya , huaongozwa na makalio badala ya kichwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom