SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

Status
Not open for further replies.
Sugu siyo maarufu kama unavyofikiri;
Sugu anakubalika tu kwenye kundi la vijana hasa wale
wanaopenda muziki wa hip hop;

Namfahamu sana sugu; mahali pa heshima nitampa
na akifanya tofauti nitamsema bila hata kumumunya maneno.

Mmh hivi unaweza kukubalika na kundi la watu tena vijana(takwimu za sensa zinaonesha ndio wengi nchini) halafu usiwe maarufu? emu jamani tujaribu kutumia vichwa vyetu kufikiri kwenye ukweli tuseme ukweli.
 
Wema, vipi Diamond yupo?

Unaweza kunatajia elimu ya Mbowe na Lema.

CC; chama. Mamndenyi, THE BIG SHOW,

ccm mmepanic hata hamjielewi tena mnaruka kama kuku asiye na kichwa.

"ni mbumbu wa sheria pekee ndie atakaethubutu kuipeleka kesi hiyo mahakamani kwani inaingilia haki na madaraka ya bunge kikatiba" By Advocate Tundu Lissu.
 
Ni ujing a kumjadili Sugu (maarufu au laa) hapa, hoja kubwa ni kinga ya Mbunge. Kama Pinda alivunja katiba ndani ya Bunge, Ndugai alisema analindwa na Kinga ya Mbunge, kwanini Sugu naye asilindwe na Kinga hiyo hiyo? Kesi hii kama haitapelekwa KiCCM CCM, Sugu atashinda
 
Vijana wengi wa chadema wanatafuta umaarufu kupitia njia za kijinga sana.

Afadhali yao CCM wana tafuta umarufu kwa kuuza : Madawa ya kulevya, wanyama hai, pembe za ndovu, kung'oa waandishi wa habari meno na kuwauuwa kabisa....
 
Sugu siyo maarufu kama unavyofikiri;
Sugu anakubalika tu kwenye kundi la vijana hasa wale
wanaopenda muziki wa hip hop;

Namfahamu sana sugu; mahali pa heshima nitampa
na akifanya tofauti nitamsema bila hata kumumunya maneno.
Kwako wewe nani maarufu, halafu naona siku hizi ubongo wango wako unaadha kuganda....
 
Huyu Bibi Kizee kila kitu chama..

Hivi enzi za ujana wako hukufanya hayo mambo maana unaonekana umekolea sana kwa huyo jamaa wa Gongo la mboto kwa lala,, chama jana kasema ms*enge hata aliwe **Go namna gani hawezi kupata mimba. Na sisi tunafuatilia at your old age a.k.a ajuza nini kimekufanya ukolee kwa chama kiasi kwamba kila dakika unamtaja..

Sugu Moto Chini....
Kamanda unalia wivu.
 
Wanatafuta umarufu ambao hawauwezi;
Kama anapenda ngumu si akaungane na matumla.

au kwako wewe tahira wenu ndiyo maarufu pekee....Kubali kataa Sugu ni maarufu tangu miaka ya '90 enzi hizo anasambaza tape vijiweni ila kwa kuwa umesema unamjua sana, ngoja tukuachiwe wewe unae mjua sana...
 
R.C.O ameona ccm mnaenda kuaibika mahakamani akamuua kuzuga eti ushahidi haujakamilika.

Hivi mna akili kweli?????
CCM wamejaa mapumbavu tu..majangili, wauza sembe,wang'oa kucha,meno na kutoboa macho watanzania..
 
Kamanda unalia wivu.

Huyu bibi anatia aibu, sidhani kama age mate zake akina Getrude Mongella, Anna Abdallah au Anna Makinda wakiona utoto anaofanya huku JF watafurahia.

Kiongozi vipi kuhusu ile meli iliyolipuliwa ikiwa full sembe, naskia nayo una mkono pale?? Au ndio muendelezo wa wabongo kukuzushia kila ishu ya Sembe kuwa ni yako...
 
Sugu siyo maarufu kama unavyofikiri;
Sugu anakubalika tu kwenye kundi la vijana hasa wale
wanaopenda muziki wa hip hop;

Namfahamu sana sugu; mahali pa heshima nitampa
na akifanya tofauti nitamsema bila hata kumumunya maneno.
Umesema utamsema bila kumsema wewe bure kabisa
 
Lisu asijifanye anajua sheria,aache ukichaa wake hivi unaweza ukatenda jinai na kubaki salama kwa madai ya kinga ya bunge,kwa mfano ikitokea mbunge amemchoma mwenzake kisu mdani ya bunge na kumuua,eti hatashitakiwa kw king ya bunge?
 
Mkuu Pasco.

Unataka kuniambia mbunge akiwa bungeni akimchinja askari au kumpiga risasi analindwa na kinga na cheo chake
Ndio maana PM (Pinda ) aliposema polisi wapige tu wananchi hakuna kilichoonekana kama ni kosa hii ni kwa sababu ya kinga. Maajabu kinga iwe kwa Pinda kwa Sugu isiwe kinga.
 
Lisu asijifanye anajua sheria,aache ukichaa wake hivi unaweza ukatenda jinai na kubaki salama kwa madai ya kinga ya bunge,kwa mfano ikitokea mbunge amemchoma mwenzake kisu mdani ya bunge na kumuua,eti hatashitakiwa kw king ya bunge?

Unabishana na sheria ya nchi au???
ni mbumbu pekee atayejidanganya kupeleka kesi ya sugu mahakamani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom