SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

Status
Not open for further replies.
Sugu bangi inampeleka kubaya sana!

Kilicho baki nilwatwanga tu mpaka nanyi muwe na akili. Hongera kamanda waukweli SUGU. Kama kesi ile ya PINDA WALISHINDWA SEMBUSE HII YA HUYU AFANDE MPUUZI MWINGINE. HAKUNA KULALA NI KICHAPO TU MPAKA KIELEWEKE.
 
Migu, Kigwa, Lusinde, Komba ukiwachaganya pamoja bado ni ZERO kabisa Sugu ana afadhali mara mia aisee.... usitazame alikotoka ukamdharau my dear!

Umemsaha na Juma Nkamia! Yani Hawa wote ni majanga makubwa! Sugu ni moto chini! Yani ni mwanaharakati kitambo! Na bado wasubiri 2015 tutakuwa na wabunge kibao bungeni! Alafu moto uleule!
 
Jamhuri si ilimshtak kwa kumuita mkulima "--------" iliisha ile kesi? Inatajwa lini?
 
Mwenyewe anajisifia kwa alichofanya na wabunge wako wengi na wengi wala hawajui kwanini wako mjengoni. Sasa vituko kwa kwenda mbele, Deus Kibamba naye kwenye jukwaa lake amewashangaa wabunge kwa kuacha kufanya kazi iliyowapeleka bungeni wanajitishwa jukumu kutunga katiba mpya wakati si kazi yao.

Sugu aombe radhi yaishe mbwembwe zingine za kishamba, ukiangalia post zake FB we question his integrity. Wafuasi wake ndio balaa wao kusifia tu. Hata wakiweka sparling mtu mbili na askari hana upepo huo kutokana walivyombeba kimanumanu alikuwa mwepesi mno.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Sasa mbona mmeenda kushitaki sasa kama mlimbeba juu juu?
 
Utaponzwa wewe na kutokujitambua kwako;
bibi nilikuzalia baba au mama yako
haaaa ukiwa huku acha kutafuna majani
simama na akili yako we vipi
copy: chama

Hao wanauza sembe na kunywa uji wake hauwaoni wakifika bungeni midomo Yao inageuka Kama Vyoo na kuporomosha matusi bungeni? We unakomaa na Sugu Alafu unasema eti unamfahamu Sugu! Angalia sana usije ukamharibia Ndoa yake! Ni Mh Mbunge huyo na anafamilia yake!
 
Last edited by a moderator:
Wanatafuta umarufu ambao hawauwezi;
Kama anapenda ngumu si akaungane na matumla.

Hujasikia Matumla anafanya biashara ya kusafirisha sembe siku hizi? Hizo ni biashara zenu watu wa ccm Chadema hakuna punda wala container la sembe. Kazi ya Chadema ni kuwaambia watawala ukweli mchungu.
 
Jina lako tu linatosha kukutambua wewe nimtu waaina gani thinking capacity yako ni ndogo sana ushukuru kuwepo kwa JF mnapata elimu ya bure naona hata wewe umeku advanced unaweza hata kutoa comments hapa
Mkuu achana na huyu jamaa anayejiita Mamndenyi kutwa nikumuita mliberali mwenzake chama ili kuiletea thread shombo
 
Last edited by a moderator:
Vijana wengi wa chadema wanatafuta umaarufu kupitia njia za kijinga sana.

Kweli wewe Chamviga! Usikubali kushikwa akili zako namna hiyo! Hapa hakuna mtu kutafuta umaarufu! Katiba ni ya Watz wote na Sio
Mali ya Ccm! Kwanini Ccm hawataki uwepo uwiano sawa katika hili? Hii kesi ni ya kitoto na Kamanda Sugu atashinda tu!
 
Hawa vijana waangalie sana umaarufu wanaoutafuta
utawaponza; chama ongea na vijana wako.

utamwita sana huyo Chama mwaka huu! Hivi huoni aibu, unajitoa ufahamu hadi watu wanaanza kukuita "bibi"!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu achana na huyu jamaa anayejiita Mamndenyi kutwa nikumuita mliberali mwenzake chama ili kuiletea thread shombo

Leo huyu Mamndenyi kanialibia sana siku Yangu! Kusema Rais wa Mbeya anakula majani.....! Au anataka tuwataje wauza sembe bungeni maana wao wameshindwa!
 
Last edited by a moderator:
Naona wanampa Sugu umaarufu wa bure!!Naona kijana nyota yake inawaka!Tena wakili mwenyewe aliyambatana naye anaitwa Tindu Lissu!Umaarufu wa Sugu sasa ni mkubwa kuliko alivyokuwa kwenye bongo fleva! Sugu motochini!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom