Ritz huyu nawasiwasi nae anaweza kuwa mrwanda aliokosa hata elimu ya msingi kwasababu ya vita vilio tokea nchini kwao na yeye alikuwa on the run sasa hata shule hakupata nafasi sasa yupo tanzania kazi yake kupost utumbo na comments zake hazina kichwa wala miguu na nijanga kwa jamii
Kinga ni ndani ya bunge sugu kampiga askari nje ya bunge haki sawa kwa wote
Sugu bangi inampeleka kubaya sana!
Makamanda leo Mh.Sugu anapelekwa mahakamani mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Sugu anakabiliwa na shitaka la kumtishia kumpiga askari polisi bungeni.
wema uliye mtanzania na ukapata elimu zote
unaisaidiaje nchi yako; zaidi ya kutoa maneno machafu
ya kashfa na dharau kama haya;
mtaacha lini kuleta maneno ya vijiweni humu jamvini.
sugu bangi inampeleka kubaya sana!
Sugu siyo maarufu kama unavyofikiri;
Sugu anakubalika tu kwenye kundi la vijana hasa wale
wanaopenda muziki wa hip hop;
Namfahamu sana sugu; mahali pa heshima nitampa
na akifanya tofauti nitamsema bila hata kumumunya maneno.
Utaponzwa wewe na kutokujitambua kwako;
bibi nilikuzalia baba au mama yako
haaaa ukiwa huku acha kutafuna majani
simama na akili yako we vipi
copy: chama
huna hata haya we muhaya, wabibi kama nyinyi mufe tu vijana wenye akili tu-itwae nchi yetu.