SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

Status
Not open for further replies.
Wanatafuta umarufu ambao hawauwezi;
Kama anapenda ngumu si akaungane na matumla.

Akaungane Na Matumla kwani umeambiwa Sugu ni Muuza Sembe? Wauza sembe ndo waungane wakawatoe Kaniki na Matumla huko Nchi za nje wamekamatwa na sembe!
 
Hujasikia Matumla anafanya biashara ya kusafirisha sembe siku hizi? Hizo ni biashara zenu watu wa ccm Chadema hakuna punda wala container la sembe. Kazi ya Chadema ni kuwaambia watawala ukweli mchungu.

Achana Na huyu kibibi Anazeeka vibaya! Ameleta Uzi wake una shombo za kifisiemu Na ameshindwa kutetea anakimbilia huku! Huyu ninamashaka nae! Hayuko sawa!
 
Acha hadithi za hekaya za abunwasi
sugu akikosea ataambiwa na akifanya vizuri
atachanwa mistari hivyo hivyo;

Mamndenyi!
Kama Sugu alipata kura za wafuasi wake wa hiphop tu asingeshinda Ubunge Mbeya!
 
Leo huyu Mamndenyi kanialibia sana siku Yangu! Kusema Rais wa Mbeya anakula majani.....! Au anataka tuwataje wauza sembe bungeni maana wao wameshindwa!

achana na huyo ajuza, Nape alishatuambia wanasubiri kufa! Sugu tumemchagua sisi na anafanya tulichomtuma!
 
ok...hivi lile neno aliloitwa Mh Pinda na sugu ni tusi? maana nimeliandika ila jamaa wameliondoa na kuwa blank

sio tusi ila naona JF wanaogopa mwangwi wa ile confusion! Mbona matusi ya nguoni yanaandikika tu, we jaribu lile la Serukamba uone kama watafuta!
 
kinga ni ndani ya Bunge na eneo zima la bunge (KIWANJA CHOTE)
 
Umaarufu kwa sigh mbona toka kitambo. Wenda auze unga ndo azidi basi. Ataachiwa soon
 
hi kwel ni hatar ktk nchi yetu, hii inaonyesha kaupendeleo ktk chama fulan. Yan kila wiki CDM kuna kesi. Kwanin wasiwaache wezao watulie mbona wenyewe hawafanyiw hivi. Kwakwel mi sipend hi serikar yetu inavyofanya kwa wabumge wa chadema. All the best MR. SUGU najua ni kawaida yako kushinda kes
 
naomba kumjua mchawi aliyeiroga ccm, mbona wana dalili zote za kichawi jamani??? hivi tulitokana wapi na hawa wehu??
 
Tumefika Mahakamani wakatuambia kesi imerudi kwa RCO kwa uchunguzi zaidi. Sugu kaambiwa upelelezi unaendelea hadi hapo atakapoitwa tena.
 
Kupotezeana muda kesi gani hii?
Nia ni kuichafua CDM..hamtafanikiwa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom