Kinga ni ndani ya bunge sugu kampiga askari nje ya bunge haki sawa kwa wote
Kamanda unaniuliza hayo maswali kwani mie polisi? Mie muuza kahawa tu.
Inaonekana umeandika kama vile umetoka kufumaniwa.unaelewaje maana ya ndani na nje ya bunge?kwani walipigiania dodoma Hotel?
Mamndenyi tafadhali tengua kauli,ina maana wanyakyusa wooooooote waliomchagua Sugu wanapenda hip hop?na mbeya yooooote haina wazee na watu wazima ni vijana tu?Acheni ushabiki na uzandiki tuokoe taifa hili toka kwa shetani masisiem na polisisiem.Sugu siyo maarufu kama unavyofikiri;
Sugu anakubalika tu kwenye kundi la vijana hasa wale
wanaopenda muziki wa hip hop;
Namfahamu sana sugu; mahali pa heshima nitampa
na akifanya tofauti nitamsema bila hata kumumunya maneno.
Sugu bangi inampeleka kubaya sana!
Mamndenyi tafadhali tengua kauli,ina maana wanyakyusa wooooooote waliomchagua Sugu wanapenda hip hop?na mbeya yooooote haina wazee na watu wazima ni vijana tu?Acheni ushabiki na uzandiki tuokoe taifa hili toka kwa shetani masisiem na polisisiem.
Hawa vijana waangalie sana umaarufu wanaoutafuta
utawaponza; chama ongea na vijana wako.
Sugu siyo maarufu kama unavyofikiri;
Sugu anakubalika tu kwenye kundi la vijana hasa wale
wanaopenda muziki wa hip hop;
Namfahamu sana sugu; mahali pa heshima nitampa
na akifanya tofauti nitamsema bila hata kumumunya maneno.