Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

Akilindogosana

JF-Expert Member
Jan 12, 2020
2,876
8,697
Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
 
Chanzo Cha Matatizo CCM
 
Hatar Sana mpaka tuseme
 
Ni vzr tuwe open tu.. CDM, ACT, NCCR MAGEUZI, UDP, wala chama cha ma old azz nigga RUNGWE havijawah tawala, So tuwe wawazi CCM ndio main probes!!
 
Upo sahihi.
Lakini kwa upande mwingine kwa nini mpaka leo tumeshindwa kuwatoa ccm madarakani. Maana yake hata sisi tuna akili ndogo sana, hasahasa vyombo vya dola (polisi, jeshi, usalama). Kama vyombo vya dola vingekuwa na watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri, basi wasingekubali kutumika kuiba kura na kuchakachua uchaguzi.

Nawaza nje ya box
 
Pamoja na kuishi kwangu kidogo duniani na kutokuona mengi nilichogundua mataifa yangu ya bara langu zuri na ninalolipenda la Africa lina watu wenye uwezo mdogo wa kupambanua mambo , kama wa Africa tu ndo wangekuepo kwenye dunia hii toka kuanzishwa kwake hadi leo 2023 bhas bado tungekuwa tunavaa kaniki na tunaishi mwituni.
 
Upo sahihi.
Lakini kwa upande mwingine kwa nini mpaka leo tumeshindwa kuwatoa ccm madarakani. Maana yake hata sisi tuna akili ndogo sana, hasahasa vyombo vya dola (polisi, jeshi, usalama). Kama vyombo vya dola vingekuwa na watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri, basi wasingekubali kutumika kuiba kura na kuchakachua uchaguzi.

Nawaza nje ya box

Watumishi wa serikali na viongozi wanatoka kwenye jamii hizi hizi za kwetu. Kama low thinking ni tatizo basi linaanzia ngazi ya familia kabisa.
Hizo tabia wanazo onyesha huko wanatoka nazo kwenye jamii zao
 
Napingana naww kweny hili 👆👆 ipo waz mshind wa urais hatangazw kulingana na kura alizopata!!
Ok Mkuu, hapo maana yake lawama ziende kwa vyombo vya ulinzi na usalama (polisi,jeshi, usalama) maana ndio wanatumika kuchakachua uchaguzi
 
Watumishi wa serikali na viongozi wanatoka kwenye jamii hizi hizi za kwetu. Kama low thinking ni tatizo basi linaanzia ngazi ya familia kabisa.
Hizo tabia wanazo onyesha huko wanatoka nazo kwenye jamii zao
Kumaanisha kwamba kwenye jamii yetu(waafrika) tuna uwezo mdogo wa kufikiri, labda ipo kwenye dna.

Kuna mwanasayansi alishawahi kusema hivyo

Back
Top Bottom