Rai Pazzy
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 493
- 187
GPA huwa ni mwaka mzimaKwa mwaka mzima au semister moja, na je supplementary zinafanyika zote kwa muda mmoja kama baadhi ya vyuo vinavyofanya namaanisha supp za semister ya kwanza na semister ya pili zinafanyika kwa muda mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ilishanitokea kozi nyepesi darasa zima walifaulu isipokuwa Mimi peke angu, kwenye kozi ngumu watu wengi sana wakadondoka sikuamini ilinibidi niwe mvumilivuMkuu unachoongea ni sahihi, kuna ma lecturer walishajiona ni miungu watu. Kuwafelisha wanafunzi kwa makusudi kisa hakupendi tu au umemkwaza somewhere labda hata hujui kama umemkwaza. Unakuja kushangaa tu hafaulu kozi yake, hata kama kozi nyingine zote ume clear
Ndivyo walivyo miungu watu wa elimu hapa tanzaniaHii imewahi nitokea tena mwalimu alikuwa na masomo semister mbili yote kisa demu ambae hata sikuwa na mpango nae
Kizazi cha namna yako ni hatari sana. Hivi fikiri mtu anayeandiliwa kuwa medical doctor, then Wakati wote anaonyesha uwezo mdogo, huyu unataka hadi akaue watu ndo utaona hafai? Pili, kwa taratibu za vyuo vikuu, hakuna mtu ambaye aliwahi kudisco kwa kufeli kozi moja, kama kipo chuo cha namna hiyo tuambie hapa. Mleta mada inaonekana hana uelewa wa uendeshaji wa vyuo vikuu...yaani umeonesha wivu na chuki dhidi ya mtu ambaye amepiga hatua, na ndo kitu kinachosababisha tusiendelee, suala la kudisco kiukweli ni tatizo, regardless u r given a chance to supplement.
Huu ujinga uliondolewa pale Law School of Tanzania na watu wanaojua kufikiri, na baadhi ya vyuo do not entertain this nonsense, utapewa chance ya kusapua until u make it.
So msimbeze huyu jamaa, he's very right
Ndugu yangu siyo disco zote zina sababishwa na kutosoma lecture akihisi una mahusiano na binti aliyemkata shughuli unayo ata kama utamua kukaa mbali na huyo binti ishakuwa chuki daimaVijana someni,acheni starehe.Kama mtu unawajibika uoasavyo huwezi Ku disco
Wacha uongo.tafuta data yakinifu.Yani katika vitu nisivyvielewa hapa duniani tena Tanzania ni swala zima la kudisco MTU anafaulu semester zote halafu anafeli somo moja semester ya mwisho eti anaambiwa amedisco na haruhusiwi omba hiyo course for 3 years au akaanze mwaka Wa kwanza . Mimi hapo sijaelewa hivi somo moja nifute performance ya MTU ya miaka 3. Hivi Nina uhakika maprof wa bongo wamesoma nje wanaelewa system zipoje hivi wanashindwa badilisha huu ujinga. Kwanza hii system inafanya Prof awemungu MTU aamue kufelisha watu au kutaka kuchukua rushwa . naandika hayo baada ya rafiki yangu tuliyesoma,nae high school yeye kuanza first year wakati wenzake tunamaliza,masters.
Namahukuru mungu elimu yangu ya chuo sikusoma bongo na sitokuja soma bongo labda kufundisha.
Tujadiliane kuhusu hili LA kudisco
==============================
UPDATE:
Ngoja niwaelezee system niliyosomea maana watu wananiandama kama Mimi ndo muhusika
Bachelor's nimetumia French education system ambayo kila mwaka unajitegemea l1,l2,l3 so unaweza soma mpaka mwaka Wa pili ukasitisha masomo ukakaa kita kama miaka 2 then ukarudi shule ukaendela l3 au ukahama chuo kabisa . na certificate unaweza omba each year hivyo hivyo kwenye masters
My masters natumia German education system IPO tofauti jua tu unaweza soma kila semester chuo chake na ukapata degree huku ni mwendo Wa semesters.
=========================
Kinachoniuma ni hizo disco za bongo zinatia taifa hasara Sana
Mkuu salaam,Yani katika vitu nisivyvielewa hapa duniani tena Tanzania ni swala zima la kudisco MTU anafaulu semester zote halafu anafeli somo moja semester ya mwisho eti anaambiwa amedisco na haruhusiwi omba hiyo course for 3 years au akaanze mwaka Wa kwanza . Mimi hapo sijaelewa hivi somo moja nifute performance ya MTU ya miaka 3. Hivi Nina uhakika maprof wa bongo wamesoma nje wanaelewa system zipoje hivi wanashindwa badilisha huu ujinga. Kwanza hii system inafanya Prof awemungu MTU aamue kufelisha watu au kutaka kuchukua rushwa . naandika hayo baada ya rafiki yangu tuliyesoma,nae high school yeye kuanza first year wakati wenzake tunamaliza,masters.
Namahukuru mungu elimu yangu ya chuo sikusoma bongo na sitokuja soma bongo labda kufundisha.
Tujadiliane kuhusu hili LA kudisco
==============================
UPDATE:
Ngoja niwaelezee system niliyosomea maana watu wananiandama kama Mimi ndo muhusika
Bachelor's nimetumia French education system ambayo kila mwaka unajitegemea l1,l2,l3 so unaweza soma mpaka mwaka Wa pili ukasitisha masomo ukakaa kita kama miaka 2 then ukarudi shule ukaendela l3 au ukahama chuo kabisa . na certificate unaweza omba each year hivyo hivyo kwenye masters
My masters natumia German education system IPO tofauti jua tu unaweza soma kila semester chuo chake na ukapata degree huku ni mwendo Wa semesters.
=========================
Kinachoniuma ni hizo disco za bongo zinatia taifa hasara Sana
Asante kwa,maelezoMkuu salaam,
Kwanza nikushukuru kwa kuleta uzi huu kwenye jamvi kama hili; uzi ambao utakuwa ni elimu tosha kwa wanafunzi ama wengine wahusikao na elimu ya kitanzania. Nakupongeza sana.
Mimi labda nianze moja kwa moja na suala la disco za kitanzania. Kwa uzoefu nilionao, ku-disco ni kazi ngumu sana kuliko kufaulu. Kwa nini nasema hivi? Kwanza, ni kweli kabisa ulivyosema kuwa, unaweza kushindwa somo (course) moja kisha uka-disco, lakini hujaeleza una-disco vipi. Nitakueleza.
Kuna kitu kinaitwa course works ambazo hutumika kama continuous assessment ya kwenye mtihani wa mwisho, kwa maana ya UE (University Exams). Nikupe uzoefu wa vyuo vya serikali, ambavyo course works zake aghalabu huwa ni 40%, na UE 60% (ingawa mkufunzi/mratibu wa msimbo huo anao uhuru wa kuamua kupandisha zaidi ya hapo na kupunguza alama za UE; anaweza akafanya 50%x50%). Na hizo course works (kabla ya 2015) ilikuwa kwamba, unatakiwa ufikishe 16/40 ili uweze kuingia mtihani wa mwisho wa semester, ingawa kwa sasa kuna mabadiliko kidogo.
Kuipata 16/40 unakuwa umepewa kazi nyingi sana. Kuna kazi za makundi, kuna wasilishaji (presentation), kuna kazi binafsi (individual assignment), kuna quizzes na kuna majaribio. Na kama matokeo ya course works yakiwa mabaya sana, kuna kitu kinaitwa make ups, ili tu ufikishe alama hizo.
Achilia mbali suala kwanza hapo juu, lakini pia ukiingia mtihani wa mwisho wa semester, ukafeli kwa mara ya kwanza, yaani alama chini ya daraja C, basi utarudi kufanya masahihisho, al maarufu kama 'supplementary', utafanya. ukifaulu, basi unaendelea na misimbo mingine. Ukishindwa masahihisho, unabeba kozi (carry over), unafanya kila kitu nilichoanisha hapo juu, kisha unaifanyia mtihani wa mwisho. Ukishindwa tena, unarudi masahihisho. Ukishindwa tena masahihisho, ndipo unabeba kwa mara ya mwisho, ambapo ukishindwa ndipo una-disco.
Sasa, turudi kwenye mada, na kama nilivyosema awali kuwa, ngumu sana chuo ku-disco, na kwa maoni yangu, ku-disco kusielezewe kisiasa, kwamba kuna uonevu, hapana. Ni suala ambalo lina vitu vingi vya kujenga, na kwa kukumbuka kuwa;
(a) chuo hakuna anayekulazimisha kusoma, kuingia darasani ama kuhudhuria semina, ni wewe na ratiba zako. Kwa hiyo kitu kama disco ni vichochezi vya kusoma, ukizingatia kuwa, uhuru bila mipaka, ni fujo.
(b) haiwezekani ushindwe kufukisha course works ndogo kiasi hicho, na bado ushindwe kabisa hatua zote za awali hata ufikie hatua ya ku-disco.
Achilia mbali kushindwa kozi moja kama unavyodai, kuna masuala mengine ambayo yanaweza kumfanya mtu aka-disco kama vile udanganyifu kwenye mtihani, kunakili kazi za kitaaluma, utovu wa nidhamu ambao unakiuka sheria ndogo za chuo husika, na kadhalika.
Narudia tena, ku-disco chuo ni kazi ngumu sana kuliko kufaulu.
Asante!
Shukrani mkuu umetoa elimu iliyojitosheleza , be blessed chief!Mkuu salaam,

Hi usiombe ikutokee. Kuna jamaa yetu alizinguana na lecturer kisa gambe. Walikuwa wanapiga mitungi pombe zikawapanda si wakaanza kuzinguana. Kwa sababu wote walilewa. Kumbe yule lecturer ilimuuma, alichomfanyia jamaa ndicho hicho unachokizungumzia.Mkuu unachoongea ni sahihi, kuna ma lecturer walishajiona ni miungu watu. Kuwafelisha wanafunzi kwa makusudi kisa hakupendi tu au umemkwaza somewhere labda hata hujui kama umemkwaza. Unakuja kushangaa tu hafaulu kozi yake, hata kama kozi nyingine zote ume clear
Mzumbe navojua mm kuwa na sapu mwisho 3 tu, zikifika 4 ni dsicontinuation, yaan at any time of ur studies sapu zisidi 3, na sapu zinafanyika once a year, so ukashinda kuchomoa uka-carry ukija kuchangaya na za mwaka ujao zikifika 4 kwaheri hata kama GPA ni 3Kwa mwaka mzima au semister moja, na je supplementary zinafanyika zote kwa muda mmoja kama baadhi ya vyuo vinavyofanya namaanisha supp za semister ya kwanza na semister ya pili zinafanyika kwa muda mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi ulisoma tena au shule ndo iliishia hapoJamaa ananikumbusha nilivyo Disco
Jikaze siyo mwisho wa maisha
Kudisco ni baada ya mbinu zote za kukusaidia kushindikana au kushindwa kuwasilisha Report ya research
Ama kutokufanya UE
Hapo hauchomoi