Ripoti ya mjadala wa watalaam wa mafuta na gesi Tanzania ulio fanyika tarehe 30/05/2018

Wilinasi Petroleum

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
207
197
TANZANIA OIL AND GAS PROFESSIONALS ASSOCIATION(TOGPA)

RIPOTI YA MJADALA ULIO FANYIKA TAREHE 30/05/2018,
20:00 na kuendeleaa,

AGENDA YA KWANZA
ya 30/05/2018 kuanzia saa 20:00 na kuendelea.
Tulijadili (1) Changamoto ya ajira za mafuta na gesi Tanzania. (2) Tufanyeje ili tuweze kuitatua changamoto hii.

CHANGAMOTO YA AJIRA ZA MAFUTA NA GESI NA JINSI YA KUFANYA ILI KUTATUA CHANGAMOTO HII.

Kutoka mwaka 2013 kumekua na changamoto ya ukosefu wa ajira za mafuta na gesi Tanzania. Mpaka sasa ni kundi kubwa la watalaamu wa mafuta na gesi wenye uzoefu na wasio na uzoefu walioko mtaani, ambao bado hawajapata ajira. Na wapo wengine waliopata ajira lakini sio zile zinazo husiana na mafuta na gesi.

SABABU ZILIZO PELEKEA CHANGAMOTO HII NI NA JINSI YA KUZITATUA.

1) Competence(Umahiri), the major issue from the investor's point of view was incompetency- hii ilikuwa na imebaki kuwa changamoto kubwa sana kwetu watanzania kutokana na kukosa wataalam wa kutosha(managerial and technical).

2). Experience- we lack experience kutokana na sababu nyingi, moja wapo we came late to this party to a point where hata investors prefer other experienced Africans over us (Nigerians, Angolans, sudanese etc)

Kwenye oil and gas kuna vitu vikubwa viwili.
(i) Owners company
(ii) Service provider

Kwanza wewe binafsi unahitaji kujua hawa watu wawili wanafanya shughuli gani! Ili na wewe ujue ujiweke wapi.

Mfano service provider anafanya vitu kama vifuatavyo

i. Cementing
ii. Completion
iii. Wireline services
iv. Seismic services
v. Coiled tubing
vi. Solid control
Etc....

Ni vigumu kujua hivi vitu vinafanyaje kazi ila unaweza ukasoma kupitia internet na kujua kinachoendelea. Baada ya hapo unaweza kuanza kufuatilia service provider company ukaomba kazi hata intern kwa moja wapo ya vipengele tajwa hapo juu.
Na kwa kuwa wengi wetu ni fresh graduates ukifika huko watakufundisha kazi zinavyoenda maana hizi kazi shuleni hawafundishi. Ila hayo makampuni yana vyuo huko watakupeleka na kukufundisha
Pia kila service ina steps mfano wireline unaweza anza kama, associate field professional then ukakua ukawa field professional mpaka general field proffessional.

Kutoka step moja kwenda ingine ni training na kuna mitihani serious ukifeli wanakufukuza kazi.

So unjaribu kuomba kibarua au intern wakati ukijua unachoomba ni nini.

Ila usiombe kama petroleum engineer. We omba eg. Kama solid control engineer, wireline engineer, completion engineer itategemea..... petroleum engineer uliyosoma ita add value kwenye hicho unachoomba .

3) Education system- mfumo wetu wa elimu didnt groom us for the industry and even when it started it was mostly engineering courses which needs alot of practise unlike administrative and managerial positions. These are a few pointers that fall under competency which was one of the major blow to our faces when it comes to O&G industry in and outside our borders

4) Sometimes ni mfumo wa ajira Tanzania sio mzuri. Perhaps they can make changes one day, Kuna makampun ya oil and gas dunian kama Schlumberger wanarecruit graduate ambao hawana experience yaani from chuo afu wanawatrain one year then ndo wanaanza kufanya kazi.
So just imagine this company inarecruit watu wa ichi mbalimbal na kwao kuwatrain sio shida. Hope one day na tz itafanya hii KTU ,maana mi naamini MTU aliegraduate with one year ya training hata miezi sita tu ashaadapt. Lakn hizi issue za 5 years experience sjui ,but hope one day changes will take place. Mi naamini hii industry inatanuka sana

5) Kuto kuapply opportunity za nje, watalaamu wa mafuta na gesi let's apply opportunity za nje ,kuna international opportunity.

6) Course nyingi zinazo fundishwa nchini zipo very specialised, Ndugu zangu na sisi inabid tujiongeze, taaluma zetu ndio bidhaa . So we need to add value to our products, say you've a masters degree in petroleum engineering try and find even an online course on project management,Health and safety,Quality or Environmental auditor.
Ili unapoenda kwenye interview let them know they're not hiring just an engineer. Its an engineer and a half.
Hili ni tatizo jingine, course nyingi zinazo fundishwa nchini zipo very specialised. Wakat mataifa mengine wanakupa course ambayo it gives you variety of options to appoint where if you don't employed in the oil and gas industry basi you can apply the same knowledge in another field.
Again i never got the chance to study higher education in Tanzania but according to my research I came to above conclusion. In the UK even when you are doing a techinical/engineering course you're advised or sometimes forced to do management modules just to give you the flexibility.

7) Watalaam wa mafuta na gas hawachangamkii fursa za kujiajili, you can self employ! I dont mean to plant your own rig but there alot of services needed onshore and offshore. Our 2010 local content policy also supports locals to be priority service providers and to be honest thats about the only policy that makes sense to me.

8) Tatizo la ajira na fursa katika sekita hii ya mafuta na gesi ni tatizo la Kisera zaidi.
Serikali kupitia wizara ya nishati ndio mhimili mkuu wa kutatua tatizo hili. Wizara ya nishati iige wizara zingine mfano wizara ya afya, katika kujali vijana wake wanao maliza mafunzo mbalimbali kutoka vyuo mbalimbali.

(9) Government support, support kutoka serikalini ni ya mhimu sana ili oil and gas industry iweze kuwa stable. Serikali kama kweli ina nia ya kufanya hii industry ikae sawa iwachukue watanzania na kuwaingiza kwenye hizi company kwaajili ya training ili wapate uzoefu kwani kuwapeleka kwenye masters au Phd huko wanasoma theory tu ambayo inafanya kuwa ngumu kwa wao kuweza ajiliwa na international company kwasababu wanakua hawana uzoefu. Ni bora Serikali iwagharamie vijana wawe wanaenda kufanya internship kwenye makampuni makubwa ili wakirudi huko waje, na ujuzi ambao wataufanyia kazi kwa ajili ya maslahi ya taifa. Na pia ujuzi huo utawawezesha wao hata kuajiliwa na national and international private companies iwapo ajira kutoka serikalini itakosekana.
Nigeria ilifanya hivyo miaka ya 50 ndo maana wako vizuri sana. Na kazi wanazijua kweli kweli na hata shirika lao la mafuta na gas liko vizuri sana.

10) Kuondoka kwa makampuni ya kutafuta gesi Tanzania, kwa kuhisi kuwa mazingira sio rafiki.

11) Uchanga wa industry ya mafuta na gesi
Hii industry kwa hapa kwetu, na east Africa kwa ujumla bado haijatengamaa vzurii kwa kweli. Ingawa saizi kumekuwa na mwamko kidogo , kwa nchi zote , saizi msumbiji pale wamegundua gas nyingi sana , Uganda ndio hivyo mafuta kwetu hapa ndio hivyo tumeanza kuonja hata matunda yake ya gas. So I hope ndani ya miaka 10 Ijayo industry hii itakuwa vzurii tu.

Ila kwa sasa nashauri baadhi ya professionals tutafute ajira nchi za nje. ili upate kazi za nje inabidi uwe na GPA nzuri, PASSPORT, NAULI, na
Inabidi ujue kiingereza kwa ufasaha.

12) Siasa zimetumika sana. Sekta ya mafuta ilikua kisiasa zaidi.
Wawekezaji hawajawa na uhakika na mwelekeo wetu. Kama tunavyojua Uwekezaji wake unahitaji gharama kubwa sana. Uganda na Kenya pamoja na kuwa na usalama kiasi lakini mwelekeo wao unaeleweka ndiyo maana makampuni yakaendelea kuwekeza.

Mimi niliajiriliwa kwenye company flan sio eti ntakwenda kutoa ujuzi hapana ilikuwa kisiasa zaidi. Company walituajiri sisi ili wawo waweze kupata tenda kwa kuwa wana certain number of locals.

13) Kwa mda wa miezi 3 niliyofanya kazi kwenye moja ya kampuni za Petroleum inspection.
Niliyojifunza:..
i. Industry iko occupied na watu ambao sio professional yao.. Na hii inatokana na shughuli nyingi zinazofanyika tanzania katika petroleum industry ni downstream activities (transportation, marketing, storage and Retailing).
Industry iko mikononi mwa private stakeholders practiacally..shughuli nyingi serikali ina observe tu!!..

Ahsanteni sana.

Imeandaliwa, na TANZANIA OIL AND GAS PROFESSIONALS ASSOCIATION (TOGPA) .
 
Where,we as Tanzanians, have really gone wrong?????? So, now we all owe to debate about who (the people) and not the issues that these (the) people face???? Thought it would have been the issue of oil and gas sector rather the professionals instead......ooh who taught us this f****** hell????
 
12) Siasa zimetumika sana. Sekta ya mafuta ilikua kisiasa zaidi.
Wawekezaji hawajawa na uhakika na mwelekeo wetu. Kama tunavyojua Uwekezaji wake unahitaji gharama kubwa sana. Uganda na Kenya pamoja na kuwa na usalama kiasi lakini mwelekeo wao unaeleweka ndiyo maana makampuni yakaendelea kuwekeza.
.
...

Hili ndlio tatizo la Tanzania kwa kila "sector",nchi yetu inaendeshwa kisiasa zaidi kuliko kitaaluma,Mtaalamu hana ubavu mbele ya mwanasiasa,..mwenyekiti wa seriklai za mitaa anaweza kuwa ana nguvu za kuliko matalam katika maamuzi...
 
Safi sana kwa huu mrejesho, kuna watu wengi sana wamesoma hizi kozi kwa zile ahadi za bomba la gas, ila sasa naona kipaumbele cha serikali sasa ni Stigla goji. Kama taifa kuna dira flani hivi tunakosa maana kila awamu ikija inakuja na vipaumbele vyake.

Cha msingi nashauri tu watu wasake ajira nje ya nchi, tusiogope kisafiri ingawa najua wabongo wengi wanapenda sana nyumbani. Kampuni kama BBaker Hughes, Schlumnerger, na Halliburton yalileta neema sana kwa vijana Tanzania ila sasa nahisi wamesepa maana wale vijana wengi naona wako kitaa. Tafuteni fursa nje ya nchi.
 
Acha wivu mkuu, kaeleweka.
Sikatai hilo Mkuu,kaeleweka,sioni wivu, lakini ingependeza angemtumia lugha moja, yale maneno ambayo sio rahisi kuyaweka kwenye Kiswahili angeliyaacha kwa kingereza akayawekea "quotation mark"...au angelitumia Kingereza tu,...

Sifikirii kama mwengerea,au mfaransa au msapanishi anaweza kuandika "article" nzuri na yenye maana kama hii kwa lugha ya mseto,kaivunjia hadhi hii "article"
 
TANZANIA OIL AND GAS PROFEASSIONALS ASSOCIATION(TOGPA)

Ahsante sana kwa ripoti nzuri, ngoja tuanze kuifanyia kazi,
 
Sikatai hilo Mkuu,kaeleweka,sioni wivu, lakini ingependeza angemtumia lugha moja, yale maneno ambayo sio rahisi kuyaweka kwenye Kiswahili angeliyaacha kwa kingereza akayawekea "quotation mark"...au angelitumia Kingereza tu,...

Sifikirii kama mwengerea,au mfaransa au msapanishi anaweza kuandika "article" nzuri na yenye maana kama hii kwa lugha ya mseto,kaivunjia haddi hii "article"
Umenijenga sana mkuu, sasa akili yangu imeanza kufunguka, ngoja nianze kuanda passport sasa, na nauli, ili jicho langu litazame kamataifa,
 
Naam, naungana nanyi kwa mengi mliyodiscuss ndiyo uhalisia wa sekta hii nchini, Elimu yetu vyuoni inafundisha kuajiliwa tu badala ya multipurpose, shida kubwa hasa ni FIELD PRACTICAL kwa vijana wetu wa vyuo, zamani ilikuwa rahisi mtu kwenda kwenye field husika ila kwa sasa vijana wanahangaika, wanashindwa kwenda sehemu husika na wakati mwingine muda wa field ni mfupi Sana sababu hawajawezeshwa. Je, kwa namna hii tutegemee vijana walioiva kwa field? La hasha tunapika vijana wasiopikwa vizuri kuingia kwenye soko la ushindani.
Vilevile kila awamu na sera na vipaumbele vyake, hatupo na sera moja yenye kueleweka. Hii ndo ile MILUZI MINGI HUMPOTEZA MBWA.
 
Safi sana kwa huu mrejesho, kuna watu wengi sana wamesoma hizi kozi kwa zile ahadi za bomba la gas, ila sasa naona kipaumbele cha serikali sasa ni Stigla goji. Kama taifa kuna dira flani hivi tunakosa maana kila awamu ikija inakuja na vipaumbele vyake.

Cha msingi nashauri tu watu wasake ajira nje ya nchi, tusiogope kisafiri ingawa najua wabongo wengi wanapenda sana nyumbani. Kampuni kama BBaker Hughes, Schlumnerger, na Halliburton yalileta neema sana kwa vijana Tanzania ila sasa nahisi wamesepa maana wale vijana wengi naona wako kitaa. Tafuteni fursa nje ya nchi.
Your are always positive, ahsante sana,
 
Naam, naungana nanyi kwa mengi mliyodiscuss ndiyo uhalisia wa sekta hii nchini, Elimu yetu vyuoni inafundisha kuajiliwa tu badala ya multipurpose, shida kubwa hasa ni FIELD PRACTICAL kwa vijana wetu wa vyuo, zamani ilikuwa rahisi mtu kwenda kwenye field husika ila kwa sasa vijana wanahangaika, wanashindwa kwenda sehemu husika na wakati mwingine muda wa field ni mfupi Sana sababu hawajawezeshwa. Je, kwa namna hii tutegemee vijana walioiva kwa field? La hasha tunapika vijana wasiopikwa vizuri kuingia kwenye soko la ushindani.
Vilevile kila awamu na sera na vipaumbele vyake, hatupo na sera moja yenye kueleweka. Hii ndo ile MILUZI MINGI HUMPOTEZA MBWA.
Ahsante sanaa, yamefika kaka,
 
  • Thanks
Reactions: ELX
Kumbe ajira? Mimi nilitaka kujua hiyo gesi inatunafaisha vipi kama watanzani. Ajira hata jamaaa wa makinikia walitoa ajira.
 
Ile report iliandaliwa spesheli kwa ajili ya kuwatafuta PAET tuu hamna kitu. Hivyo PAET washapata ujumbe kua 2024 hawana chao. Nimeshangaa TPDC kuna madudu kibao tena ya kutisha ila wamekalia kuwasakama PAET na M&P ujinga mtupu.
 
Ile report iliandaliwa spesheli kwa ajili ya kuwatafuta PAET tuu hamna kitu. Hivyo PAET washapata ujumbe kua 2014 hawana chao. Nimeshangaa TPDC kuna madudu kibao tena ya kutisha ila wamekalia kuwasakama PAET na M&P ujinga mtupu.
Mkuu Hili ni Jukwaa Huru na Great thinkers,
Kwa Faida ya Wadau wengine Ungeandika Hayo Madudu Mkuu ili tujimwage tuyachambue....kuliko Sasa hivi Tunaishia One side Tuu...leta Vitu Mkuu!
 
Back
Top Bottom