Suala la kudisco vyuoni Tanzania

Suala la kudisco vyuoni Tanzania

Watu wasingemaliza chuo mkuu, kama alikua na carry akashindwa kuchomoa sawa... lakini kama kafeli somo moja kwa semester hawezi kudisco, na ndio swala alilokuwa anazungumzia mtoa mada wa kwanza
Kwani mkuu ukiwa na carry ukashindwa kuchomoa linakuwa ni somo moja au ??
Ndio somo moja analomaanisha mtoa maada
 
Mkuu hapa umedanganya au rafiki yako kakudanganya. Hakuna mtu anaweza disco kwa kufail somo moja tu.
Kudisco maana yake mtu hajafikisha GPA kiasi flani.
 
Mtoa Mada hajaiweka mada vizuri alafu wafu wanamshambulia jamaa kaja na point muhimu sana. Ni kwamba kwanini kufeli kwa mwaka mmoja masomo maybe matatu kukufanye udiscko..kwanini mtu atleast asirudie mwaka au arudie mwaka yale masomo alofel ila sio kudisco..
 
Mtoa Mada hajaiweka mada vizuri alafu wafu wanamshambulia jamaa kaja na point muhimu sana. Ni kwamba kwanini kufeli kwa mwaka mmoja masomo maybe matatu kukufanye udiscko..kwanini mtu atleast asirudie mwaka au arudie mwaka yale masomo alofel ila sio kudisco..
Umenielewa vizuri mkuu
 
Mtu ana kozi nne na sup upate tatu hiyo 3.5 utaipata wapi??
Inawezekana bro, kuna vyuo discontinuation inaangalia idadai ya failed subjects, mfano Chuo una disco ukiwa na failed courses nne, sasa unakuta mtu first alkuwa na sup 3, na hakusapua, aka-carry,second year semester one anapata GPA ya 3.5 lakini anapata sup moja, plus zile 3 za previous year anakuwa amedisco. hicho ndicho alichomaanisha jamaa kuwa unakuta mtu na GPA ya 3.5 na s/he gets discontinued.
 
Mkuu hapa umedanganya au rafiki yako kakudanganya. Hakuna mtu anaweza disco kwa kufail somo moja tu.
Kudisco maana yake mtu hajafikisha GPA kiasi flani.
discontinuation sio lazima kwa kipimo cha GPA tu, hata kwa idadi ya failed subjects(courses)
 
GPA yoyote utakayoipata kama ukishindwa kuchomoa carry over ya somo moja unaondoka chuoni
Ni kweli. Tatizo watu huwa hawazielewi examination regulations!! Ni lazima kufaulu CORE courses zote!!! Hata kama una GPA ya 4, lakini kozi moja ikakushika, ukasapu ukashindwa kusapua. Ukacarry lakini ukasapu tena na ukashindwa kusapua, hapo ni bye bye!!!! Of course wengi huchomoa katika mchakato huu, lakini ukishindwa unaondoka!!
 
Muhas ukifaulu semester tatu I mean mbili za first year na moja ya second year ila ukapata 3 sups za semester ya NNE unadisco no matter ur GPA in that and thoz previous semesters.... Vyuo vngne nuksi sana
Sawa!! Hakuna supplimentary ya kurudisha uhai wa mtu!!! Kwa nini ufeli kozi zote tatu!!! Ni kuepusha majanga mahospitalini!!!
 
Yani katika vitu nisivyvielewa hapa duniani tena Tanzania ni swala zima la kudisco MTU anafaulu semester zote halafu anafeli somo moja semester ya mwisho eti anaambiwa amedisco na haruhusiwi omba hiyo course for 3 years au akaanze mwaka Wa kwanza . Mimi hapo sijaelewa hivi somo moja nifute performance ya MTU ya miaka 3. Hivi Nina uhakika maprof wa bongo wamesoma nje wanaelewa system zipoje hivi wanashindwa badilisha huu ujinga. Kwanza hii system inafanya Prof awemungu MTU aamue kufelisha watu au kutaka kuchukua rushwa . naandika hayo baada ya rafiki yangu tuliyesoma,nae high school yeye kuanza first year wakati wenzake tunamaliza,masters.
Namahukuru mungu elimu yangu ya chuo sikusoma bongo na sitokuja soma bongo labda kufundisha.
Tujadiliane kuhusu hili LA kudisco

==============================
UPDATE:
Ngoja niwaelezee system niliyosomea maana watu wananiandama kama Mimi ndo muhusika
Bachelor's nimetumia French education system ambayo kila mwaka unajitegemea l1,l2,l3 so unaweza soma mpaka mwaka Wa pili ukasitisha masomo ukakaa kita kama miaka 2 then ukarudi shule ukaendela l3 au ukahama chuo kabisa . na certificate unaweza omba each year hivyo hivyo kwenye masters
My masters natumia German education system IPO tofauti jua tu unaweza soma kila semester chuo chake na ukapata degree huku ni mwendo Wa semesters.
=========================
Kinachoniuma ni hizo disco za bongo zinatia taifa hasara Sana
No research no right to speak.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu ya chuo ukiwa vizuri na walimu au mkuu wa chuo huwezi feli kabisa kule GPA wanagawana kama njugu tu kuna chuo kimoja raisi wake kipindi anaanza chuo alipata sup 2 mwaka unaofuata akaama coz na ajapata GPA 2.5 first semister ikawa hana uwezo wa kugombea uraisi akatoa laki 2 second semister wakampa 3.5 sahivi ni raisi wa chuo flani huko Dodoma
 
Kwani mkuu ukiwa na carry ukashindwa kuchomoa linakuwa ni somo moja au ??
Ndio somo moja analomaanisha mtoa maada
Mkuu hata hilo somo moja sio kwa semester moja ndo udisco.
Ukifeli somo utarudia supplementary exam, ukishindwa utacarry somo mwaka ujao na utalisoma tena kwa semster nzima na kulifanyia mtihani( hapa zinakuwa semester mbili somo moja), ukishindwa kufaulu tena utapewaa nafasi ya supplementary nyengne, ukishindwa tena kwenu. Ndivyo ilivyo.

Mtoa mada yeye kasema unafeli somo moja ndani ya semester moja ndo unadisco kitu ambacho sio kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii haiko applicable kwa vyuo vyote, kwa mfano Mzumbe ukiwa na supp 3 au 4 kwa mwaka hata kama una gpa above 1.8 unadisco, muhas hivyo hivyo, udom wanatumia 1.8
Kwa mwaka mzima au semister moja, na je supplementary zinafanyika zote kwa muda mmoja kama baadhi ya vyuo vinavyofanya namaanisha supp za semister ya kwanza na semister ya pili zinafanyika kwa muda mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom