Suala la kudisco vyuoni Tanzania

edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
5,395
2,000
Yani katika vitu nisivyvielewa hapa duniani tena Tanzania ni swala zima la kudisco MTU anafaulu semester zote halafu anafeli somo moja semester ya mwisho eti anaambiwa amedisco na haruhusiwi omba hiyo course for 3 years au akaanze mwaka Wa kwanza . Mimi hapo sijaelewa hivi somo moja nifute performance ya MTU ya miaka 3. Hivi Nina uhakika maprof wa bongo wamesoma nje wanaelewa system zipoje hivi wanashindwa badilisha huu ujinga. Kwanza hii system inafanya Prof awemungu MTU aamue kufelisha watu au kutaka kuchukua rushwa . naandika hayo baada ya rafiki yangu tuliyesoma,nae high school yeye kuanza first year wakati wenzake tunamaliza,masters.
Namahukuru mungu elimu yangu ya chuo sikusoma bongo na sitokuja soma bongo labda kufundisha.
Tujadiliane kuhusu hili LA kudisco

==============================
UPDATE:
Ngoja niwaelezee system niliyosomea maana watu wananiandama kama Mimi ndo muhusika
Bachelor's nimetumia French education system ambayo kila mwaka unajitegemea l1,l2,l3 so unaweza soma mpaka mwaka Wa pili ukasitisha masomo ukakaa kita kama miaka 2 then ukarudi shule ukaendela l3 au ukahama chuo kabisa . na certificate unaweza omba each year hivyo hivyo kwenye masters
My masters natumia German education system IPO tofauti jua tu unaweza soma kila semester chuo chake na ukapata degree huku ni mwendo Wa semesters.
=========================
Kinachoniuma ni hizo disco za bongo zinatia taifa hasara Sana
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,419
2,000
Yani katika vitu nisivyvielewa hapa duniani tena Tanzania ni swala zima la kudisco MTU anafaulu semester zote halafu anafeli somo moja semester ya mwisho eti anaambiwa amedisco na haruhusiwi omba hiyo course for 3 years au akaanze mwaka Wa kwanza . Mimi hapo sijaelewa hivi somo moja nifute performance ya MTU ya miaka 3. Hivi Nina uhakika maprof wa bongo wamesoma nje wanaelewa system zipoje hivi wanashindwa badilisha huu ujinga. Kwanza hii system inafanya Prof awemungu MTU aamue kufelisha watu au kutaka kuchukua rushwa . naandika hayo baada ya rafiki yangu tuliyesoma,nae high school yeye kuanza first year wakati wenzake tunamaliza,masters.
Namahukuru mungu elimu yangu ya chuo sikusoma bongo na sitokuja soma bongo labda kufundisha.
Tujadiliane kuhusu hili LA kudisco
Hakuna kitu kama hicho labda kama ni disco abscond
 
Iruru

JF-Expert Member
Jan 27, 2014
782
1,000
Mkuu chuo gani ukifeli somo moja una disco?
Huu utaratibu utakuwa ni mpya kwasisi vijana wa zamani haukuwepo. Nachojua ukifeli somo moja unaenda kufanya sup, ukifeli unarudia mwakani ktk term husika mpk utakapo isapua.
Huu ndo ukweli, tatizo huyu jamaa inaonekana hana ufahamu juu ya taratibu za vyuo vikuu. Hii kusema ana master ni kujisifia ila nadhani ndiye aliyefeli na kwa uandishi wenye uelewa wa namna hii naona alistahili.
 
edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
5,395
2,000
Huu ndo ukweli, tatizo huyu jamaa inaonekana hana ufahamu juu ya taratibu za vyuo vikuu. Hii kusema ana master ni kujisifia ila nadhani ndiye aliyefeli na kwa uandishi wenye uelewa wa namna hii naona alistahili.
Nisingekuja lalamika if it was me.. Ila naona mnatetea mifumo ya kijinga
 
mjumbe wa bwana

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
4,036
2,000
mkuu leo UDOM SR imetema nahisi wamekulokota ila sio kesi nakumbuka kuna demu alidakwa na kibuti 3 year tena ulikuwa ndo dk za mwisho na kwake ulikuwa ndo mtiani wa mwisho.
Ku disco kuna changiwa na mengi kwahio kama amekushika jipange tu kuchukuwa matokeo ya hizo semister uliofaulu uombe kumalizia nayo mwaka wa 3
 
edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
5,395
2,000
Hakuna disco inayoweza kutokea mpka mwanafunzi awe na below gpa kwa mfano below 1.8 hiyo ni disco na haiwezi kutokea kwa kufeli somo moja, hiyo ya jamaa yako kufeli somo moja then mtu adisco bila kufanya supplimentary, bila carry over sijui imekuaje
OK labda nimekosea Ila Mimi nikachonishangaza kufeli semester moja kinakufanya ufute miaka yote ya nyuma
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom