Suala la kudisco vyuoni Tanzania

Barua unachukua chuoni unakuta imeshaandaliwa kabisa nikupachika tu jina, kisha unawapelekea tcu wanakutoa kwenye system. Ila mkopo ndio Hatopata helsb.

Hii ishu hata kama ulipangiwa chuo, hutaki kwenda lazima ukachukue barua, upeleke tcu wakutoe. Ili mwaka unaofata uapply kama member mpya
Kama ulisoma degree ukamaliza then unataka kusoma degree tena chuo kingine degree ya aina nyingine lazima uwajulishe TCU kuwa una degree Tayari?
 
Naombeni ushauri jamani..mm nimwnafnzi wa udom 1yrs..ad sasa nina carryover under16 mbili na sup 3.matokeo ya semester ya pili bado ayajatoka..but kwa hari hii nakata tamaa kabisa nahisi kudisco.
Kafanye clearance ya hizo supu tatu.....najua utakuwa umejifunza wapi uliteleza cha msingi kakomae bado nafasi unayo kama ukijiamini na kutokata tamaa mapema hivyo...mwaka wa kwanza bata zinakuwaga nyingi halafu course zinakuwa nyepesi ila zinakuwa na trick nyingi so kufeli ni kawaida kama umakini ukiwa mdogo....Hata mm nakumbuka kuna course moja ya LG 106 ( communication skills) Alikuwa mwalimu mmoja anaitwa ndabakulane alishaondokaga nahisi, paper zake zilikuwa nyepesi ila sheria kali hatari so unajikuta hata 16 hupati na wakati huo hiyo sheria kama hujatimiza 16 unacarry waliifuta so ikawa neema....
Kuanza kufanya application upya ni changamoto maaana kila mwaka fresher's wanaongezeka so unaweza ukajikota unakosa nafasi uliyokuwa unaitaka...
 
Jamaa ananikumbusha nilivyo Disco

Jikaze siyo mwisho wa maisha
Kudisco ni baada ya mbinu zote za kukusaidia kushindikana au kushindwa kuwasilisha Report ya research
Ama kutokufanya UE
Hapo hauchomoi
Unanitisha dada ulidisco Ardhi University ilikuwaje maana ndo naelekea uko kuanza mwaka
 
Huu ndo ukweli, tatizo huyu jamaa inaonekana hana ufahamu juu ya taratibu za vyuo vikuu. Hii kusema ana master ni kujisifia ila nadhani ndiye aliyefeli na kwa uandishi wenye uelewa wa namna hii naona alistahili.
Hahahaha kweli mkuu hata mm nimehis hivyo
 
UDOM wanamfumo mbovu sana mimi nilidisco apo tena sababu ya li lecturer limoja Mungu alisamehe lile jamaa ni mnafiki wa kiwango cha juu sana alinisababishia matatizo makubwa sana ya kiafya sababu ya stress yani siwezi kuja sahau

Maisha yangu sikuwahi experience maumivu ya kufail kwa mara ya kwanza niliya experience chuoni, case yangu ilikuwa ya kijinga sana mpaka Leo Huwa najiuliza kwanini lile lilitokea lakini Sina Budi mshukuru Mungu mana nimejifunza mengi mambo mengi sana yamefunguka baada ya kile kipindi kigumu kupata

Thank God Nina bachelor yangu Toka UDSM Sasa and am proud of it
Samahan hivi kwa mfano kama ulikuwa unasoma bila mkopo ukashindwa kulipa ada then ukahitaj kufuta usajili chuo husika wakakwambia ulipe ada ya mwaka mzima wa masomo na umesoma semester moja ukashindwa kulipa je wakifanya overall utakuwa umedisco au inakuaje
 
Back
Top Bottom