ndege joni
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 673
- 1,083
UkweliBasi alikudanganya,iko hivi kwa vyuo vya bongo ukiwa na GPA ya 1.8 utaruhusiwa kufanya sup chini ya hapo unadisco,na baada ya sup GPA yako itakiwa kuwa 2.0kupanda ,chini ya hapo ni disco,kama una 2.0 lakini bado kuna masomo,hukupata pass basi unarudia mwaka,kwa mfumo huo hata kama soma lina point nyingi bado huwezi kudisco,kwa vyuo vingi masomo huwa 7-12 kwa semester moja,hata kama utapata ziro masomo mawili bado GPA yako haiwezi kuwa chini ya 1.8,elimu ya bongo kweli inamatatizo lakini sio kwa kiwango hicho,huo ni uongo