Suala la kudisco vyuoni Tanzania

Suala la kudisco vyuoni Tanzania

Hiyo semister moja alifeli masomo mangapi na alipata gpa ya ngapi
Muhas ukifaulu semester tatu I mean mbili za first year na moja ya second year ila ukapata 3 sups za semester ya NNE unadisco no matter ur GPA in that and thoz previous semesters.... Vyuo vngne nuksi sana
 
Hakuna disco inayoweza kutokea mpka mwanafunzi awe na below gpa kwa mfano below 1.8 hiyo ni disco na haiwezi kutokea kwa kufeli somo moja, hiyo ya jamaa yako kufeli somo moja then mtu adisco bila kufanya supplimentary, bila carry over sijui imekuaje
Mkuu nilidisco Na 3.5 GPA hili lipo sana aseh namshukuru Mungu nimeshasahau Yale maumivu maisha yanaendelea
 
UDOM watu wanaondoka kisa kushinda kuchomoa carry over..
Ukishindwa kufikisha passmark ya somo una pata sup usipochomoa sup unacarry kusipochomoa carry unaenda kwenu
UDOM wanamfumo mbovu sana mimi nilidisco apo tena sababu ya li lecturer limoja Mungu alisamehe lile jamaa ni mnafiki wa kiwango cha juu sana alinisababishia matatizo makubwa sana ya kiafya sababu ya stress yani siwezi kuja sahau

Maisha yangu sikuwahi experience maumivu ya kufail kwa mara ya kwanza niliya experience chuoni, case yangu ilikuwa ya kijinga sana mpaka Leo Huwa najiuliza kwanini lile lilitokea lakini Sina Budi mshukuru Mungu mana nimejifunza mengi mambo mengi sana yamefunguka baada ya kile kipindi kigumu kupata

Thank God Nina bachelor yangu Toka UDSM Sasa and am proud of it
 
Pole mkuu na hongera kwa kutokukata tamaa maana wengine waki disco wanaona maisha yameishia hapo
 
Pole sheria zibadilishwe yani kama french system after every exams matokeo yakitoka mnakuja kagua mwalimu alivyosahihisha mnabishana mbona umenipunja maksi hapa . yani hakuna beef unamkosoa ticha hata kama upo wrong anakusahihisha life linasonga mbele . yani in short wanafunzi ni maboss Wa walimu
 
Mkuu chuo gani ukifeli somo moja una disco?
Huu utaratibu utakuwa ni mpya kwasisi vijana wa zamani haukuwepo. Nachojua ukifeli somo moja unaenda kufanya sup, ukifeli unarudia mwakani ktk term husika mpk utakapo isapua.

Yes, that is kiongozi. Na tena vile vyuo ambavyo viko chini ya NACTE (vinafundisha kufuata mfumo wa CBET) hata ufeli module zote za semester husika, huwezi ku - disco, utazirudia upya next academic year kwenye semester husika.
 
Pole mkuu na hongera kwa kutokukata tamaa maana wengine waki disco wanaona maisha yameishia hapo
Acha tu mkuu imagine imepita miaka mitano Sasa lakini Yale maumivu Huwa nayakumbuka nilisafiri Toka dsm mpaka Dodoma kwenye gari nalia kama mtoto mdogo

Nadhani taratibu zipitiwe upya mamlaka waliyopewa Hawa ma lecturer ni makubwa sana kuna watu hawana busara kabisa kwenye hizi taasisi wapo kwa ajili ya kuhakikisha wanaharibu ndoto za wengine

We jamaa kama upo apa unasoma comments zangu asante sana sikuwahi kuelewa kwanini ulifanya vile lakini Sasa naelewa kila Jambo linasababu kwenye maisha
 
UDOM wanamfumo mbovu sana mimi nilidisco apo tena sababu ya li lecturer limoja Mungu alisamehe lile jamaa ni mnafiki wa kiwango cha juu sana alinisababishia matatizo makubwa sana ya kiafya sababu ya stress yani siwezi kuja sahau

Maisha yangu sikuwahi experience maumivu ya kufail kwa mara ya kwanza niliya experience chuoni, case yangu ilikuwa ya kijinga sana mpaka Leo Huwa najiuliza kwanini lile lilitokea lakini Sina Budi mshukuru Mungu mana nimejifunza mengi mambo mengi sana yamefunguka baada ya kile kipindi kigumu kupata

Thank God Nina bachelor yangu Toka UDSM Sasa and am proud of it
Hebu elezea kidogo huo mkasa mkuu
 
Kwa mtu mwenye Masters ulipaswa kufanya uchunguzi kabla ya kuleta mada, kwa Tanzania haiwezekani kufeli somo moja then ukadisco, hakunaga kitu kama hicho Tz.
 
Naona mnamshambulia mleta uzi kwa kuwa labda wengi hatujui mifumo ya Elimu ktk vyuo vyetu, na pia mleta mada hajaweka vzr points zake. Kuna vyuo hapa bongo 3rd year wanafanya project, ukifeli hiyo project haina supplimentary, unakuja kuiridia mwaka unaofuata 2nd semester, so ukakae home mwaka mzima, upambane kivyako, na ukija kuiridia ukifel tena ni DISCONTINUATION, end of story. so, hiiv vitu vipo sana tu. kuna vyuo pia ukiwa na jumla ya supplementary nne, at any time ni DISCONTINUATION, yaan mfano 1st year una sup 2 ukashindwa kuzitoa, ukaja 2nd year ukapata zingine 2 na zile 2 jumla 4 off u go, hata kama una GPA ya 2.9. so, kuna systema nyingi ambazo sio favaorable, tusibishe bila hoja
 
Mkuu ulichoweka ni tofauti na alicholeta mleta mada-yeye kaongelea kufeli somo moja na kupigwa disco.
 
Okay Mkuu. Ila mfumo wa Vyuo Vyetu sio fair kwa namna fulani ktk determination ya discontinuation, wkt wao wengi wa walimu wamesoma nje ktk mifumo favourable
 
Okay Mkuu. Ila mfumo wa Vyuo Vyetu sio fair kwa namna fulani ktk determination ya discontinuation, wkt wao wengi wa walimu wamesoma nje ktk mifumo favourable[/QUOTE]

Ukweli ni kwamba walimu wengi wamesoma Tanzania degree zao za kwanza. Kudisco kuko hata huko kwa wenzetu labda tuseme mazingira yetu ya kusomea ni magumu zaidi. Serikali za wanafunzi zinaweza kupigania hili (sio rahisi lakini inawezekana) kwa kuwa na data zilizoshiba.
 
Yani inakuwa kama adhabu eti asiapply hiyo course for 3 years halafu aanze first year. Hii inafanya prof awe na nguvu juu ya future ya,wanafunzi maana akikufelisha unaanza upya
yaani kwa dada zetu hapa kuchomoa kwa prof ni ngumu
 
Kwa mtu mwenye Masters ulipaswa kufanya uchunguzi kabla ya kuleta mada, kwa Tanzania haiwezekani kufeli somo moja then ukadisco, hakunaga kitu kama hicho Tz.
Unaongelea Tanzania gani??
Au wewe ulisoma miaka gani?
Maana mpaka sasa hivi (week hii) watu wamedisco sababu ya somo moja
 
Watu wasingemaliza chuo mkuu, kama alikua na carry akashindwa kuchomoa sawa... lakini kama kafeli somo moja kwa semester hawezi kudisco, na ndio swala alilokuwa anazungumzia mtoa mada wa kwanza
 
Back
Top Bottom