Suala la kudisco vyuoni Tanzania

Suala la kudisco vyuoni Tanzania

Lazima watoto wawe na adabu sio kila siku disco halafu wanataka wafaulu bure bure tu.
 
Huu ndo ukweli, tatizo huyu jamaa inaonekana hana ufahamu juu ya taratibu za vyuo vikuu. Hii kusema ana master ni kujisifia ila nadhani ndiye aliyefeli na kwa uandishi wenye uelewa wa namna hii naona alistahili.
...yaani umeonesha wivu na chuki dhidi ya mtu ambaye amepiga hatua, na ndo kitu kinachosababisha tusiendelee, suala la kudisco kiukweli ni tatizo, regardless u r given a chance to supplement.

Huu ujinga uliondolewa pale Law School of Tanzania na watu wanaojua kufikiri, na baadhi ya vyuo do not entertain this nonsense, utapewa chance ya kusapua until u make it.

So msimbeze huyu jamaa, he's very right
 
Hiyo semister moja alifeli masomo mangapi na alipata gpa ya ngapi
It doesn't matter, students should be given a chance to try n try, this is a human nature

Let them try n try, in life tumeona watu wakijaribu na kujaribu na kujaribu mpaka wanafanikiwa, na tunashauriwa tusikate tamaa, so why this policy should not be applied in academic sectors? Ingawa siyo kwa vyuo vyote
 
Ukoloni mamboleo utatutafuna sana piga taswira wanafunzi wa bongo wanavyo teseka katika ngazi zote.Walimu wa bongo wanakomaa kama vile unaugomvi nao mfano unaulizwa swali kwa kuficha maana halisi ili upotoke!!
ili mradi kukomoana tuuu..
 
Hakuna disco inayoweza kutokea mpka mwanafunzi awe na below gpa kwa mfano below 1.8 hiyo ni disco na haiwezi kutokea kwa kufeli somo moja, hiyo ya jamaa yako kufeli somo moja then mtu adisco bila kufanya supplimentary, bila carry over sijui imekuaje
Hii haiko applicable kwa vyuo vyote, kwa mfano Mzumbe ukiwa na supp 3 au 4 kwa mwaka hata kama una gpa above 1.8 unadisco, muhas hivyo hivyo, udom wanatumia 1.8
 
Aaaaaa aaa nimeelewa sasa...nilidhani disco lile la kuwakaribisha F-year kila mwaka.
 
It doesn't matter, students should be given a chance to try n try, this is a human nature

Let them try n try, in life tumeona watu wakijaribu na kujaribu na kujaribu mpaka wanafanikiwa, na tunashauriwa tusikate tamaa, so why this policy should not be applied in academic sectors? Ingawa siyo kwa vyuo vyote
Yani inakuwa kama adhabu eti asiapply hiyo course for 3 years halafu aanze first year. Hii inafanya prof awe na nguvu juu ya future ya,wanafunzi maana akikufelisha unaanza upya
 
Yani katika vitu nisivyvielewa hapa duniani tena Tanzania ni swala zima la kudisco MTU anafaulu semester zote halafu anafeli somo moja semester ya mwisho eti anaambiwa amedisco na haruhusiwi omba hiyo course for 3 years au akaanze mwaka Wa kwanza . Mimi hapo sijaelewa hivi somo moja nifute performance ya MTU ya miaka 3. Hivi Nina uhakika maprof wa bongo wamesoma nje wanaelewa system zipoje hivi wanashindwa badilisha huu ujinga. Kwanza hii system inafanya Prof awemungu MTU aamue kufelisha watu au kutaka kuchukua rushwa . naandika hayo baada ya rafiki yangu tuliyesoma,nae high school yeye kuanza first year wakati wenzake tunamaliza,masters.
Namahukuru mungu elimu yangu ya chuo sikusoma bongo na sitokuja soma bongo labda kufundisha.
Tujadiliane kuhusu hili LA kudisco

==============================
UPDATE:
Ngoja niwaelezee system niliyosomea maana watu wananiandama kama Mimi ndo muhusika
Bachelor's nimetumia French education system ambayo kila mwaka unajitegemea l1,l2,l3 so unaweza soma mpaka mwaka Wa pili ukasitisha masomo ukakaa kita kama miaka 2 then ukarudi shule ukaendela l3 au ukahama chuo kabisa . na certificate unaweza omba each year hivyo hivyo kwenye masters
My masters natumia German education system IPO tofauti jua tu unaweza soma kila semester chuo chake na ukapata degree huku ni mwendo Wa semesters.
=========================
Kinachoniuma ni hizo disco za bongo zinatia taifa hasara Sana
Mkuu ungeuliza na kufanya utafiti kwanza ndo uje kutuandikia haya, kwanini umeamua kuudanganya uma wa wana JF?
 
Mkuu unachoongea ni sahihi, kuna ma lecturer walishajiona ni miungu watu. Kuwafelisha wanafunzi kwa makusudi kisa hakupendi tu au umemkwaza somewhere labda hata hujui kama umemkwaza. Unakuja kushangaa tu hafaulu kozi yake, hata kama kozi nyingine zote ume clear
 
Vijana someni,acheni starehe.Kama mtu unawajibika uoasavyo huwezi Ku disco
 
Huyo labda alishikwa na kikaratasi, hakukwambia ukweli kwenye vyuo vingi tz huwezi kudisco kwa somo moja utaishia kucarry tu ila ku abscond kunatokea kama hukufanya mtihani bila sababu ya msingi.
 
Hii imewahi nitokea tena mwalimu alikuwa na masomo semister mbili yote kisa demu ambae hata sikuwa na mpango nae
Wale ambao hayakuwakuta huwa wanajiona wajanja, kama huyo aliye comment hapo juu. Eti ukiwajibika ipasavyo huwezi ku disco, kuna watu wengine wana akili ya kuvukia barabara tu
 
Leta empirical evidence na sheria husika za chuo unachosemea kwa tz..hapo umetoa mifano hypothetical ambayo haina existence,tuliosomea hapo tz hatujakutana na system ya disco ya 1 subject.Ila kuna idadi ya masomo kwa semister ukifeli una disco sasa ikatokea semister one umefeli kadhaa na semister 2 kadhaa yaki sum up kwa specific academic year ndio disco itatokea ila sio somo moja.Au ufeli idadi yote ya hayo masomo in a single semister au ushindwe ku clear sup mara kadhaa iwe carry over na uishindwe ku clear hapo pia unaondoka.

But kila chuo kina sheria na taratibu za mitihani ambazo zote either zina conform to NACTE or TCU standards, na sio generalisation as umesema.

NB: Sijataja idadi ya masomo yanayounda disco as kila chuo kinazo taratibu za exam na admission ila pia inategemea na masomo ya semister na academic year husika uliyojisajili kwa course hiyo.
 
Sijakurupuka my friend ameanza mwaka Wa kwanza upya wakati wenzake tunamaliza Masters
Basi alikudanganya,iko hivi kwa vyuo vya bongo ukiwa na GPA ya 1.8 utaruhusiwa kufanya sup chini ya hapo unadisco,na baada ya sup GPA yako itakiwa kuwa 2.0kupanda ,chini ya hapo ni disco,kama una 2.0 lakini bado kuna masomo,hukupata pass basi unarudia mwaka,kwa mfumo huo hata kama soma lina point nyingi bado huwezi kudisco,kwa vyuo vingi masomo huwa 7-12 kwa semester moja,hata kama utapata ziro masomo mawili bado GPA yako haiwezi kuwa chini ya 1.8,elimu ya bongo kweli inamatatizo lakini sio kwa kiwango hicho,huo ni uongo
 
Back
Top Bottom