Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Hizo stress zipo kwa upande wa wanawake kwasababu uwezo wao wa kuzaa una ukomo Lakini kwa mwanaume hata miaka 80+ hamna shida ili mradi mkono uende kinywani(......).

Task Force12
Sasa hiyo 80+ atazaa kilembwe au mtoto[emoji3] [emoji3] .
 
Rafiki umri unaenda kwa kasi na nimeshaanza kuwa desperate kwa kukosa mwanamke mwenye chura!![emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
Unaona sasa..hebu ondoa hiyo ujinga inaitwa chura ujipatie mke mwema fasta hapa. Onyo...usije ukaanza kukodolea watu wenye chura tangu tuko hanimuni
 
stress zipo kote kaka ila wanaume wanajipa moyo kwa kua wanaweza wakapata mwanamke wa kumgonga hata kila siku akienda kona bar,au kwa wahaya

hiko ndo kinachowapa kibr wanaume
sisi wanawake tunasubiri tufatwe ndo tupunguze ashk zetu
Kweli JF ni kokoro! Tofautisha kuoa na kufanya ngono. Mfyuuuuu

Hate me at your own risk
 
Mtani,mimi nina stress za kuolewa mapema. Nawish ningechelewa nikala ujana kidogo...lol.
Hahaha, hilo nalo ni somo mtani, linataka kujadiliwa tena kwa mapana yake. Hivi at 21yrs unaolewa, hata hujui utram wa....., daaah pole sana mtani, 20s ndio muda muafaka wa kufurahia ujana, sasa wewe umri huo tena ujiweke kitanzini.

Onyo mtani; usipoangalia unaweza kuwaka tamaa vibaya na utu uzima asee.
 
Hahaha,haya mtani,siku ukianza mjadala nitag nishee 'uzoefu'
 
Stress za mwanaume halisi ni kushindwa kuchagua yupi kati ya Lundo la wanawake alionao ili aoe....

Wanaume Juu

Sent From My Nokia Ya Tochi
Kabisa mkuu hapa ndo utata ulipo kwa upande wetu yanii
Nafikiri Maombi huiyajika kwa sanaa
 
stress zipo kote kaka ila wanaume wanajipa moyo kwa kua wanaweza wakapata mwanamke wa kumgonga hata kila siku akienda kona bar,au kwa wahaya

hiko ndo kinachowapa kibr wanaume
sisi wanawake tunasubiri tufatwe ndo tupunguze ashk zetu
Mh mbona umewaza hivo kwani mahitaji ya ndoa ni kugongana tu.
Ndoa ni stara.
 
Stress nini..?

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Stress kwa mwanaume zinakuja pale unapofikisha umri wa kuoa wakati huohuo huna uwezo wa kutunza familia.

senty from my Iphone 7 using jamii forum app
 
Hizo stress zipo kwa upande wa wanawake kwasababu uwezo wao wa kuzaa una ukomo Lakini kwa mwanaume hata miaka 80+ hamna shida ili mradi mkono uende kinywani(......).

Task Force12
Right broo!

Menopause inawasumbua sana hadi wanafikia kuhaha wafikapo at 30+ with no strong relationship to marriage.

brain is the beautiful part of the body.
 
Stress za kuoa kwa mwanaume ni kwamba una madem kadhaa hujui umwoe yupi kama Side mnyamwezi.. Ila kwa wanawake ni kwamba wanakosa kabisa mwanaume. Kuna tofauti kubwa bro.

Nafukia mashimo niko moto [emoji594][emoji100]
Sio kukosa mtu kabisa bali wanaokuja ndio wale wale bora ya aliyeondoka, unaweza ukawa na wanawake kadhaa na kila ukiiangalia ndoa huoni anayefit kati yao, au anayefit hayuko tayari kuolewa nawe.
 
Back
Top Bottom