Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Hahaha mimi sijawahi kuwa stressed/affected na hilo. I'm an expert in this field[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mmmh, sisy[emoji12] [emoji12] [emoji12]
How do you control your desires??
 
Hahaha mimi sijawahi kuwa stressed/affected na hilo. I'm an expert in this field[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mmmh, sisy[emoji12] [emoji12] [emoji12]
How do you control your desires??
 
Stress unazo wewe domo zege na usieona wanawake wa kuoa,.. Usijarib kulinganisha wewe ulivo na wengine pia wako kama wewe hulka ya kipumbavu kabisa,.....

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
Karibu tena mkuu!
Siku nyingine kabla ya kutinga huku upige chai ya kutosha, usijepata vidonda vya tumbo mkuu.
 
Waiii...nipo huku mtaani na vijana walioa ila wameshabwagana...wengine wameo ila ndo hivyo wako kama Mabachelor tuu..kutwa vijiweni, clubs, hawajielewi...ina maana hawakuwa mature kuoa...walikuwa na stress kwa kuona wengine..


Woooooooi...sina muda
upo sahihi kamanda tuendelee kukaza huku tunawachek bijana wanavo ingia na kutoka
 
Karibu tena mkuu!
Siku nyingine kabla ya kutinga huku upige chai ya kutosha, usijepata vidonda vya tumbo mkuu.
Bwahahahahaha tatizo upendi ukweli

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo ndo changamoto mnachagua sana

Me nakubaliana na mtoa mada mkishafikisha 30 mtaanza kupunguza vigezo
Kuna umri ukifika hata sisi/baadhi tunakuwa desperate. Sema ego ya vidume ni kubwa mno kukubali.
 
Waiii...nipo huku mtaani na vijana walioa ila wameshabwagana...wengine wameo ila ndo hivyo wako kama Mabachelor tuu..kutwa vijiweni, clubs, hawajielewi...ina maana hawakuwa mature kuoa...walikuwa na stress kwa kuona wengine..


Woooooooi...sina muda
Kwa hiyo wewe huna stress kabisa? Labda bado mdogo, below thirty hivyo una mda bado kujipanga.
 
Kuna umri ukifika hata sisi/baadhi tunakuwa desperate. Sema ego ya vidume ni kubwa mno kukubali.
Ni kweli kabisa pale unapokua umepanga uoe ukifikisha 30 alafu mda unafika huoni ata mmoja anayefit...apo stress lazim
 
Nilipofikisha 32 years bado sielewi nitamuoa nani nahisi nilipatwa na stress kwa kweli.

Sent from my Lenovo TAB 2 A7-30H using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo ndo changamoto mnachagua sana

Me nakubaliana na mtoa mada mkishafikisha 30 mtaanza kupunguza vigezo
Unless mtu ni desperate, ila naamini mtu akifika 30 vigezo vinaweza kuzidi zaidi compared na alivyokuwa early 20s. At 30 mtu ameshakuwa mature enough to know what he/she need, akili inakomaa na the way unaangalia kwa upana vitu inaweza ikawa sio sawa na before. Unajua ndoa ni nini na kusudi lake ni nini etc. My opinions so far; maana naona muda unavyozidi na jinsi navyoyaona mambo, there is no way I'm gonna settle for less. At 20s kuna vigezo ningeweza kuvioverlook ila kwa sasa hivi mmmmh siwezi, najua ntakapojifail. Even dating at 20s is funnier than dating at 30s (IMO)
 
Hiyo ipo, "mademu" watano na hakuna anayefit, huoni kuwa wewe utakuwa ndio tatizo. How do you date five girls, with whom there's no match?? Yani wadada watatu lakini hakuna anayefit???
Watano halafu hakuna anayefaa....[emoji32]

Sent from my Lenovo TAB 2 A7-30H using JamiiForums mobile app
 
Unless mtu ni desperate, ila naamini mtu akifika 30 vigezo vinaweza kuzidi zaidi compared na alivyokuwa early 20s. At 30 mtu ameshakuwa mature enough to know what he/she need, akili inakomaa na the way unaangalia kwa upana vitu inaweza ikawa sio sawa na before. Unajua ndoa ni nini na kusudi lake ni nini etc. My opinions so far; maana naona muda unavyozidi na jinsi navyoyaona mambo, there is no way I'm gonna settle for less. At 20s kuna vigezo ningeweza kuvioverlook ila kwa sasa hivi mmmmh siwezi, najua ntakapojifail
Ni kweli dr, lakn mwingine kapanga ndo aoe na 30 what if kakosa hivo vigezo na mda ushaenda?
Apo ndo stress huku akiangalia angalia yupi anafaa at the end of the day lzm atapunguza tu labda alikua anataka mwenye sura nzur, chura mwisho ata cancel aangalie tabia tu
 
Hizo stress zipo kwa upande wa wanawake kwasababu uwezo wao wa kuzaa una ukomo Lakini kwa mwanaume hata miaka 80+ hamna shida ili mradi mkono uende kinywani(......).

Task Force12
 
Naogopa nitakuja kumfanya Mke bila kupenda.

Vingine vipo ila havinipi stress kama kazi za Ndani. Vyenyewe navipata kwa urahisi labda ndiyo maana.
Nimekusoma saivi kiaina..sema tuu post yako ya mwanzo ilikua kavile mke Ni wa kupiga job tuu za nyumbani that's why nilikuuliza.
But nimekuelewa..

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom