Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,954
- 183,559
Kwani shemeji juice ya malimao inaondoa stress!!! Jibu nina matumizi nalo shemeji.hahahaa
sawa shem inabid niendelee kuongeza juis ya maliamao maana hajulikani ni lini atafurahi
Kwani shemeji juice ya malimao inaondoa stress!!! Jibu nina matumizi nalo shemeji.hahahaa
sawa shem inabid niendelee kuongeza juis ya maliamao maana hajulikani ni lini atafurahi
inaondoa hasa hasa stress za mambo ya ndoaKwani shemeji juice ya malimao inaondoa stress!!! Jibu nina matumizi nalo shemeji.
Za kazini zinaondokaje shemeji?inaondoa hasa hasa stress za mambo ya ndoa
ila stress za kazini tu hizo hazi saidii sana
Hahahaaaaaa!!! Usinzingizie mtoto wa watu mdogo jamani!!Leo uliamka na BBC hadi mchana...hahaha!!!!
mmmmhZa kazini zinaondokaje shemeji?
Kwahiyo shemeji hapo ndio msaada wako ulipoishia!!! Hebu jitahidi bwana ili nami nijitahidi, au hujui nikiwa na stress nitakuletea balaa likuangaishe maisha yako yote!! Natakiwa nifanye upembuzi yakinifu nikiwa nimetulia shemeji!mmmmh
hizo ni kwa namna ile ile ya kila sku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuta zinapata shida sana, hasa weekend[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Dota unaongea na mimi au?HAPANA.
Hizo sauti zinatoka wapi?Zinarudisha mwangwi wa sauti za ajabu ajabu[emoji1] [emoji1] [emoji12]
hahahahaKwahiyo shemeji hapo ndio msaada wako ulipoishia!!! Hebu jitahidi bwana ili nami nijitahidi, au hujui nikiwa na stress nitakuletea balaa likuangaishe maisha yako yote!! Natakiwa nifanye upembuzi yakinifu nikiwa nimetulia shemeji!
Teh teh, umenikumbusha. Heaven Sent akasema yeye ni expert. Zile vurugu za hormones anajua kuzitawala, oooh asante bwana sikupata anayeweza kutawala hormone zake[emoji1] [emoji1] [emoji125]Hizo sauti zinatoka wapi?
Pamoja na umuhimu wa taasisi uliyoitaja, lakini kuna watu wanamajuto makubwa kuingia ndani ya taasisi ya ndoa kwa mlango waliouchagua!It's a new day MMU family.
Kwa nini wanaume tunanifariji kuwa wadada pekee ndio wanakuwa na stress za kuolewa? Je, ni kweli kwamba vijana wa kiume hawakumbwi na wimbi la stress hasa wanapofikia "umri sahihi" wa kuoa?
Inasemekana "eti" wadada saa yao inazunguka kuanzia miaka 22--28, baada ya hapo ni stress tupu, kwamba mwanamke akifika miaka 30 anakuwa 'desperate' hadi kufikia kukata tamaa ya kuolewa. Sijui kama ni kweli, wadada waje hapa waseme ukweli wa moyoni
Kwa upande mwingine wa shilingi, hata wanaume wanakumbwa na hii kadhia, tena kwa kiwango kikubwa tu, sema sisi tuna koromeo mengi tunameza bila kusema. Sijui clock hasa kwa wanaume lakini binafsi nilipofika miaka 29 nilianza kuwaza mchumba, nikamuangalia niliyekuwa naye kipindi hicho nikaona nah, huyu hapana "I'm not marrying her", sababu nilizijua mwenyewe, lakini sasa mbona sioni wa kuoa? Ilinichukua mda sana, kuna vigezo vyangu (kama ilivyo kwa kila mtu, huwezi kujibebea tu) lakini nikawa sioni, mda unaenda, kichwa kinauma, sioni popote, sio kanisani, sio kazini, sio mtaani(naona tu wavaa vitait[emoji12] ), lakini mimi nilikuwa na experience ya online dating, hii habari tangu niianze 2007 sijataka kukutana na mtu kanisani tena, it's online and it's very interesting to meet someone online....
Sasa vidume wenzangu, hivi ni kweli hamna stress za kuoa, hasa wale 30+yrs? Imagine upo 35yrs huna hata girlfriend anayeeleweka, hivi hutakuwa na stress kweli, semeni ukweli tumuaibishe shetani leo[emoji12] [emoji1]
NB: Huu uzi ni kwa wale wanaoona umuhimu wa ndoa na wanatamani kuwa kwenye ndoa siku moja. Kumekuwa na tendency ya watu kudharau hii taasisi na kusema Ndoa sio muhimu, wale wanaoona sio muhimu, ni sawa tu na huu uzi utakuwa hauwahusu.
Good morning.
Kiongozi, kuna mambo yapo beyond uwezo wetu. Ukiwa na shamba, unataka mwaka huu uvune mahindi mengi, lakini the only thing you've got to do ni kuandaa shamba, kupanda mbegu na kusubiri...huwezi kuziotesha wala kuzikuza, it's God's work, hilo la Daudi tumuachie Mungu.Pamoja na umuhimu wa taasisi uliyoitaja, lakini kuna watu wanamajuto makubwa kuingia ndani ya taasisi ya ndoa kwa mlango waliouchagua!
Miongoni mwao ni mrs bashite maana ndoa haijawahi kujibu (kila siku wanajipikilisha tu)
Kumbe!!!!hahahaha
nyie wanye familia kutoa stress mbona easy shem siyo mpaka mnywe juis
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh teh, umenikumbusha. Heaven Sent akasema yeye ni expert. Zile vurugu za hormones anajua kuzitawala, oooh asante bwana sikupata anayeweza kutawala hormone zake[emoji1] [emoji1] [emoji125]
Na mkweoDota unaongea na mimi au?
Haha sasa brod darlin nipo nje ya taasisi, unataka nifanyaje? Nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvuTeh teh, umenikumbusha. Heaven Sent akasema yeye ni expert. Zile vurugu za hormones anajua kuzitawala, oooh asante bwana sikupata anayeweza kutawala hormone zake[emoji1] [emoji1] [emoji125]