Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Ana hila ex wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenifanya nicheke!! Haki yo nuts!!!
Ana hila ex wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenifanya nicheke!! Haki yo nuts!!!
Haha awe anahuisha nafsi? ??Kwa hiyo mwenzangu anakula kwa macho? Utamuuzia bila kujaribu? Sisy darling noooo, once in a while...lol.
Oooooh kumbe!!!Na mkweo
Kwakweli hapana!! Ile kitu kuikosa kanti imajini!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Kwa hiyo mwenzangu anakula kwa macho? Utamuuzia bila kujaribu? Sisy darling noooo, once in a while...lol.
After muda gani ndo unawehuka? Basi wehu utakuwa unachagua watu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Oooooh kumbe!!!
Hivi si nasikia ukiikosa kwa muda unawehuka!! Hebu kesho uje nikuangalie vizuri binti yangu.
Haha yameisha basiNdio, hata wewe uwe unatest organs, zisije kusahau jukumu lake...hahaha, once in a while sisy darling!!
HeheheKwakweli hapana!! Ile kitu kuikosa kanti imajini!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Heri wewe usiyeweza kutawala hormones zako[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haha ukiwehuka me simoooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ex darling mie niko tuition ndio Heaven Sent ananifundisha eti!! Ngoja nifanye ya mwisho mwisho kabla sijaweza kuzicontroll.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ulipajuwaje kona bar kwa wahaya? Nahisi utakuwa mdau mkubwa sana wa maeneo yale.stress zipo kote kaka ila wanaume wanajipa moyo kwa kua wanaweza wakapata mwanamke wa kumgonga hata kila siku akienda kona bar,au kwa wahaya
hiko ndo kinachowapa kibr wanaume
sisi wanawake tunasubiri tufatwe ndo tupunguze ashk zetu
Hahahaaaa!! Nikiwehuka utakuwa umehusika mama, yaani umo kabisaaa!Haha ukiwehuka me simoooooo
Ahahahaa apa nimeelewa vizuri sana.Khantwe, mfano wako upo sawa kabisa. Kuliko kuzunguka n bahasha miaka mitano, ni heri kuwa na sehemu ukajipatia kipato kidogo, utapunguza soli za viatu kuisha.
The thing is, hiyo ni plan B, baada ya plan A kushindwa, ndio unaona isiwe tabu ngoja niangalie upande huu unakuwa vipi.
Likewise, kama mtu anaona mda unapita, hakuna proposal yoyote ya "ajira" ni heri kujiajiri. Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa bado mtu angependa kuajiriwa.