Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Nilipofikisha 32 years bado sielewi nitamuoa nani nahisi nilipatwa na stress kwa kweli.

Sent from my Lenovo TAB 2 A7-30H using JamiiForums mobile app
Katavi
Thanx for your honest opinion mkuu. Kuna umri ukifika, hujapata mtu sahihi, malengo mengine yametimia ila limebaki hili, unaona it's not right.

Hakuna kitu kizuri kama ulipanga kuoa at a certain age, ikafika ule umri ns ukavuta kitu ndani.

Siamini kama kuna mtu mwanaume anaweza kuanzisha familia willingly at 50yrs, lazima iwe kuna makosa alifanya ndio anajaribu kusahihisha. First born ukiwa 50? Nah kwa kweli unless kama ndio Mungu alipanga hivyo.
 
stress zipo kote kaka ila wanaume wanajipa moyo kwa kua wanaweza wakapata mwanamke wa kumgonga hata kila siku akienda kona bar,au kwa wahaya

hiko ndo kinachowapa kibr wanaume
sisi wanawake tunasubiri tufatwe ndo tupunguze ashk zetu
Watake radhi wahaya geniveros.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nimekusoma saivi kiaina..sema tuu post yako ya mwanzo ilikua kavile mke Ni wa kupiga job tuu za nyumbani that's why nilikuuliza.
But nimekuelewa..

Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Ni kweli dr, lakn mwingine kapanga ndo aoe na 30 what if kakosa hivo vigezo na mda ushaenda?
Apo ndo stress huku akiangalia angalia yupi anafaa at the end of the day lzm atapunguza tu labda alikua anataka mwenye sura nzur, chura mwisho ata cancel aangalie tabia tu
Eeh that's exactly my point. Unaanza kuacha vile vigezo ambavyo siyo vya muhimu sana, Unaconcentrate na vya muhimu. Inaweza ikawa sio kwa sababu upo desperate, ila ni kwa sababu you are more mature now
 
Unless mtu ni desperate, ila naamini mtu akifika 30 vigezo vinaweza kuzidi zaidi compared na alivyokuwa early 20s. At 30 mtu ameshakuwa mature enough to know what he/she need, akili inakomaa na the way unaangalia kwa upana vitu inaweza ikawa sio sawa na before. Unajua ndoa ni nini na kusudi lake ni nini etc. My opinions so far; maana naona muda unavyozidi na jinsi navyoyaona mambo, there is no way I'm gonna settle for less. At 20s kuna vigezo ningeweza kuvioverlook ila kwa sasa hivi mmmmh siwezi, najua ntakapojifail. Even dating at 20s is funnier than dating at 30s (IMO)
With or without desperation, kadri umri unavyozidi kwenda, vigezo vinapungua( kwa walio wengi), najua 30yrs ni umri mzuri kujitafakari, akili pia imetulia na mtu anajua haswa nini anataka, lakini ongeza mingine mitano hapo, trust me kwa walio wengi matakwa yanapunguzwa tu almost none.
 
Ndo maana nikasema maybe maturity inasaidia (age has nothing to do with maturity though). I think vinavyopungua ni vigezo ambavyo si vya muhimu sana au vinavyoweza kuwa compromised. Vinabaki vigezo vya msingi zaidi
 
Stress hazikosi mzee ila zinatofautiana tu.
Uzi wako umenigusa mzee, stress za uhitaji wa kuoa zinanipata kalibia kila siku. Nahisi kuchoka na ukapera, ila niende pole pole ipo siku nitampata.

Post sent using JamiiForums mobile app
Mungu atakupatia tu mkuu, kumbuka tu kuwa "Mke mwema mtu hupewa na Bwana", wala usiharakishe, muombe Mungu atakupatia kwa wakati sahihi.
 
Hahaha mimi sijawahi kuwa stressed/affected na hilo. I'm an expert in this field[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
inaonekana wazi na dhahiri unamtesa kaka yangu Benny kwa kumnyima mgegedo na huenda unachochea uchumba sugu kwa kaka yangu huyo pia!![emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
 
stress zipo kote kaka ila wanaume wanajipa moyo kwa kua wanaweza wakapata mwanamke wa kumgonga hata kila siku akienda kona bar,au kwa wahaya

hiko ndo kinachowapa kibr wanaume
sisi wanawake tunasubiri tufatwe ndo tupunguze ashk zetu
Mbona unawatusi Wahaya wakati siku hizi makabira yote wanafanya Biashara hii ya Ngono?

Nadhani swala la Uzi huu ni kujitafakari

Sioni kama kuna wakati sahihi wa MTU kuoa au kuolewa kama haujampata MTU sahihi katika jambo husika..

Nakumpata MTU sahihi nalo ni jambo lingine pia kuliko kuoa au kuolewa

Wapo wengi katika jamii zetu waliopo katika mahabusi za ndoa kila uchao wanatafuta wakuwadhamini lakini hawajaweza kuwapata kwa sababu walipoteza malengo ya ndoa kwa hofu ya umri ili wasije kuonekana wamepea kiumri

Lakini pia ni bora tukafaham kuwa ndoa ni zaidi ya watoto ambao utawapata katika ndoa

Ndoa ni session kuna party nyingi ili ifahamike kwa watazamaji na washiriki..
 
inaonekana wazi na dhahiri unamtesa kaka yangu Benny kwa kumnyima mgegedo na huenda unachochea uchumba sugu kwa kaka yangu huyo pia!![emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
Em kwenda zako[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Katavi
Thanx for your honest opinion mkuu. Kuna umri ukifika, hujapata mtu sahihi, malengo mengine yametimia ila limebaki hili, unaona it's not right.

Hakuna kitu kizuri kama ulipanga kuoa at a certain age, ikafika ule umri ns ukavuta kitu ndani.

Siamini kama kuna mtu mwanaume anaweza kuanzisha familia willingly at 50yrs, lazima iwe kuna makosa alifanya ndio anajaribu kusahihisha. First born ukiwa 50? Nah kwa kweli unless kama ndio Mungu alipanga hivyo.
Kweli mkuu maana nilipanga by 30 niwe tayari, lakini nimetimiza 32 sioni mwanga. Lakini Nashukuru baada ya kufunga na kuomba nilifanikiwa kumpata aliye sahihi.

Stress haziepukiki kwa ishu hiyo aisee.!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Stress za kuolewa/kuoa zinamkuta mtu yeyote, kutegemeana na ndoto au mipango yake. Maybe mtu amepanga kuwa nikifika age/stage fulani lazima niwe na A, B, C, so hiyo age/stage ikifika na hajakamilisha ndoto yake ndo mtu anaanza kuwa na stress. Au tu mtu anahitaji sana ndoa at the moment afu haoni mtu wa kufunga naye ndoa, ndo wengine desperation inapoanza bila kujali ni me/ke

Nafikiri kinachofanya wanawake tuwe desperate sana ni kale kamfumo kalikotuaminisha kuwa mwanamke hujakamilika bila ndoa . So pamoja na yote unayoyafanya/kuachieve as long as hujaolewa, jamii haitoacha kukuuliza maswali. So wengi wetu wanafall kuwa victims wa society, wanakuwa desperate sana kuolewa. Nilishawahi kukaa na binti, she was just 22 ila ni desperate kuliko shangazi yake hapa.

Kingine ni kwa vile tu wanawake tuna biological clock. Ukishafika age fulani fulani si salama sana kuzaa watoto. But at the very same time wapo wanaume ambao pia wanataka kuwa na familia mapema ili wazae mapema na walee watoto wao. Msemo wa kwamba mwanaume hata akiwa 50 anazaa ni kweli ila nafikiri wengi inawakuta tu kwa sababu fulani zilizo nje ya uwezo wao. Ila kwamba mwanaume anapanga kabisa kuwa nitazaa 1st born nikiwa 50 mmmmh. So wapo wanaume pia ikifika age fulani anaanza kuwa desperate as anaona muda unampita mkono na hana familia

Na ukweli ni kwamba tukakutana na wanaume desperate wengi tu. Kuna muda na sisi japo tunahitaji ndoa lakini udesperate wa mtu unakuogopesha hadi ndoa huitaki tena lol. Mtu mmekutana ndani ya mwezi anataka muanze process za ndoa, me hapana kwa kweli weee.

IMO, kuwa desperate ( na kitu chochote not necessarily ndoa) ni choice, ni sign ya kuwa "UNGRATEFUL". Unaconcentrate sana na usivyonavyo, unasahau kucount your blessings ndo maana unapanic. Maandiko yanasema "Bali utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo yote mtazidishiwa". So why are you stressing yaself ? Don't you believe in God's perfect time darlin?. Plus hakuna kitu kibaya kama kufanya maamuzi ya maisha yako ukiwa desperate. No wonder ndoa zetu nyingi ni za misukosuko, mtu hakuolewa/kuoa kwa sababu anajua ndoa ni nini na anajua ni nini wito wake katika ndoa, alifunga ndoa simply because muda umeenda or jamii inamnyooshea sana vidole au anataka azae watoto mapema. Decision yoyote ya maisha yako ifanyike muda ambao umerelax, while things are flowing naturally. Nikianza kuhesabu ambavyo sina kwenye maisha yangu, ni vingi mweeh but I chose to stick with my blessings, na huwezi kunikuta nina stress unless niwe naumwa (hahha Mungu nisamehe tu muda ninaoumwaga lol, Afya yangu, mtaji wangu). Weekend njema
Waoooh umezungumza kitu kikubwa sana, umeifanya siku yangu kuwa njema. Ubarikiwe mpenzi
 
Mbona unawatusi Wahaya wakati siku hizi makabira yote wanafanya Biashara hii ya Ngono?

Nadhani swala la Uzi huu ni kujitafakari

Sioni kama kuna wakati sahihi wa MTU kuoa au kuolewa kama haujampata MTU sahihi katika jambo husika..

Nakumpata MTU sahihi nalo ni jambo lingine pia kuliko kuoa au kuolewa

Wapo wengi katika jamii zetu waliopo katika mahabusi za ndoa kila uchao wanatafuta wakuwadhamini lakini hawajaweza kuwapata kwa sababu walipoteza malengo ya ndoa kwa hofu ya umri ili wasije kuonekana wamepea kiumri

Lakini pia ni bora tukafaham kuwa ndoa ni zaidi ya watoto ambao utawapata katika ndoa

Ndoa ni session kuna party nyingi ili ifahamike kwa watazamaji na washiriki..
fakhbros,
Mawazo mazuri sana haya, naamini watu wamechukua kitu kutoka kwenye post yako.
 
Wanawake wa kiafrica lakin sio wa huko mbele maana waafrica wanaume kwa wanawake ndio tunaongoza kuoa au kuolewa kwa umri chin ya 30
 
Back
Top Bottom