Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

hahhaha
sasa kaka unaharib story bila hata kumgusia hainogi .
kwa hiyo jamaa anakuwa ni field marshal na bado anapiga kalenda tuu!?
Wazazi nao wanachangia kwenye kutu-force tuoe. Wazazi wengine kila ukienda nyumbani salamu ya Kwanza

Mwanangu Ice hauoi mwanangu? Sasa kama unaishi nao mbali unajisahalisha
 
kuchelewa kuanzisha familia kunakupaje stress sasa!!!![emoji2]
wakati umeamua ukae bila familia

stress zinaletwa kwa kukosa faraja ya kweli na kushindwa kupunguza hormones mwilini binadamu unakula vzr huna tatizo lolote unaweza kaa mwaka bila partner!?
Rafiki asante kwa kunifumbua macho!!.......nilikuwa nimepotoka,poor me!

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi stress za kutokuolewa huwapata wadada kuanzia umri Wa miaka 28 kwenda mbele wengi wanakua waoga na wakati mwingine huona ni heri wapate MTU yeyote.

Inachangiwa na kuwa na menopose ukomo Wa kuweza kuzaa na pia ikumbukwe kama mwanamke atazaa akiwa na miaka arobaini kwa kuwa mayai yake anazaliwa nayo yanaweza kuwa na damage na kupelekea mtoto kuwa na matatizo ya kiafya.

Pia hizo stress ni ukosefu Wa gegedo maana ikifika muda huo anaanza kuchagua sana MTU Wa kumgegeda ili kulinda heshima na kupata MTU sahihi wakati wanaume tunapata wengi tu hivyo zile stress zinaonekana moja kwa moja ,hapa ndipo hormone imbalance hutokea.

Wanaume mbegu huzalishwa Sikh zote mpaka tunazikwa yaani hata kibabu kizee ili mradi kinaishi basis chaweza zaa na kugegeda kama kawaida.

Kumbuka wanawake ni Mara Tisa zaidi ya wanaume yaani ratio 1:9 hivyo wanapata wakugegeda kirahisi mno.

Suala linalotukabili ni kutafuta pesa hapa kina stress ila kwenye mahusiano ni ngumu mno ndio maana Zitto anaweza kuona in 40yrs utasema hana kipato?

Prof J hana kipato?
Mengi huwezi muweka hapa kesi yake inaonyesha na kuthibitisha tu kwamba mwanaume muda wowote yuko intact kuzaa na kuendeleza familia.
 
Kwangu stress za kuoa huja kwenye kazi za Ndani tu basi.

Nimezijulia nikiwa mkubwa. Sijui kupika, dishez, usafi wa Ndani na wa nguo zangu. Hayo mambo ndiyo hunipa stress.

Nikiwa nje Wala utafikiri nimeacha mke ndani. Ila nikishaingia na kufikiria kuanza kuzifanya natamani awepo.
Daby
That's not a big deal, hayo utayajua tu kama kweli unahitaji kusaidiana na mwenzako.

Ninachomaanisha hapa ni stress outta age, umri umekukamata lakini no one to call a wife to be, unalionaje hilo.
 
Kwa mtazamo wangu kwa sisi wanawake ndoa inakuja wenyewe, huwezi ukakurupuka asubuhi ukamwambia mwanaume nataka unioe, kwahiyo ndoa ni jambo la subraa kutoka kwa mwenyezi mungu, vivyo hivyo na mwanaume japo yeye atatongozaa .
 
Wazazi nao wanachangia kwenye kutu-force tuoe. Wazazi wengine kila ukienda nyumbani salamu ya Kwanza

Mwanangu Ice hauoi mwanangu? Sasa kama unaishi nao mbali unajisahalisha
hahaha
halaf utakuta kwenye vikao wanatangulia kuongea wadogo zako walio oa.

utaskia wazaz wanajiongelsha ehee yaan iceman pale kwa mzee joji wana binti mmoja ana adab kweli, halaf wewe unapotezea na stori ingne kabsaa.
 
Hahaa malimao yanaondoa stress? Zote au za ndoa tu? Kama yanaondoa stress zote niambie nikajaze kapu pale buguruni
Nipunguzie hizo stress, sharing is a great therapy you know.
 
kuchelewa kuanzisha familia kunakupaje stress sasa!!!![emoji2]
wakati umeamua ukae bila familia

stress zinaletwa kwa kukosa faraja ya kweli na kushindwa kupunguza hormones mwilini binadamu unakula vzr huna tatizo lolote unaweza kaa mwaka bila partner!?
hapo nna swali

ssa kwa nn hata wale wenye uchumba sugu hung'ang'ania ndoa?
maana kama ni hivo ilibd profsa j na mwenzie asioe waendelee kupeana migegedo tu.

may be ni more than mgegedano
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] self satisfaction..
Well, well. Wapo vijana wengi tu wanaweza kufanya hiyo kazi. It's so simple geni
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] self satisfaction..
Well, well. Wapo vijana wengi tu wanaweza kufanya hiyo kazi. It's so simple geni
 
Daby
That's not a big deal, hayo utayajua tu kama kweli unahitaji kusaidiana na mwenzako.

Ninachomaanisha hapa ni stress outta age, umri umekukamata lakini no one to call a wife to be, unalionaje hilo.
Hilo lipo wazi kabisa. Hata tukiachana na sababu binafsi/intra-personal facts kuna sababu za kijamii zitakazomletea stress.

Kwa jamii zetu Ndoa sio jambo la mtu bali ni jambo la jamii. Leo hii Daby nikichelewa kuoa wazazi, ndugu na jamii yote lazima iniangalie kwa jicho lingine. Hii ni stress tosha.

Mwanaume mtu mzima asiye na mke wala watoto kwa Jamii zetu ni mhuni hata kama hauambiwi ila akilini mwao ndiyo hivyo. Utajipa moyo kwamba unamind maisha yako ila kiuhalisia huwezi kujiengua kwenye mawazo ya jamii yako.


Sema sasa Eli79 wanawake wa jamii zetu wanaihitaji Ndoa zaidi ya tunavyoihitaji sisi. Hili lipo wazi. Ila stress hadi kwetu zipo.
 
WirelessBrain
Hivi unadhani kuchagua mwenza watu wanaangalia makalio na sura ya usoni? How old are you mkuu? Don't be offended pls.

Hiyo ni mifano tu ya vigezo kuonesha ni jinsi gani unavyoweza kuwa na madem kadhaa na usiridhike nao wote..

Makalio na Sura ni kunogesha tu jumamosi yetu. Huwezi kuoa kwa vigezo hivyo. I'm smart enough to be aware of that.
By the way I'm 24 big bro. No offense taken.
 
Back
Top Bottom