Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,712
Nimeandika nimefuta..its a long stry!...Pole Sana!baadhi ya binadamu ndivyo walivyo....alikufanya nini!?
😅😅😅😅😅😅! Amenitafuta sana aniombe msamaha lakini nimeshindwa!
Nimeandika nimefuta..its a long stry!...Pole Sana!baadhi ya binadamu ndivyo walivyo....alikufanya nini!?
Pole Dada Cresida ilikuwaje ukamuamini mfunga Boot?Wanaume wa siku hizi sijui wakoje mimi kuna lijit humu lilinipiga 25,000 yangu hakyaMungu inaniuma sana yaani halafu linafanya wizara ya mambo ya ndani.
kwanini nayeye asianzishe uzi wake tumchangie comment anarukia uzi wako bila hiyana na aibuKuna tofauti kubwa sana kati ya MJINGA anayejifanya au kujionesha ni mjuaji mbele ya halaiki ya watu na MPUMBAVU ambaye hujionesha au hujifanya anajua mbele ya halaiki ya watu.
Ukaitafakari huu msemo utajua uko kundi gani na huenda itakusaidia next time kutumia Common Sense
Nilimpenda kutoka moyoni mwangu nikajishusha mnoo, nikambadilisha kutoka kuwa mchafu mchafu hadi akawa mtu anayejua japo kuoga......maisha yake yalikuwa ya kijima kiasi kwamba hata akiwa na hela bado ni wale watanunua andazi la stend na kunywa na juice zile wanapitia ha bila kujali usafi... Sikutaka ionekane kwamba mwanamke ukiwa umemzidi ME elimu na exposure basi mahusiano hayawezekani. Mwanzo I ilikuwa ngumu lakini badae nikajikuta nshampenda na watu hawakuamini Kama tumeweza kuwa pamoja kwa kipindi kirefu. Kifupi nilikuwa deeply in love.
Siku zote watu watakunyima hela na chakula Ila hawawezi kukunyima neno. Wao walijua ni nini alikuwa anafanya Huko nje wakawa wanaongea mwisho waliopoona siwasikilizi wakanyamaza.
Mwisho nikaja kugundua hakustahili mapenzi yangu na alikuwa zaidi ya nilivyodhani kwa mambo ya ajabu aliyokuwa anafanya. Niliamua kulipa kibinadamu Ila mwisho nikaamua kumuachia Mungu anilipie.
Binafsi naona matajiri wapendane wao kwa wao, maskini wapendane wao kwa wao, wasomi wapendane wao kwa wao na wasio na elimu wapendane wao kwa wao. Maana unaweza ukawa na nia nzuri Ila unayempenda a siamini Kama inaweza kana. Haya mambo sijui ya true love tuwaachie wazungu.
Pole sana Mkuu
Duh hatari!😅msamehe tu...!Nimeandika nimefuta..its a long stry!...
😅😅😅😅😅😅! Amenitafuta sana aniombe msamaha lakini nimeshindwa!
Pole mkuu. Kuna ule wimbo wa "wema wangu umeniponza, sasa mchungu ya dunia nayaonja"Kweli kabisa, katika mikakati ambayo naipanga kuanza nayo 2020, ni kutosaidia mtu,
Kuna vitu vilikuwa vinamis ofisini, nikaona isiwe kesi, nikanunua vya staff yote vikabaki vingine reserved store, one month later nikatengenezewa scandal hiyo, I was almost nifukuzwe kazi ila Mungu akasimama na mimi ila niliyumba sana almost mwaka mzima nilikuwa naunga unga maisha in between 2018-2019.
Huyu huyu bishanga bepari la kihaya wa jamii forums au unamsema mwingine, weka sawa kama ni yeye daaa kapotea kitambo bishanga.Nilimpenda kutoka moyoni mwangu nikajishusha mnoo, nikambadilisha kutoka kuwa mchafu mchafu hadi akawa mtu anayejua japo kuoga......maisha yake yalikuwa ya kijima kiasi kwamba hata akiwa na hela bado ni wale watanunua andazi la stend na kunywa na juice zile wanapitia ha bila kujali usafi... Sikutaka ionekane kwamba mwanamke ukiwa umemzidi ME elimu na exposure basi mahusiano hayawezekani. Mwanzo I ilikuwa ngumu lakini badae nikajikuta nshampenda na watu hawakuamini Kama tumeweza kuwa pamoja kwa kipindi kirefu. Kifupi nilikuwa deeply in love.
Siku zote watu watakunyima hela na chakula Ila hawawezi kukunyima neno. Wao walijua ni nini alikuwa anafanya Huko nje wakawa wanaongea mwisho waliopoona siwasikilizi wakanyamaza.
Mwisho nikaja kugundua hakustahili mapenzi yangu na alikuwa zaidi ya nilivyodhani kwa mambo ya ajabu aliyokuwa anafanya. Niliamua kulipa kibinadamu Ila mwisho nikaamua kumuachia Mungu anilipie.
Binafsi naona matajiri wapendane wao kwa wao, maskini wapendane wao kwa wao, wasomi wapendane wao kwa wao na wasio na elimu wapendane wao kwa wao. Maana unaweza ukawa na nia nzuri Ila unayempenda a siamini Kama inaweza kana. Haya mambo sijui ya true love tuwaachie wazungu.
Ohhh pole sana best. Poleni sana na Mungu amlaze Pema.Dah!babu yangu kafariki mchan huu, ðŸ˜ðŸ˜
Asante mkuu, nilimshukuru Mungu Kwa kua sikukosa la kujifunza ila binadamu hawana Jema. Mimi naomba nisiwe mmoja wapo wa kuwa sababu ya maumivu ya wengine.Dah, pole sana Mkuu.
Daima katika maisha jifunze kitu kimoja, Mungu akipanga basi hakuna binadamu wa kupangua. Na kila changamoto unayopitia katika maisha basi kuna kusudi ndani yake ila kubwa ni Kujifunza, kwa sasa tuliza akili na pambana zaidi mtangulize Mungu hakika utafanikiwa tu.
Pole sana, na Mwenyezi muumba akufanikishie hitaji lako
😂 😂 😂