Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,712
Thnks best!Ohhh pole sana best. Poleni sana na Mungu amlaze Pema.
Pole sana best
Thnks best!Ohhh pole sana best. Poleni sana na Mungu amlaze Pema.
Pole sana best
Nimekutumia PM msg tayari.Asante. Mkuu naomba uniruhusu niwasiliane na wewe pls private. Unaweza kuponya nafsi. Nina ishu nyingine sio hii ya malove.
Hawabebek kbs hao!pole sana!bora uing'atuka mapema!ulizaa naye?
Nisingeweza kuvumilia zaidi kwa kuwa alichonifanyia ningemganda ningeumia zaidi, bora nilivyokubali kwamba mzoea punda farasi hapandi nkaamua kusonga mbele
mh haya majanga mbona kama kizaz chako ndio kinashida? labda tumuulize Mshana Jr
Mwaka huu wakati tukianza mwaka mpya kulikuwa na nafasi za kazi kwenye company yetu. Kama kawaida zilitakiwa zijazwe, niliamua kwa dhati kabisa kutafuta vijana wenye sifa kutoka humu jukwaani (JF).
Mchakato ulifanyika na hatimae nkaajiri vijana watatu kutoka humu humu ambao mmoja alikuwa na experience kidogo na wawili are straight from school wamemaliza pale UDSM 2018. Mmoja yule mwenye experience baada ya muda mchache aliamua kuacha kazi baada ya kuomba salary increment na mimi kukataa hilo ombi kwa sababu haikuwa hata na miezi 4 kazini, kilichoniudhi ni namna alivyoondoka, alidanganya kwamba anaenda kumuangalia mzazi wake mgonjwa, na pia alichukua baadhi ya vifaa vya ofisini. Tulitegemea angekaa na Sisi ila ndio hivyo.
Wa pili kati ya hawa watatu ni kijana mmoja anaetoka kanda ya ziwa. Much know kwa sana, he considers himself the most knowledgeable and best employee out of all we have. Alikuwa akim criticise supervisor wake kwenye staff meeting in front of all other staff. Sio mara moja sio mara mbili. Nidhamu yake ni mbaya sana, alifikia mpaka kumtongoza one of the manager (foreigner) from the same office. At first alikuwa akiniheshimu/kuniogopa mimi tu because he knew I was making the calls. I went out of my way in helping him establish his life, salary ikikata mnamo tarehe 20 I would give him loans or my personal money. Baada ya kurudi one of my trip around August this year supervisor wake akanieleza mashakil yake. Nikaanza kukata all favors alizokuwa akipata from me. Akaona I was no longer a friend to her, I was only a boss at work and nothing more. As long as he could do his job and not insult anyone, everything was okey for me. At last, he had to go, and he had to go himself, what happened mpaka akaondoka mwenyewe sitaki kusema hapa but yeah he had to leave kwa kejeli na dharau na shutma kubwa dhidi yangu. Shutma moja ni kwamba mimi nimemchawia na namfanyia uchawi, usiku akilala ananiona namkaba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Sijui why hakumtafuta Mshana Jr hahaahahahahha
Huyu kijana wa tatu bado nipo nae, he is doing good and he is my friend, he loves talking to me about Manchester United and would joke to me about Arsenal. He thinks I am the best boss in the world and may be he is reading this hahahaahahahah.
Sijisifii lakini humu jukwaani nimeshawasaidia watu si chini ya 10 msaada wa maana sio hizi 10,000 au 15,000 ila sasa nimeacha.
Ndio maana the other time nkamwambia Cresida be careful.
cc: SweetieLee and Karma
Lakini si ulipunguza maumivu kidodo Kwa kumlipa?
Ningekupa kisa cha mama mmoja hivi lakini nitatoka nje ya mada, mwanamke kuvumilia usaliti wa mumewe ni inakuongezea ushujaa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaaa..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie wa kike mkuu.!!
Nilimpenda kutoka moyoni mwangu nikajishusha mnoo, nikambadilisha kutoka kuwa mchafu mchafu hadi akawa mtu anayejua japo kuoga......maisha yake yalikuwa ya kijima kiasi kwamba hata akiwa na hela bado ni wale watanunua andazi la stend na kunywa na juice zile wanapitia ha bila kujali usafi... Sikutaka ionekane kwamba mwanamke ukiwa umemzidi ME elimu na exposure basi mahusiano hayawezekani. Mwanzo I ilikuwa ngumu lakini badae nikajikuta nshampenda na watu hawakuamini Kama tumeweza kuwa pamoja kwa kipindi kirefu. Kifupi nilikuwa deeply in love.
Siku zote watu watakunyima hela na chakula Ila hawawezi kukunyima neno. Wao walijua ni nini alikuwa anafanya Huko nje wakawa wanaongea mwisho waliopoona siwasikilizi wakanyamaza.
Mwisho nikaja kugundua hakustahili mapenzi yangu na alikuwa zaidi ya nilivyodhani kwa mambo ya ajabu aliyokuwa anafanya. Niliamua kulipa kibinadamu Ila mwisho nikaamua kumuachia Mungu anilipie.
Binafsi naona matajiri wapendane wao kwa wao, maskini wapendane wao kwa wao, wasomi wapendane wao kwa wao na wasio na elimu wapendane wao kwa wao. Maana unaweza ukawa na nia nzuri Ila unayempenda a siamini Kama inaweza kana. Haya mambo sijui ya true love tuwaachie wazungu.
Mwaka huu wakati tukianza mwaka mpya kulikuwa na nafasi za kazi kwenye company yetu. Kama kawaida zilitakiwa zijazwe, niliamua kwa dhati kabisa kutafuta vijana wenye sifa kutoka humu jukwaani (JF).
Mchakato ulifanyika na hatimae nkaajiri vijana watatu kutoka humu humu ambao mmoja alikuwa na experience kidogo na wawili are straight from school wamemaliza pale UDSM 2018. Mmoja yule mwenye experience baada ya muda mchache aliamua kuacha kazi baada ya kuomba salary increment na mimi kukataa hilo ombi kwa sababu haikuwa hata na miezi 4 kazini, kilichoniudhi ni namna alivyoondoka, alidanganya kwamba anaenda kumuangalia mzazi wake mgonjwa, na pia alichukua baadhi ya vifaa vya ofisini. Tulitegemea angekaa na Sisi ila ndio hivyo.
Wa pili kati ya hawa watatu ni kijana mmoja anaetoka kanda ya ziwa. Much know kwa sana, he considers himself the most knowledgeable and best employee out of all we have. Alikuwa akim criticise supervisor wake kwenye staff meeting in front of all other staff. Sio mara moja sio mara mbili. Nidhamu yake ni mbaya sana, alifikia mpaka kumtongoza one of the manager (foreigner) from the same office. At first alikuwa akiniheshimu/kuniogopa mimi tu because he knew I was making the calls. I went out of my way in helping him establish his life, salary ikikata mnamo tarehe 20 I would give him loans or my personal money. Baada ya kurudi one of my trip around August this year supervisor wake akanieleza mashakil yake. Nikaanza kukata all favors alizokuwa akipata from me. Akaona I was no longer a friend to her, I was only a boss at work and nothing more. As long as he could do his job and not insult anyone, everything was okey for me. At last, he had to go, and he had to go himself, what happened mpaka akaondoka mwenyewe sitaki kusema hapa but yeah he had to leave kwa kejeli na dharau na shutma kubwa dhidi yangu. Shutma moja ni kwamba mimi nimemchawia na namfanyia uchawi, usiku akilala ananiona namkaba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Sijui why hakumtafuta Mshana Jr hahaahahahahha
Huyu kijana wa tatu bado nipo nae, he is doing good and he is my friend, he loves talking to me about Manchester United and would joke to me about Arsenal. He thinks I am the best boss in the world and may be he is reading this hahahaahahahah.
Sijisifii lakini humu jukwaani nimeshawasaidia watu si chini ya 10 msaada wa maana sio hizi 10,000 au 15,000 ila sasa nimeacha.
Ndio maana the other time nkamwambia Cresida be careful.
cc: SweetieLee and Karma
Hii post imeandikwa kwa uchungu sana tena sana...pole aiseee maana ukichopitia nami nimekipitia.
Pole sana wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka 2007 nilimaliza mafunzo ya ufundi veta, nikawa nafanya kazi za mtaani mwaka 1 baadae nikakutana name bint mchaga sura nzuri had tabia .
Alitengetengeneza mazingira ya kumpenda na kweli ikawa hivyo.
Mwaka 2009 nilipanga chumba name kutoka Kwa mzee, bahati mbaya nae nyumbani kwao akawa hatakiwi maana alikuwa akiishi kwa baba yake alie Kuwait name mke mwingine.
Nilitafuta sehemu ya kwenda kukaa Kwa ninao wafahamu hatimae nikapata kwa dada 1 akakaa wake.
Ilibidi nizunguke pale mjini kutafuta kazi nilizunguka sana nikapata kampuni ya ukusanyaji wa ushuru maegesho ya Magari.
Miezi 3 baadae dada aliekua akikaa nae alimfukuza ikabidi nikaaongee name mzee wangu akaniruhusu nikakae nae yeye atamalizana na mzazi mwenzake.
Nikabeba mke jioni ya SAA moja jumamosi tarehe 12 mwezi wa 9 2009.
Hapo ndipo kizaa kilipo anza , nilikaa nae miaka mitatu. Ndani ya hio miaka 3 ndipo nilipojua wakati mwingine likuepukalo lina heri ndani yake.
Kwa ufupi Kwa kua alikua amesoma had kidato cha 4 na matokeo mazuri, nilianza kumtafutia college kuanzia ualimu unesi misitu mifugo computer veta kote huko akakosa, hiyo iligarimu mwaka na nusu.
Aliugua kifua kikuuu Kwa muda wa miezi nane ndio alipona, kipindi hiki kidogo kilinipa challenge Kwa kiasi kikubwa.
Miezi minne baadae mama yake mzazi aliugua na kufariki (R I P) hapa napo mziki wake ulikua si haba.
Miezi 3 baada ya hili nilifiwa na mlezi wangu alien nilea toka nikiwa na mwezi 1 hapa napo niliumia mno!
Baada ya haya ilibidi nimtafutie cha kufanya.
Dada mmoja akaniambie anafungua kibanda stand hivyo kama ataweza akakae hapo.
Alinipa kazi ya kutengeneza kibanda maana mimi ni seremala, akanipa hela nikanunue bidhaa ,nilitumia usafiri wa baiskel nilirudi mjini Mara 8 tena bado kidogo nigongwe na lori, mwishowe nikaenda kumchukua yeye mke wangu kuja dukani. Kumbe ndio nampeleke Kwa mume mwingine.
Alianza kurudi nyumban Saa nne tofauti na makubaliano.
Alikuwa akiwasifia watu wengine wanamaendeleo tofauti na Mimi.
Mwishoni akaniambia tuachane!
Kweli aliondoka na mimi nikabaki na maumivu name umaskini.
Miaka minne niliipoteza kwake lakini aliniacha kwenye Mata, na athari alizoniachia mpaka leo sijasimama kimaisha vizuri.
Lakini taarifa nilizonazo yeye yupo safi na nyumba wanayo.
Yote ni maisha name maisha yanaendelea , poleni wakuu Kwa mikasa mliokutana nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nacheka km mazuri!
Hasira zinaisha na kubaki kicheko.
Erasto si mtu mzuri.
Btn njoo pm
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nakuja!