maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamaaaaaaaaaaah! ATI? Kaizer kuja huku !na we umezidi kuwa busy ona sasa unaachwa huku!
sijui utaliaje maskin!
mweh!
Baba V panga eneo la tukio tupige kazi!
Wakiona bango hawachelewi kuleta zengwe, mabango wanayopenda kuyaona ni yanayotangaza nguvu za kiume tu
mwanaume kila siku busy hadi libido imeshuka busy, bize bize my foot! sasa leo natangaza rasmi kudai talaka yangu.
Dadadadeki wallah!!, mwaka huu naona hadi mvi zitaanza kunibadilika na kurudi weusi, kwa namna hii eeh!!
snowhite nakuhitaji ujue na nakuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuupenda sana ujue na nakumiss sana ujue na nakukiss ujue
Blaki Womani ukiona hivyo ujue Vin Diesel ndoa yake na Mamndenyi haikupitia kwenye ukaguzi na kukubaliwa ndo maana anaacha kimya kimya. Nakumiss sana dear Blaki Womani
gfsonwin hiyo shule naomba ianze haraka sana aise tutamwalika na snowhite
mwali acha kabisa mie nasubiria za capitation nijimilikishe sasa nitafutie ndugu yako mwenye lab store ili ni procure kwake kemikali kisha nilambe 10% kwanza. safari hii hadi wanikome nani alikwambaia bucha hulindwa na fisi??
mtani miss yu mingi ujue!
we acha tu!
mwali acha kabisa mie nasubiria za capitation nijimilikishe sasa nitafutie ndugu yako mwenye lab store ili ni procure kwake kemikali kisha nilambe 10% kwanza. safari hii hadi wanikome nani alikwambaia bucha hulindwa na fisi??
wewe, mambo ya dada yako hutakiwi kuyaskiliza sawa??imekuaje dada?
miss yu tu mtani wangu...nami naingia hapa kwa kuvizia kama wewe...mkoloni kashaanza kukaba! vipi lakini waendeleaje???
Kimya kimya bana we mpaka urudie mara mbili mbili kama matangazo ya vifo snowhitewakezo wana hii taarifa lakini?
ahahahahhahahhahahah haki ya nani!hiv walikosa mkuu wa shule?kumpa wifi yangu mie uuwih!na lazima tumalize hasira za waraka wao wa kihafidhina na kikatili kwa kuwaibia mpka wakome!
uliza weye Van Diesel mimi nipo nashanga hapa!lol!Wajua siku hizi Asprin ukaguzi wake unachukua muda mpaka watia shaka... Blaki Womani soon utamsikia nilieamua kumkabidhi moyo wangu rasmi...
Hivi wewe Mr Rocky dada yangu Dena Amsi unakosa nini kwake mpaka uanze kutanga tanga mpaka uanze kumzengea snowhite...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
hebu ntake radhi bana wafikiri sifai kuwa mkuu wa shule??
FYI mungu nae huwa anajua mateso ya watu wake na huwapa liwazo kwa njia za ajabu sana.