Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,105
- 136,783
Mpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.
Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa.
Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea.
Leo kuna Gwajima.
Niliiangalia presser yake yote.
Hoja zote alizozitoa ni halali kabisa. Kazungumza ukweli mtupu kuhusu mambo yanayoendelea.
Kakikosoa chama chake. Chama chake badala ya kujibu hoja, kimeanza kumshambulia yeye.
Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja.
Gwajima, don’t buckle. Don’t apologize. Stand on business.
You spoke the truth, the whole truth, and nothing but the truth. Don’t let them gaslight you.
Ni ada ya CCM kushambulia watoa hoja na si hoja walizozitoa.
Hata Horace Kolimba alipowakosoa kuwa hawana dira wala mwelekeo, walimshambulia yeye badala ya kile alichokisema.