Standing on business: Gwajima usiwe kama Ndugai!

Standing on business: Gwajima usiwe kama Ndugai!

However you want to characterize it, hakuna cha kuomba radhi wala kujiuzulu chochote.

Hakuna uongo uliosemwa na Gwajima au hata Ndugai kipindi kile.
Viongozi wa Tanzania pasua kichwa. Kikwete alitukanwa wee na Mnyika lakini alinyamaza ila alikuwa Epa.
Mama kukosolewa kidogo tuu unapotezwa halafu anauza bandari.
Sijui nafuu iko wapi
 
Asingesikilizwa. Isingesaidia chochote kutokomeza utekaji, serikali kutenda haki kwa wananchi wake na kufuata sheria, katiba.

Ametoa ushauri mzuri tu. Ushauri wake ushugulikiwe na serikali.
ndio hivyo tena, kujitoa muhanga kuna ghalama zake:
kuna ukweli ambao hautakiwi kuongelewa:
 
Mpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.

Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa.

Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea.

Leo kuna Gwajima.

Niliiangalia presser yake yote.

Hoja zote alizozitoa ni halali kabisa. Kazungumza ukweli mtupu kuhusu mambo yanayoendelea.

Kakikosoa chama chake. Chama chake badala ya kujibu hoja, kimeanza kumshambulia yeye.

Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja.

Gwajima, don’t buckle. Don’t apologize. Stand on business.

You spoke the truth, the whole truth, and nothing but the truth. Don’t let them gaslight you.

Ni ada ya CCM kushambulia watoa hoja na si hoja walizozitoa.

Hata Horace Kolimba alipowakosoa kuwa hawana dira wala mwelekeo, walimshambulia yeye badala ya kile alichokisema.
Ndungai alinyooshewa mtutu
 
Good advsie

Kama ni msafi….. maana kwenye ngoma ya wachawi ukijitoa tu wanakula nyama
 
Tatizo kubwa ni kuwa CCM wana-act kama nyumbu i.e. mmoja anaposhambuliwa kwa kusema ukweli, wengine wanashindwa kumsaidia kusimamia ule ukweli. Ndugai aliposema ukweli kuhusu kukopa, Gwajima alimwandikia meseji na kusema ''This is the Ndugai I know''. Bahati mbaya ile meseji ikavuja. Nni kilifuata? Gwajima alimkana na kusema hakuwa anaanishi kumuunga mkono. Fast foward, leo na yeye yamemkuta. Wangekuwa wanaungana mmoja anapodhulumiwa mambo yangebadilika.
alimnanga ndugai kanisani kwake, utakumbuka alimpeleka gwajima kwenye kamati ya maadili na madaraka ya bunge na akasimamishwa vikao kadhaa nadhani.
 
ndio hivyo tena, kujitoa muhanga kuna ghalama zake:
kuna ukweli ambao hautakiwi kuongelewa:
Kwa serikali hii kuna gharama kubwa sana. Ila Watanzania wengi wakiunga mkono haki, watawala itabidi watende haki.

Ndugai, Father Kitima, Mwabukusi, Dr Slaa waliwekwa ndani na kosa la uhaini, Mbowe alipodai katiba mpya alipewa kesi ya ugaidi hali alipotolewa na kwenda ikulu.

Wengi wametekwa, wamepigwa, wametukanwa, wamedhalilishwa kwa kudai haki.
 
Leo wamelifungia kanisa lake. Wataendelea na mbinu nyingine za kumnyanyasa.

Naombea asitetereke maana alichokizungumza ni ukweli mtupu.

Hakuna haja ya kuomba radhi kwa kusema ukweli.
 
alimnanga ndugai kanisani kwake, utakumbuka alimpeleka gwajima kwenye kamati ya maadili na madaraka ya bunge na akasimamishwa vikao kadhaa nadhani.
Ndugai ndo alimuanza Gwajima, uzuri you tube Iko,
 
Rais wa Tanzania ni Mungu.

Wakiamua kuruka na Gwajima hakuna Mtanzania atakaye mtetea Gwajima ni mdogo sana kama waliweza kuruka na padre wa RC sembuse Gwajima.
Wanampa kichwa tu na wanampoteza.
 
Back
Top Bottom