Standing on business: Gwajima usiwe kama Ndugai!

Standing on business: Gwajima usiwe kama Ndugai!

Kujipanga kwake ni kusema ukweli na kuusimamia bila kutetereka.

nilichomaanisha ni kwamba ni lazima alijipanga na consequences na alijua hivyo sina mashaka na Gwajima kabisa nina uhakika amejipanga …
 
Gwajima hawezi wekwa mtu kati ka Ndugai.

Ni mbele kwa mbele.
 
Alitakiwa kuongea katika vikao vya ndani vya chama au wao kwa wao:
Kuongea nje ya vikao rasmi inachukuliwa kama uasi:

Ni kama habari mbaya za baba yako unaenda kuziongelea barabarani:
 
Mpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.

Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa.

Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea.

Leo kuna Gwajima.

Niliiangalia presser yake yote.

Hoja zote alizozitoa ni halali kabisa. Kazungumza ukweli mtupu kuhusu mambo yanayoendelea.

Kakikosoa chama chake. Chama chake badala ya kujibu hoja, kimeanza kumshambulia yeye.

Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja.

Gwajima, don’t buckle. Don’t apologize. Stand on business.

You spoke the truth, the whole truth, and nothing but the truth. Don’t let them gaslight you.

Ni ada ya CCM kushambulia watoa hoja na si hoja walizozitoa.

Hata Horace Kolimba alipowakosoa kuwa hawana dira wala mwelekeo, walimshambulia yeye badala ya kile alichokisema.

Njaa mbaya sana. Kuna Mijamaa CCM njaa yao iko kichwani. Hata wakila kiasi gani hawashibi.
 
Mpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi.

Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa.

Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea.

Leo kuna Gwajima.

Niliiangalia presser yake yote.

Hoja zote alizozitoa ni halali kabisa. Kazungumza ukweli mtupu kuhusu mambo yanayoendelea.

Kakikosoa chama chake. Chama chake badala ya kujibu hoja, kimeanza kumshambulia yeye.

Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja.

Gwajima, don’t buckle. Don’t apologize. Stand on business.

You spoke the truth, the whole truth, and nothing but the truth. Don’t let them gaslight you.

Ni ada ya CCM kushambulia watoa hoja na si hoja walizozitoa.

Hata Horace Kolimba alipowakosoa kuwa hawana dira wala mwelekeo, walimshambulia yeye badala ya kile alichokisema.
Ungelitoka hadharani ukamtetea lingelikuwa jambo jema sana kwake kwamba angalau kuna watu nyuma yake. Sasa wewe umejificha, eti "Nyani Ngabu" ila yeye akomae! Ahahahahaha!

Haya. Ngoja tuone!
 
Alitakiwa kuongea katika vikao vya ndani vya chama au wao kwa wao:
Kuongea nje ya vikao rasmi inachukuliwa kama uasi:

Ni kama habari mbaya za baba yako unaenda kuziongelea barabarani:
Asingesikilizwa. Isingesaidia chochote kutokomeza utekaji, serikali kutenda haki kwa wananchi wake na kufuata sheria, katiba.

Ametoa ushauri mzuri tu. Ushauri wake ushugulikiwe na serikali.
 
Hakuna uongo aliousema siku ile.
Tatizo kubwa ni kuwa CCM wana-act kama nyumbu i.e. mmoja anaposhambuliwa kwa kusema ukweli, wengine wanashindwa kumsaidia kusimamia ule ukweli. Ndugai aliposema ukweli kuhusu kukopa, Gwajima alimwandikia meseji na kusema ''This is the Ndugai I know''. Bahati mbaya ile meseji ikavuja. Nni kilifuata? Gwajima alimkana na kusema hakuwa anaanishi kumuunga mkono. Fast foward, leo na yeye yamemkuta. Wangekuwa wanaungana mmoja anapodhulumiwa mambo yangebadilika.
 
Back
Top Bottom