vyama vya wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Wafanyakazi: Ngao au Tishio?

    Vyama vya wafanyakazi na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) viliundwa kama ngao ya kulinda, kutetea, na kuwasilisha sauti ya mfanyakazi. Mfumo huu unapokengeuka na kupoteza maono yake ya msingi, chombo kilichoundwa kumkomboa mfanyakazi kinageuka kuwa tishio kwa maslahi na haki zake...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya ndani ya vyama vya wafanyakazi

    Makala ya kielimu kuhusu uhuru wa kujumuika, nafasi ya mwanachama, mipaka ya mamlaka na umuhimu wa demokrasia ya ndani UTANGULIZI Vyama vya Wafanyakazi ni taasisi muhimu katika kulinda haki, maslahi na sauti ya pamoja ya wafanyakazi. Uimara wake haupaswi kupimwa kwa idadi ya wanachama...
  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Nini kinazuia huduma za Vyama vya Wafanyakazi kuunganishwa kwenye mfumo wa ESS?

    Kwa sasa, karibu kila huduma muhimu kwa watumishi imehamishiwa kwenye mfumo wa e-UTUMISHI (ESS). Kupitia mfumo huo, mtumishi anaweza kuomba likizo, mikopo, uhamisho, kuongeza wategemezi, kupata salary slip, na huduma nyingine nyingi bila usumbufu wa kufuatilia makaratasi kutoka ofisi moja hadi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya vyama vya wafanyakazi hasa TALGWU (chama cha wafanyakazi wa serekali za mitaa) kutengeneza Tshirt mbovu za wanachama wao

    Kila mwaka vyama vya wafanyakazi vinasherekea siku ya wafanyakazi yaani mei mosi na sherehe hizi zinaendana na kutengeneza sure hususan Tshirt au kutoa khanga kwa ajili ya kushona. Jambo la kusikitisha licha ya kuwakata wafanyakazi ambao ni member wa vyama hivyo Kila mwezi kwenye mishahara yao...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanyakazi vyalia na ongezeko la kodi

    Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya amesema kilio cha kodi kimekuwa kikubwa kwa wafanyakazi na wamekuwa wakiiomba serikali ishushe kodi. Soma Pia: TUCTA wamtunuku Rais Samia tuzo ya shukurani kwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi Wafanyakazi wanakatwa kodi ambayo haina ubishi, kadri mshahara...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Watumishi tunaungwa katika Vyama vya Wafanyakazi TUGHE na TALGWU bila kuchagua?

    Kwanini Watumishi tunaungwa katika Vyama vya Wafanyakazi, Chama Cha Wafanyakazi Wa Serikali Na Afya Tanzania (TUGHE)na Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) bila kuchagua? Kuna hivi vyama vya Wafanyakazi TUGHE na TALGWU wanakuunga kilazima bila mfanyakazi kujua, hawakupi...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Lucy Mwakyembe: Wafanyakazi washauriwe kujiunga kwenye vyama vya wafanyakazi wanavyotaka, wasiungwe bila ridhaa yao

    Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mwakyembe amesema kuwa Kujiunga na vyama vya wafanyakazi ni hiari, na ibara ya 20 ya katiba ya Tanzania inatoa haki hiyo na sheria ya ajira na mahusiano kazini inathibitisha haki hiyo. Baadhi ya taasisi za kazi imekuwa ikiwalazimisha wafanyakazi kwenye vyama vya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa vyama vya wafanyakazi mjitathimini

    Inaskitisha km siyo kuhuzunisha, kuona kiongozi anaeongoza kundi kubwa la wasomi tena wengine waliomzidi umri na elimu kuongea mbele za watu km muwindaji wa porini alieamua maisha yake ayamalizie kukimbizana na wanyama au ndege. Siku ya MAY MOSI ni siku ya wafanyakazi kueleza mbele ya kiongozi...
  9. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee, ambapo sherehe za Wafanyakazi yaani Mei mosi zinaratibiwa na kuandaliwa na Serikali na sio vyama vya wafanyakazi

    Kwenye picha hapo ni Viongozi wa Serikali eti wanakagua maandalizi ya uwanja kwa ajili ya mei mosi. Hizi kwa mchi zote Duniani hata kule Somalia ni sherehe za wafanya kazi tu. Bado unakuta wafanya kazi wana taguta mchawi wa masilahi yao? Hakuna Taifa isipo kuwa Tanzania ambako Sherehe za...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ni lipi Tamko la vyama vya wafanyakazi kuhusu ongezeko la mwaka la mshahara?

    Habari zenu watumishi wenzangu, Naomba kufahamu tamko kutoka kwa vyama vya wafanyakazi kuhusu kwamba mwaka huu kuna annual increment au laa ili watu tujue hamsini zetu tunaziomba vipi, na mkataba wetu na serikali kuhusu annual increment umekaaje? Pia soma: Mishahara haijapanda hata senti moja...
  11. Logikos

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Wafanyakazi Vimekufa wala Havitafufuka....

    Kuna kipindi Vyama vya Wafanyakazi vilikuwa vina nguvu sana na ndio vilikuwa vinaset agenda; lakini ni muda sasa kutokana na wahitaji wa ajira kuwa wengi kuliko uhitaji vyama hivi havina meno tena. Swali linakuja ni vipi Vyama hivi vinaweza kuadapt ? Je ifike wakati badala ya kuwa na Vyama vya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wanateta Serikali na kuweka pembeni maslahi ya Wafanyakazi

    Asalaam Aleykum. Kwa kweli kama kuna watu wana maisha magumu nchi hii, basi ni wafanyakazi. Wengi wao mishahara haijapanda kwa muda mrefu huku gharama za maisha zikipaa kila siku na viongozi wao wa vyama vya wafanyakazi wapo wapo tu kazi kuiba michango ya wafanyakazi wenzao wanayokatwa kila...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa vyama vya wafanyakazi chanzo cha kukosa umoja wao

    Kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani,wafanyakazi nchini wako kwenye mjadala wa kikokotoo,bima ya afya,nyongeza ya mishahara,kupanda n.k. huku wakikosa umoja na mtetezi atakayesimama kuwasemea ili kufika pale wanapotaka. Kwa miaka kama tisa au kumi tangu utawala wa Rais...
  14. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ni Kansa kwa Wafanyakazi

    Kwa muda mrefu nimefanya personal study kuhusu ubora na dhima ya vyama vya wafanyakazi Tanzania vikiongozwa na chama mama TUKTA na kuja na hitimisho kuwa , VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA NI KANSA KWA WAFANYAKAZI. Kwa kuangalia haya machache ni dhahiri kuwa msaada wake kwa wafanyakazi ni sawa...
  15. Voltaire

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vyama vya Wafanyakazi havipigi kelele suala la Kikokotoo?

    Kelele zimekuwa nyingi kuhusu kikokotoo, hamna kauli dhabiti iliyotoka toka kwa "Vyama vya Wafanyakazi". Kazi ya hivi vyama binafsi siioni zaid ya kuvalishwa sare na kuandamana Mei Mosi, serikali tafadhali ongeza kikokotoo mara buku hadi akili ziwakae! Kila mtu analalamikia chumbani kwake...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia umewakosea sana wafanyakazi nchi hii, kuhusu Makato ya LAZIMA ya mishahara kwenda vyama vya wafanyakazi

    Ni aidha ni utamu wa Makato ya wafanyakazi, yamekolea na kupata walaji mpaka huko juu au Spika Tulia hajui chochote kuhusu sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004. Ila inasikitisha Kwasababu Tulia ni mwanasheria na amewahi kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali. Hivi kweli, leo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanasiasa wanaingilia utendaji kazi wa vyama vya wafanyakazi?

    CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa. Je,!Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi. Ni muda muafaka sasa kwa wanasheria kuliangalia suala hili.
  18. L

    JamiiForums Tanzania Makato ya Vyama vya Wafanyakazi kifungu c

    72.-(1) Mkataba unaomlazimisha mfanyakazi kuwa mwanachama wa chama cha wafanyakazi hauna nguvu za kisheria. (2) Chama cha wafanyakazi kinachotambuliwa na mwajiri wanaweza kufikia makubaliano ya pamoja yanayotoa duka la uwakala. (3) Mahitaji ya makubaliano ya duka la uwakala linalobana ni: (a)...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kujiunga Vyama vya Wafanyakazi ni Hiari, Kwanini Walimu Wanalazimishwa Kujiunga Vyama Viwili?

    KUJIUNGA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NI HIARI, KWANINI WALIMU WANALAZIMISHWA KUJIUNGA VYAMA VIWILI VIWILI "Je, ni faida gani ambayo wafanyakazi wanapata kupitia uwekezaji wa fedha wanazokatwa na vyama vya wafanyakazi"? - Mhe. Neema Gelard Mwandabila, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe "Faida...
  20. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Mwenye katiba ya CWT na Sheria ya vyama vya Wafanyakazi Naomba tafadhali

    Habari za mda huu ndugu zangu. Ombi langu ni moja. Nahitaji vitu viwili 1.KATIBA YA CWT 2.SHERIA YA VYAMA VYA WAFANYAKAZI Nitumie hapa hapa au PM
Back
Top Bottom