LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 9,211
- 12,716
Haaahaa mpinzani wa wapinzani.mdee Ni mbunge hewaHalima Mdee!
Haaahaa mpinzani wa wapinzani.mdee Ni mbunge hewaHalima Mdee!
Hahahaaaa..........!Haaahaa mpinzani wa wapinzani.mdee Ni mbunge hewa
Eti Halima James Mdee naye aliibiwa kura!
YesChachandu?
We haupo Tanzania mkuu, Kama upo Basi kimwili tu.Watu walikesha vituoni kutiki vibuti vya kura kuongeza ushindi kwa ccmHAKUNA KURA ZILIZOIBIWA WAPINZANI HAWAKUBALIKI NA WANANCHI HAIWEZEKANI NCHI NZIMA MUIBIWE MLIKUWA WAPI? BASI HAMFAI KUONGOZA NCHI
siyo kweli hao wapinzani hawakuwepo kwenye kuhesabu kura? acheni unafiki huo hamkubaliaki na jamii kafanyeni kazi zingine tu na kina lema wenu wanajifanya eti wakimbizi wa kisiasa anamuogopa nani au ana impact gani na utawala wetu?We haupo Tanzania mkuu, Kama upo Basi kimwili tu.Watu walikesha vituoni kutiki vibuti vya kura kuongeza ushindi kwa ccm
mbona hawaendi mahakamani au kwa nini hawapeleki wabunge wengine wanao wajua wao hapo ndiyo utajuwa mbowe ni mafia kiasi gani anajuwa mcherzo mzimaHaaahaa mpinzani wa wapinzani.mdee Ni mbunge hewa
Hahahaaaa.....mama WATATU!
Utaolewa alafu upewe debe la ulanziHahahaaaa.....mama WATATU!
Wewe unajideula na kisado cha mbege na hilo tumbo lako.......hahahaaaa!Utaolewa alafu upewe debe la ulanzi
...haahaa pole.Ukweli ndo huo,wanaccm wanaojitambua wanajuasiyo kweli hao wapinzani hawakuwepo kwenye kuhesabu kura? acheni unafiki huo hamkubaliaki na jamii kafanyeni kazi zingine tu na kina lema wenu wanajifanya eti wakimbizi wa kisiasa anamuogopa nani au ana impact gani na utawala wetu?
, Ndugai kaivunja katiba.Hata Kama ccm ingefukuza wabunge wake, walipaswa kutoka mjengoni.mbona hawaendi mahakamani au kwa nini hawapeleki wabunge wengine wanao wajua wao hapo ndiyo utajuwa mbowe ni mafia kiasi gani anajuwa mcherzo mzima
NDUGAI ANAFUATA SHERIA NA KANUNI ZA BUNGE NDIYO MAANA MNASHINDWA KUMSHITAKI YEYE AMELETEWA MAJINA KUTOKA TUME SASA MLITEGEMEA AYAKATAEAFUATE RAMLIZENU?...Sio lazima kupeleka wabunge mkuu
, Ndugai kaivunja katiba.Hata Kama ccm ingefukuza wabunge wake, walipaswa kutoka mjengoni.