Spika Ndugai anawatafuta Tundu Lissu na Zitto Kabwe Bungeni hawaoni, wapo akina Nusrat Hanje

HAKUNA KURA ZILIZOIBIWA WAPINZANI HAWAKUBALIKI NA WANANCHI HAIWEZEKANI NCHI NZIMA MUIBIWE MLIKUWA WAPI? BASI HAMFAI KUONGOZA NCHI
We haupo Tanzania mkuu, Kama upo Basi kimwili tu.Watu walikesha vituoni kutiki vibuti vya kura kuongeza ushindi kwa ccm
 
We haupo Tanzania mkuu, Kama upo Basi kimwili tu.Watu walikesha vituoni kutiki vibuti vya kura kuongeza ushindi kwa ccm
siyo kweli hao wapinzani hawakuwepo kwenye kuhesabu kura? acheni unafiki huo hamkubaliaki na jamii kafanyeni kazi zingine tu na kina lema wenu wanajifanya eti wakimbizi wa kisiasa anamuogopa nani au ana impact gani na utawala wetu?
 
...haahaa pole.Ukweli ndo huo,wanaccm wanaojitambua wanajua
 
...Sio lazima kupeleka wabunge mkuu
mbona hawaendi mahakamani au kwa nini hawapeleki wabunge wengine wanao wajua wao hapo ndiyo utajuwa mbowe ni mafia kiasi gani anajuwa mcherzo mzima
, Ndugai kaivunja katiba.Hata Kama ccm ingefukuza wabunge wake, walipaswa kutoka mjengoni.
 
...Sio lazima kupeleka wabunge mkuu

, Ndugai kaivunja katiba.Hata Kama ccm ingefukuza wabunge wake, walipaswa kutoka mjengoni.
NDUGAI ANAFUATA SHERIA NA KANUNI ZA BUNGE NDIYO MAANA MNASHINDWA KUMSHITAKI YEYE AMELETEWA MAJINA KUTOKA TUME SASA MLITEGEMEA AYAKATAEAFUATE RAMLIZENU?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom