Spika Ndugai anawatafuta Tundu Lissu na Zitto Kabwe Bungeni hawaoni, wapo akina Nusrat Hanje

Kwa bahati mbaya sana uchaguzi mkuu wa October 2020 haukutengeneza Bunge imara!! tuna Bunge dhaifu yawezekana tangu tupate Uhuru wetu 1961 hili ndiyo bunge kiboko ya udhaifu, kiasi hata wananchi hawana hamu ya kulifuatilia maana yanayoongelewa ni yale yale!! Kizuri zaidi Spika na yeye ndiyo anachagiza liwe dhaifu zaidi.
 
Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali.

Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali wakati ule waziri mkuu Pinda aliposema mkiwabana mafisadi nchi itatikisika leo hawapo.

Kwenye kundi la vinyonga hakunaga safari.

Nawatakia Jumanne yenye baraka.
Yupo BABU TALE ataibana serikali imshirikishe kujenga barabara.
 
Kwa bahati mbaya sana uchaguzi mkuu wa October 2020 haukutengeneza Bunge imara!! tuna Bunge dhaifu yawezekana tangu tupate Uhuru wetu 1961 hili ndiyo bunge kiboko ya udhaifu, kiasi hata wananchi hawana hamu ya kulifuatilia maana yanayoongelewa ni yale yale!! Kizuri zaidi Spika na yeye ndiyo anachagiza liwe dhaifu zaidi.
Gwajima ameoneka aKawe akitafuta vijana wa kwenda Marekani.
 
Kiukweli hili bunge tumekula. Wa chuya, wabunge waliopo mule hawajielewi.Kila kinachosemwa na spika Ni kupiga makofi tu.Kiufupi watanzania tumeliwa
 
Kwa bahati mbaya sana uchaguzi mkuu wa October 2020 haukutengeneza Bunge imara!! tuna Bunge dhaifu yawezekana tangu tupate Uhuru wetu 1961 hili ndiyo bunge kiboko ya udhaifu, kiasi hata wananchi hawana hamu ya kulifuatilia maana yanayoongelewa ni yale yale!! Kizuri zaidi Spika na yeye ndiyo anachagiza liwe dhaifu zaidi.
DED anapokusaidia kupata ubunge basi wewe unakuwa ni mbunge wa serikali siyo wananchi kwa mfano pale Mtama!
 
Mh. Spika jimboni kwangu sina maji na watoto wanakaa chini,naomba waziri aniambie ni lini atakuja jimboni kwangu kuona hali hiyo??
Namalizia kwa kusema Mh.spika Serikali hii ya awamu ya 6 ni skivu na ninaunga hoja ya kupitisha bajeti hii ya Maji.

Makofi paaaa paaa paaa!

Kwa wabunge design hii it will take century kuwa na maendeleo katika Taifa.
 
Kwenye kikao Cha familia kina ndugu wa upande mmoja

Waliona Raha kuiba kura nchi nzima leo mwenyewe anaona tabu ya Kuwa na wabunge la kuteuliwa na m/kiti wa CCM
HAKUNA KURA ZILIZOIBIWA WAPINZANI HAWAKUBALIKI NA WANANCHI HAIWEZEKANI NCHI NZIMA MUIBIWE MLIKUWA WAPI? BASI HAMFAI KUONGOZA NCHI
 
Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali.

Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali wakati ule waziri mkuu Pinda aliposema mkiwabana mafisadi nchi itatikisika leo hawapo.

Kwenye kundi la vinyonga hakunaga safari.

Nawatakia Jumanne yenye baraka.
Umenena comrade 💪 👊 ✌️👌🤛🤙
 
Acha dharau we kahaba wa kihehe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom