RealEstate Agent
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 244
- 321
JichangeNgoja nijichange
Mbona kwenye tangazo sijaona hii ya laki kwa ekari moja,inapatikana wapi ma umbali gani?100,000 tu kwa heka 1
Ipo mkuu hapo kwenye kilomita 10 kutoka barabara kuu.. Ni 100,000 kwa hekaMbona kwenye tangazo sijaona hii ya laki kwa ekari moja,inapatikana wapi ma umbali gani?
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Mbezi ni town mkuu... Hamishikiki..Luguruni Mbezi eka 1 ni 120milion, kweli maisha yanabadilika.
Je lazima ununue heka 10 zoe au hata moja au 2?Ipo mkuu hapo kwenye kilomita 10 kutoka barabara kuu.. Ni 100,000 kwa heka
Kuanzia heka 10 bossJe lazima ununue heka 10 zoe au hata moja au 2?
hata hekari 1000 zinapatikana... njoo na milioni 100 tuTz tuna ardhi ambayo haijaguswa ,yaani unapata hadi ekari 600 tz?
Sa utapata faida gani?Hiyo tv chogo haiuzwi mkuu? Naihitaji nna shida nayo kidogo pamoja na hako kameza!
ushawahi kujenga ndugu..maana wajipangia tu bei nyumba za watuuuInauzwa na kila kitu ndani au? Ukitoa za udalali hiyo nyumba ni 70 M
Sent from my N20 using JamiiForums mobile app