Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

Huyu ndiye mwenye phd hahahhh
Ataanikwa na kuabishwa na huu utakuwa mwisho wake hata kikanisa
Hili ni jasho la kawaida au kuna jambo maana si kwa iuvuja jasho kiasi kilo zimeanza kuzorota hofu ya nini
**Mdee nenda na speed ya ndege huyu usitumie nguvu kumhubiri au kumnanga zungumzia sera za chama waachie wana Kawe wadeal nae kwa mtindo huu.....Focus
 
Gwajima sasa hivi naona atakuwa anajuta kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajauje mwisho wake ulikuwa mmbaya zaidi ya hiki tulichokiona?
 
Tena anadai PhD yake alisoma nje ya nchi sikumbuki hata alitaja nchi gani,
 
Mzee ana maswali ku¿husu bei ya Sukari.Je Mdee ana majibu yake?
 
CDM inachopaswa kufanya kama itakavyokuwa ktk majimbo mengine, ni kulinda kura watakazopigiwa tarehe 28-10-2020, Gwajima asubuhi sana ni chali. Hapo pengine achotarajia ni tume kupindisha matokeo halisi.
 
Hakuna kitu humo gwaji kachemka mie nimeitizama yote iko youtube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…