Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,295
Pale ambapo mgombea anazidiwa upeo na mpiga kuraAtakuwa anajuta kufanya kampeini za nyumba kwa nyumba mara baada ya jana kukutana na mzee anayejitambua.
Kapigwa maswali hadi anajitafuna tu bila kutoa majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app