Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

🤣🤣🤣 sahihi..

Master Gamondi atauweka mpira katikati kesho.

Sema Nigeria sio aggressive.
Siwaogopi.
Miaka inavyoenda Nigeria nao wanzidi kuwa wa Kawaida haiwezekani unajiita football nation unashindwa kufuzu kombe la dunia mara mbili mfulululizo... Mi hata kwenye mikeka hawa Nigeria nilishaacha kuwaweka.
 
Football ilikufa na akina Mikel
 
1000459065.jpg
 
1000459066.jpg

Hawa jamaa, Wakishindwa kubeba ndoo, hawako serious
 
Muoga wa Injury, kipindi kile mabwana zake waalikuwa wanamtegemea sana
Sema Mo Salah amekua kwenye generation ya Egypt isiyo na maajabu Km ile ya akina Amri Zakhi, Zidane, Aboutrika. hata ukiangalia kwa haraka haraka Zaida ya Salah hakuna Egyptian player ambaye anatisha kihivyo zaidi ya wachezaji wa Al Ahly ambao hawana jipya. Asipoangalia anaweza aka-retire bila Afcon...
 
Timu za maana ni Morocco na Senegal wengine ni tia maji labda yatokee maajabu..
Morocco wabadilishe sana style yao ya kucheza.
Kwanza hata kikosi chao bado hawakiamini kwa level ya Comoros na kufanya sub nyingi namna ile, ni yale yale ya try and error.

Sasa wakutane na manguli uone watavyoteseka.
 
Sema Mo Salah amekua kwenye generation ya Egypt isiyo na maajabu Km ile ya akina Amri Zakhi, Zidane, Aboutrika. hata ukiangalia kwa haraka haraka Zaida ya Salah hakuna Egyptian player ambaye anatisha kihivyo zaidi ya wachezaji wa Al Ahly ambao hawana jipya. Asipoangalia anaweza aka-retire bila Afcon...
Umenikumbusha kina Aboutrika...acha kabisa.
 
Morocco wabadilishe sana style yao ya kucheza.
Kwanza hata kikosi chao bado hawakiamini kwa level ya Comoros na kufanya sub nyingi namna ile, ni yale yale ya try and error.

Sasa wakutane na manguli uone watavyoteseka.
Kweli kabisa Comoro wangeendelea kuwa compact km kipindi cha kwanza alafu wapate mtu wa kupiga pasi ndefu zimkute striker clinical mwenye speed wangeokoteshwa sana kambani...
 
Back
Top Bottom