Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

1000459686.jpg
 
Daah
Nimefika sasa.
1-1
 
Dakika ya 47
RSA 1
Angola 1
Game on...
 
Angola ina watu bwana, kipande cha mtu Luvumbo sio mchezo. Cross na kona za Fredy zimenyooka sana.

Hii vita ya Modiba na Luvumbo nilijua lazima mmoja wapo apewe kadi, sio mchezo.

Mchezo mzuri sana
 
Kuna mtu kasema South Africa atachukua ndoo, Mwingine akasema Sijui Nigeria, wengi wanataja vitimu vya ajabu ajabu... Mi nimeshawaambia Morocco atawakula wapumbavu watakaojilengesha... Kidogo wa kupishana na Morocco ni Senegal....

Morocco akiteleza walau Senegal kidogo anajua... Hao Vuvuzela hata Tanzania tukikaza vizuri pu..mbu tunaruka nao vizuri tu.
 
Moremi anaipa South Africa goli la pili
 
Back
Top Bottom