Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

1000459491.jpg
 
Morocco watachabanga hawa wote wawili atakayejitahidi ataambulia sare.
Hizi timu zina mapungufu mengi hasa katika kushambulia na kujilinda, wachezaji wa Mali hawajui kufanya maamuzi sahihi wanapokuwa golini kwa mpinzani.
 
Algeria sio wa kuwabeza wana wachezaj wanao shiriki lig kubwa na wazuri mtu kama Maza kutoka Leverkulsen
 
Morocco watachabanga hawa wote wawili atakayejitahidi ataambulia sare.
Hizi timu zina mapungufu mengi hasa katika kushambulia na kujilinda, wachezaji wa Mali hawajui kufanya maamuzi sahihi wanapokuwa golini kwa mpinzani.
Ngoja tuwaone South vs Angola
 
Kesho tunakiwashaaaaaa

Let's Go Tanzaniaa

Hii ni yetu kwa pira la ovyo niloliona mpaka mda huu kazi itakuwa rahisi sana kuwashughulikia
 
Back
Top Bottom