mpira wa moroco si umeuona leo mkuu, sio ule tunaoujuaMkuu Wakijilengesha Mmorocco atawagonga mbaya.
Sure kipindi cha pili wamei-win game baada ya Comoro kupoteza concentration kutokana na kuchoka... first half wali block spaces zote.mpira wa moroco si umeuona leo mkuu, sio ule tunaoujua
Wataweka tu..Wamegoma
π€£π€£π€£ Mtoto halali na helaMtoto halali na hela..
Huyi ni nani?? Mbona lizuri sanaam
π°π² kuna mahandisamu alooo.
Siku zote wapopo wako very attractive. ππ