Special Romantic Moments......

hahahah...,man from the dark city, namaanisha ya kwanza, kuoa....sio kuwowa bana

Mbona sasa hiyo haiwezekani..yaani umuoe mtu ambaye alikuwa anaweza barua zako notice board na kuzijadili na wenzake bwenini....Hayo mahusiano yaliisha pamoja na shule za vidato!!
 
Hahahahahaaaaaaaaaaaa hii nimeshindwa kujizuia kucheka....................Mzee DC nimesema memories za kukufanya ujisikie someone special.......je shoga anawezakufanya ujisikie someone special kwa umpendaye??

Ahhhhhhhhh kumbe..???

Kama unamwongelea bibi yao wale wapenzi wetu basi hizo moments ni nyingi kama majani...na nyingine hata expiry dates zake zimepita!!

Hivi kuna wakati dume linajisikia special saaana zaidi muda ule linapoambiwa kwamba wewe ndiye Rais wa dunia....na kwamba hata Obama hafai kuwa makamu wako???

Nadhani nimezeeka sana...nafikiria ki 1947....Naamini mtanisamehe!!

Ila special moments nyingine ni ngumu kuzielezea....!!
 
Lazima ulienjoy sana Mbu.....

View attachment 36656

....yaaani, huku uswazi wanasema 'usipime'...btw, next time nitamuomba mamsap
tupitie kusalimia waazee hapo jf makao makuu ARS,...leo nimepita mbio mbio
kukimbilia dar...

Hivi retreat yenu ilikuwa ya siku ngapi vile......?????

mstaafu,....mimi nakumbuka siku ya kwanza ilikuwa jumamosi asubuhi tulipoanza safari,
baada ya hapo hesabu (ya siku) ilinipotea (kwa hizo raha raha za duniani) mpaka jioni hii naingia Dar ndio akili zinanirudia....

africa2005.1121588040.t528.jpg

...tulimuona huyu 'paka' mtini....madame alikuwa hajabahatika tembelea mbuga hii..
ilikuwa raha nyingine kumtazama usoni mshangao na tabasamu lake pale nilipomjibu
hana pa kukimbilia 'nyau' akimkusudia...
 
....yaaani, huku uswazi wanasema 'usipime'...btw, next time nitamuomba mamsap
tupitie kusalimia waazee hapo jf makao makuu ARS,...leo nimepita mbio mbio
kukimbilia dar...

mstaafu,....mimi nakumbuka siku ya kwanza ilikuwa jumamosi asubuhi tulipoanza safari,
baada ya hapo hesabu (ya siku) ilinipotea (kwa hizo raha raha za duniani) mpaka jioni hii naingia Dar ndio akili zinanirudia....

africa2005.1121588040.t528.jpg

...nilimuona huyu 'paka' mtini....

Mbona ni zaidi ya siku 3?
 
Aksante sana The Boss, ina maana umpigie umweleze jinsi ulivyoenjoy?? au just aksante??

Recently I have been given the best three days of my life....still I cant find words to say thank you kwa sababu ninaamini kuwa pamoja na kuwa it was out of love I still feel like it was too much and a mere thank you haitoshi kuonyesha ni jinsi gani ninaappreciate alichonifanyia.

hata ukisema tu honey bado nakumbuka ya jana yale..lol
inatosha sana trust me
 
Umeona eh??........Huyu bwana anaezafanya watu tukatwangwa talaka kwa.....hebu fanya kama Mbu bana!

nn alisema huyu jamaa ni guru

nimependa sacrifice aliyofanya....
halafu kuwa unselfish kwa kuangalia zaidi mamsapu kafurahi kiasi gani..
wengine akishaingia gharama,atakuwa anataka kufurahishwa yeye zaidi...

yaani amefanya love is about givingi and giving
badala ya giving and taking....
 
Mrembo hujambo.. asante kwa kuubadili upepo, malalamiko too much utafikiri tuko igunga... ni kweli tunapokumbukia nyakati nzuri ktk maisha ya mapenzi..tunajenga kitu kipya..yaani tunazaliwa upya..pia yaweza kuwa kinga dhidi ya usaliti... always naamini kuna mema mengi ktk maisha kuliko ubaya.
 
...ama?...hahahaha...waifananisha/kuilinganisha retreat yangu na ya mwanajamiione nini?
hapana, yangu ilikuwa majuzi...ya mwj1 sijui yaliyomsibu wala lini...lol!

Hapana mkuu!!!

Nilikuwa najikumbusha hisabati za enzi zetu. Zile za kutoa na kujumlisha (with error margin of +/-1)!!!!

Ila nyie ni wakali....yaano romantic moments zenu zime-coincide si mchezo....May ndo maana NN anaomba mtuandikie kitabu...LOL!!!
 
dark city.......
 
Mimi bana namtwanga ma sapraiz tu! tena niko talented kweli kwenye hili fani la masapraiz, nakumbuka siku moja alinifurahisha kwenye kiduku cha midnight basi mzembe siku ya pili nikanunua mashine la karaoke! Ile anafungua mlango tu nikamlembea "King'aaaaast, I need youuu I love youu" ya Mr Nice, halaf ili kuonesha msisitizo nikamalizia na boyz 2 men Ai will mek lav 2 u hehehe hajadai talaka mpaka leo aisee!

Ujumbe
"Fuateni nira yangu na mjifunze toka kwangu", nimesahau sjui ni matayo ngapi hii! mwenye biblia atusaidie
 
Hapana mkuu!!!

Nilikuwa najikumbusha hisabati za enzi zetu. Zile za kutoa na kujumlisha (with error margin of +/-1)!!!!

Ila nyie ni wakali....yaano romantic moments zenu zime-coincide si mchezo....May ndo maana NN anaomba mtuandikie kitabu...LOL!!!

Umeona eeeh! yaani acha lawyer niuchune tu! usisahau vile vile , wote walipotea halaf ghafla wote wameibuka sku moja tena wanachangia sred ya special romantic moments.

Hii sredi mpaka sasa great thinkaz ni mimi na Dark city tu, mlobakia tunakushkuruni kwa kuchangia.
 
NN mpenzi loh I had never thought of that.......nitamwomba Mbu aconside this!!
Thanx for complement, naapreciate bro!

Any time my dear!

Wewe na Mbu combined mna mada kem kem za mapenzi na mahusiano ambazo mkizi compile na kuzipangilia vizuri mnaweza kutoa kitabu kimoja kizuri sana. Not only that, you both always come up with fascinating topics and ideas.

Au mnaweza kuwa na TV talk show yenu inayohusu mapenzi na mahusiano kwa ujumla. Your chemistry is off the chain and I always enjoy reading your good-natured banter. Based off of that I think you guys can form quite a dynamic duo!

But that's just me thinking out loud.
 
Binafsi zote zimalizwa na maumimivu, naamini kuwa mwisho mzuri ndio hukumbukwa kuliko mwanzo nzuri mwisho uwe mbaya.
Likwanda hii post yako imeniumiza. Ni kweli kuwa mwisho mzuri ndio hukumbukwa but com'n bana hakuna mbaya asokuwa na mazuri yake japo mawili! Hata mie nilikuwa na jinamizi langu lakini pamoja na ujinamizi wake kuna kipindi alishawahikuwa malaika jamani! iwe mwanzoni au mwishoni!!
 
Ahhhhhhhhh kumbe..???

Kama unamwongelea bibi yao wale wapenzi wetu basi hizo moments ni nyingi kama majani...na nyingine hata expiry dates zake zimepita!!

Hivi kuna wakati dume linajisikia special saaana zaidi muda ule linapoambiwa kwamba wewe ndiye Rais wa dunia....na kwamba hata Obama hafai kuwa makamu wako???

Nadhani nimezeeka sana...nafikiria ki 1947....Naamini mtanisamehe!!

Ila special moments nyingine ni ngumu kuzielezea....!!

Hahahahaha Mzee DC eti .......wewe ndio rais wa dunia hata Obama hafai kuwa makamu wako! Mwe watu mna vituko humu!! hakika hii ni romantic moment sijui ukishaambiwa hivi Mzee wangu unajibuje teh teh teh!
 
hata ukisema tu honey bado nakumbuka ya jana yale..lol
inatosha sana trust me
Dah aksante sana The Boss maana mie sikumbuki kama nilifanikiwa kulipata 'neno' la kushukuru maana niliona kama vile Aksante haitoshi kuonyesha jinsi gani nilifurahi and yet mpaka sasa najisikia guilty asijekuwa alihisi kuwa sikushukuru kwa kuwa ninachukulia kuwa ni wajibu wake kwa kuwa ananipenda!!.

Najaribu kufikiria nijitutumue nami nimpatie japo 2 days za kuenjoy. Sijui ntaweza na nlivyo dull!! mwe
 
nn alisema huyu jamaa ni guru

nimependa sacrifice aliyofanya....
halafu kuwa unselfish kwa kuangalia zaidi mamsapu kafurahi kiasi gani..
wengine akishaingia gharama,atakuwa anataka kufurahishwa yeye zaidi...

yaani amefanya love is about givingi and giving
badala ya giving and taking....

Ni kweli The Boss nadhani kuna somo la kusoma hapa hilo la kuhakikisha kuwa 'mwenzio kafurahi'.

Hapo kwelye red panahusika lol ni kama analipia kisha mlipiwaji unatakiwa kulipa fadhila hahahahahaha. kaazi kweli kweli!
 
Hapana mkuu!!!

Nilikuwa najikumbusha hisabati za enzi zetu. Zile za kutoa na kujumlisha (with error margin of +/-1)!!!!

Ila nyie ni wakali....yaano romantic moments zenu zime-coincide si mchezo....May ndo maana NN anaomba mtuandikie kitabu...LOL!!!

...hahhhh,...aisee mimi kila siku nimo kwenye mapenzi naye motomoto, ila nyuzi joto ya
mahaba yetu majuzi yalipandishwa ghafla kwenye kiota cha maraha...na kwa thread ya mwj1 nikajionea
acha nami ni share nanyi experience bana...hahaha

Umeona eeeh! yaani acha lawyer niuchune tu! usisahau vile vile , wote walipotea halaf ghafla wote wameibuka sku moja tena wanachangia sred ya special romantic moments.

Hii sredi mpaka sasa great thinkaz ni mimi na Dark city tu, mlobakia tunakushkuruni kwa kuchangia.

...lol...kumbe uli note tulipotea ghafla ee?....aisee....

Likwanda hii post yako imeniumiza. Ni kweli kuwa mwisho mzuri ndio hukumbukwa but com'n bana hakuna mbaya asokuwa na mazuri yake japo mawili! Hata mie nilikuwa na jinamizi langu lakini pamoja na ujinamizi wake kuna kipindi alishawahikuwa malaika jamani! iwe mwanzoni au mwishoni!!

...haya sasa.....haya ndio mambo aliyoyakataa the boss;

tunaomba kama ni kero msiilete hapa
hii thread iwe tu about beautifull memories
....

...mwanajamiione kaja na thread nzuri ya matumaini mapya, tayari watu wanamkumbushia machungu.
aaahhh, watu bana...you dont know kwa kiasi gani zafanyika jitihada za ziada kujaribu kumliwaza
mwenye hii thread ili nae ajitambue u thamani wake baada ya "usukule" wa miaka nenda rudi.

mwanajamiione, treasure the sweet memories bana,....
mapenzi sio doubts & machungu peke yake, aarrrghhh...
 
Back
Top Bottom