Special Romantic Moments......

...ama?...hahahaha...waifananisha/kuilinganisha retreat yangu na ya mwanajamiione nini?
hapana, yangu ilikuwa majuzi...ya mwj1 sijui yaliyomsibu wala lini...lol!

Umeona eh, Mzee DC anataka kuunganisha dots ambazo ni very scattered eti anataka apate msitari ataoupata ulio linear!!

Yangu ni ya muda kidogo but impact yake mpaka sasa naifeel!! na bado natafuta jinsi ya ku'shukuru'!!! Ila yako ya huko Mbugani mh, umenitamanishaje!!

aisee acha tu,...nimeng'atwa na mbung'o huko katika harakati za kumfurahisha madame, and it worth every penny aisee....nasubiria maumivu yakizidi nikamuone dakitari, otherwise, the retreat was excellent na madam hakuwa yule mwenye gubu la 'tunaharibu hela....!' yeye ni smiles tu...aisee maisha haya ni raha sana bana...

you only live once....kujipendelea muhimu!

long tym bro, kwema?

Mkuu long time hujasikika
Uko salama lakini. Ngoja nitakuja kuelezea romantic moment yangu hapa

• Thanks
Reactions: Mbu
Any time my dear!

Wewe na Mbu combined mna mada kem kem za mapenzi na mahusiano ambazo mkizi compile na kuzipangilia vizuri mnaweza kutoa kitabu kimoja kizuri sana. Not only that, you both always come up with fascinating topics and ideas.

Au mnaweza kuwa na TV talk show yenu inayohusu mapenzi na mahusiano kwa ujumla. Your chemistry is off the chain and I always enjoy reading your good-natured banter. Based off of that I think you guys can form quite a dynamic duo!

But that's just me thinking out loud.

...dahhh, am humbled kwa kweli...huyu mwanajamiione namtafsiri kama;

A soulmate (or soul mate) is a person with whom one has a feeling of deep or natural affinity, similarity, love, intimacy, sexuality, spirituality, or compatibility. A related concept is that of the twin flame or twin soul, which is thought to be the ultimate soulmate.

soulmate
A person with whom you have an immediate connection the moment you meet -- a connection so strong that you are drawn to them in a way you have never experienced before. As this connection develops over time, you experience a love so deep, strong and complex, that you begin to doubt that you have ever truly loved anyone prior. Your soulmate understands and connects with you in every way and on every level, which brings a sense of peace, calmness and happiness when you are around them. And when you are not around them, you are all that much more aware of the harshness of life, and how bonding with another person in this way is the most significant and satisfying thing you will experience in your lifetime. You are also all that much aware of the beauty in life, because you have been given a great gift and will always be thankful.

Mrembo hujambo.. asante kwa kuubadili upepo, malalamiko too much utafikiri tuko igunga... ni kweli tunapokumbukia nyakati nzuri ktk maisha ya mapenzi..tunajenga kitu kipya..yaani tunazaliwa upya..pia yaweza kuwa kinga dhidi ya usaliti... always naamini kuna mema mengi ktk maisha kuliko ubaya.

Hahaahhah MORIA naona unataka niendelee kujisikia special....eti nami pia Mrembo??! loh aksante anywayz.
Nimeubadili upepo mpenzi maana maisha mafupi lini ntafurahi nami kama kila kukicha ni kujilizaliza?! ntajadaiwa ahera bure!! hahah

Hapo kwenye kukumbuka ya kale na kujenga kitu kipya na kuwa kinga dhini ya usaliti imenipa kajiswali ka uzushi!! Unaitumiaje hizi kumbukumbu katika ku'sameheana' pale tunapokwazana? mfano mwenzi wako amekukwaza hadi unajiuliza ilikuwaje ukatumbukia mokononi mwake, je ukivuta kumbukumbu kukumbukia 'moments' hakuwezitusaidia kulegeza kamba

One of my speacial romantic moment happens in a nip...
a nibble kiss on my neck just below my left ear.. him
standing from the back.. not wanting do go third base
but just kissing for the sake of kissing... It always works
wonders... and It infuses my whole with so much love...
Ningeshangaa sana kama Kaizer asingeiona hii post na kupita juu kwa juu tu lol!!!!

Hapana mkuu!!!

Nilikuwa najikumbusha hisabati za enzi zetu. Zile za kutoa na kujumlisha (with error margin of +/-1)!!!!

Ila nyie ni wakali....yaano romantic moments zenu zime-coincide si mchezo....May ndo maana NN anaomba mtuandikie kitabu...LOL!!!

LOL hapa Mzee wangu unailazimisha Mahari hapa, tena wataka kumbana Mbu ili akiri kuwa ni yeye basi mahari hiyo itoke kwake!!

Wewe ni wangu ukifika muda muafaka ntakujulisha tu hahahaahahahahah. As if DC hujui yepi yanayoendelea upande wangu aha

Wapendwa wanaJF

Ni matumaini yangu wote mu wazima. Nimewamiss sana wote.

Kwa mara nyingine tena ninawaomba tushee pamoja baadhi ya kumbukumbu (memories) ambazo tulishawahi kuzipitia kwenye maisha yetu ya mahusiano. Ninaelewa wengi mlishazipitia zile 'Romantic Moments" ambazo zilikufanya ujisikie kuwa wewe ni A VERY SPECIAL PERSON katika maisha ya huyo alokupa hiyo great romantic moment. Najiuliza tu

Je unaonyeshaje kuwa umeridhika, umefurahia na unamshukuru vipi kwa kukupatia nafasi hiyo au tunachukulia tu ni jukumu lake kukupa good times kwa kuwa tu u her/his chosen one? How do you show your appreciation?

Hivi mjukuu ni nini tena banaa mimi hapana banaa lol!!!! Kuna Special Moment moja iko around the corner ninaionaona inakuja lol!!!!!

Mimi bana namtwanga ma sapraiz tu! tena niko talented kweli kwenye hili fani la masapraiz, nakumbuka siku moja alinifurahisha kwenye kiduku cha midnight basi mzembe siku ya pili nikanunua mashine la karaoke! Ile anafungua mlango tu nikamlembea "King'aaaaast, I need youuu I love youu" ya Mr Nice, halaf ili kuonesha msisitizo nikamalizia na boyz 2 men Ai will mek lav 2 u hehehe hajadai talaka mpaka leo aisee!

Ujumbe
"Fuateni nira yangu na mjifunze toka kwangu", nimesahau sjui ni matayo ngapi hii! mwenye biblia atusaidie

Hahahahah shemeji aksante kwa kunichekesha mie asubuhi hii.....hahaha eti hajaomba talaka mpaka leo !!

Na hiyo ya matayo dah.......... ntakutafuta kwa faragha!

...dahhh, am humbled kwa kweli...huyu mwanajamiione namtafsiri kama;

A soulmate (or soul mate) is a person with whom one has a feeling of deep or natural affinity, similarity, love, intimacy, sexuality, spirituality, or compatibility. A related concept is that of the twin flame or twin soul, which is thought to be the ultimate soulmate.

soulmate
A person with whom you have an immediate connection the moment you meet -- a connection so strong that you are drawn to them in a way you have never experienced before. As this connection develops over time, you experience a love so deep, strong and complex, that you begin to doubt that you have ever truly loved anyone prior. Your soulmate understands and connects with you in every way and on every level, which brings a sense of peace, calmness and happiness when you are around them. And when you are not around them, you are all that much more aware of the harshness of life, and how bonding with another person in this way is the most significant and satisfying thing you will experience in your lifetime. You are also all that much aware of the beauty in life, because you have been given a great gift and will always be thankful.

Dah!!!! Mkuu ulinyima lift ya kwenda mbugani wakati nilikufahamisha mapema kabisa nahitaji nipate moment ya kuona Simba lol!!! Mkuu hope all is well on your side

• Thanks
Reactions: Mbu
Umeona eeeh! yaani acha lawyer niuchune tu! usisahau vile vile , wote walipotea halaf ghafla wote wameibuka sku moja tena wanachangia sred ya special romantic moments.

Hii sredi mpaka sasa great thinkaz ni mimi na Dark city tu, mlobakia tunakushkuruni kwa kuchangia.

Ah................sijui niifute 'ofa ya kukutafuta faragha?' lol

Umeona eeeh! yaani acha lawyer niuchune tu! usisahau vile vile , wote walipotea halaf ghafla wote wameibuka sku moja tena wanachangia sred ya special romantic moments.

Hii sredi mpaka sasa great thinkaz ni mimi na Dark city tu, mlobakia tunakushkuruni kwa kuchangia.

Wewe CQ....Yaani unataka wajukuu wanione kama mwehu kwa kukenua mapengo yangu!!!!

Laiti ingewezekana kurudisha uhai wa hii dawa.....May be, may be........!!!!

Any time my dear!

Wewe na Mbu combined mna mada kem kem za mapenzi na mahusiano ambazo mkizi compile na kuzipangilia vizuri mnaweza kutoa kitabu kimoja kizuri sana. Not only that, you both always come up with fascinating topics and ideas.

Au mnaweza kuwa na TV talk show yenu inayohusu mapenzi na mahusiano kwa ujumla. Your chemistry is off the chain and I always enjoy reading your good-natured banter. Based off of that I think you guys can form quite a dynamic duo!

But that's just me thinking out loud.

NN, thanx man!! Cna maneno ya kuonyesha jinsi gani umenifanya nijisikie Special lol...................naona kama aksante tupu haitoshi! hahahah
Ngoja niombe kwa Soulmate wa Mbu ruhsa kwanza ya kufanya nae kazi!

Dah aksante sana The Boss maana mie sikumbuki kama nilifanikiwa kulipata 'neno' la kushukuru maana niliona kama vile Aksante haitoshi kuonyesha jinsi gani nilifurahi and yet mpaka sasa najisikia guilty asijekuwa alihisi kuwa sikushukuru kwa kuwa ninachukulia kuwa ni wajibu wake kwa kuwa ananipenda!!.

Najaribu kufikiria nijitutumue nami nimpatie japo 2 days za kuenjoy. Sijui ntaweza na nlivyo dull!! mwe

lol...hii post inanifurahisha sana,...mwj1...acha kujishuku...
pokea zawadi ya upendo bila kujiuliza utalipaje...kwani naamini
upendo hulipwa kwa upendo zaidi,...
kwakuwa ulitunukiwa siku tatu za retreat, haina maana nawe ufidie..

...kama nilivyotoa mfano yangu kwa topic ya awali,...linalo fidia furaha yangu
ni lile tabasamu lake na furaha yetu
kipindi chote tulipokuwa mbugani tukijipendelea (na soulmate wangu.)

...saying that, sina maana na-degrade kwamba hana uwezo wa kunifurahisha...la hasha!...
namaanisha, upendo wangu wangu kwake/kwetu haupimiki kwa thamani ya retreats, bali furaha itokanayo na kuwa pamoja.

PA sijui MJ1 ana ajenda gani banaa yaani mimi nilipoona Special Romantic Moments ghafla nikaanza kukumbuka machungu yaliyonikuta sijui kwanini aisee

Ukiona hivo ina maana alokupa hio speacial romantic moment as much as hampo woote... You have not let go..... Pole PA.... Ila naomba utaje, ni ipi hasa mpaka inakufanya iumee kiasi hicho... (alafu MJ1 na Mbu dawa yao ipo jikoni... Hizi topic zao hizi....)

Hahahahaha Mzee DC eti .......wewe ndio rais wa dunia hata Obama hafai kuwa makamu wako! Mwe watu mna vituko humu!! hakika hii ni romantic moment sijui ukishaambiwa hivi Mzee wangu unajibuje teh teh teh!

Unajibu kwa lisauti la kizee zee,

Ehhh, ehhhh...kweli malaika wangu na mungu wangu wa hapa kwa duniani!!!!!!??????.....Basi kesho nitaongeza dozi!!!!

Is that not romantic!!!!!

Back
Top Bottom