Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,652
Mzee DC usichanganye yangu na ya Mbu.........yangu ilikuwa siku 3 zamani kidogo naona ya Mbu bado ni fresh kabisa!
Nisamehe mwaya,
Hii miwani inaona picha mbili mbili.....Niliona kama yote yamemwagika jana toka mawinguni......
Mubarikiwe sana ndugu zangu!!