Do you feel LOVED? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Do you feel LOVED?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by AshaDii, Sep 11, 2011.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Habari wana JF....

  Naamini most of mliopo na wasiokuwepo hapa... your weekend ilikua ni nzuri na your Loved ones are well and good...

  Katika mahusiano ya Mapenzi kila moja hu wish kua angeweza kuingia rohoni ama nafsi ya Mpenzi wake huyo ili kujua/kuona ni kiasi gani his/her whole being imetawala …..Bahati mbaya saana ama nzuri HAIWEZEKANI… However kuna matendo/dalili ambazo huweza kukupa hints za nafasi yako kwa huyo Mpenzi wako… Hivo baadhi ya matendo ya Mpenzi wako ndio relient kwa mhusika Kusikia if s/he is LOVED...

  Tips za kutambua kua Mpenzi wako is not in to you….


  • Mawasiliano..
  Siku hizi njia za mawasilano ni nyingi saana aidha muwe karibu ama mbali mbali na Mpenzi wako… Hoever ni kwamba kila ukiwasiliana na Mpenzi wako… wee ndio unamuanza la sivyo yaweza pita days or weeks na hana habari… labda tu apige akiona mda umepita saaana – or else ni Kimya….

  • Ushirikiano…
  The only Ushirikiano S/he knows ni Sex… nje ya hapo ni kulazimishwa ama kwenda kujirusha…(na mara nyingi hii ni kutaka tu kuonana na wewe kwa rafiki zake ama vijiwe); Ukipata matatizo kama sickness, msiba ama tatizo lolote linalo hitaji uwepo wake…. Always yupo busy…

  • Ndugu na Jamaa
  Mna uhusiano ambao ni six months onwards but hajawahi kukutambulisha kwa ndugu yake yeyote Yule – kajitahidi saana ni friends wa hapa na pale; nao sababu tu mnakutana outings or vijiwe vyake…

  • Sweet Haven…
  Hajawahi hata siku moja kukukaribisha kwake na hali anaishi peke yake (au alikupeleka kupaona – or maybe just kuonesha level yake iko vipi) but hata siku moja hamjawahi spend faragha hapo na uhusiana una more than six months…. Zaidi it is your place or motel (hii hasa kwa guys…); Na uking'ang'ania saana huishia kununa but still in short hapendi wewe u-spend mda kwake…

  • Jealousy….
  Wivu katika Mapenzi ni moja ya aspect muhimu… But hata hivo viwango vya wivu ni muhimu saana kua observed kati ya Wapenzi wahusika… Wivu wa kukithiri katika Mapenzi; from my observation katika jamii, husababisha madhara makubwa kama kufanya kitu wawza jutia… Kuua (Mpenzi ama mwizi wa mpenzi) na hata kujiua mhusika… Mbaya saaana hii…

  However Wivu Mno ni mbaya… ila Wivu at minimal katika Mapenzi ni muhimu for hua kama chachu ya hao wapenzi.. Wivu ni moja ya njia ya kujua kua Mpenzi wako anakupenda ama lah! (Sina maana ufurahie mtu wako akiwa over possessive! No - Ila reasonably possessive)


  • Material Needs…
  Kila akionana nawewe lazima akupige mzinga… (tena usipompa anakununia kama vile aliwekeza kwako…); Haishi ku demand nataka hiki mara kile… mara shida ya cash ya hiki ama kile… and the like… For the one who is in to you hata kama yupo dependent kwako – kuna nidhamu kidogo katika uombaji wake ; nayo pia hua once in a while…


  • Name Calling…
  Kuna names ambazo kweli sio heshima kabisa kumuita Mpenzi wako… let alone mbele yake.. Kama huyo mpenzi wako hakueshimu to the extent ya kuweza kuita names ambazo hazifai… then S/he is not into you… I hate the name ‘dame' naamini Mpenzi akupendae hawezi sema hilo neon – for kama muelewa then hapo hapo ni kwamba anaharibu uhusiano delibatately…


  • Public appearances…
  Hataki kabisa wala hata siku moja kuonekana yupo pamoja na wewe…. Mkitembea kwa miguu mmoja mbele mmoja nyuma… au kutembea ndani ya gari tu toka mlipotoka mpaka muendapo… Daima hakuna watu huwaona pamoja.. labda kama wale baki ambao hawawezi wafahamu… On top of that kila mkionana ni gurantee s/he needs a shag… hakuna intimacy kati yenu zaidi ya sex…

  • Saying "I Love you"
  Ukimwambia I love you… anakujibu "Thank you" OR kutumia phrases za kijanja kama "I love the way you say you love you" na kuishia hapo na kukupotezea (the good thing ni kua at least s/he is frank…lol)

  • Speacial Romantic Moment….
  Hii ni Courtesy ya Mwanajamii1 (MJ1)… imeonekana wazi kua katika Mapenzi kuna SRMs hazihitaji gharama kubwa na sometimes yoyote ile… Hivo basi kama uko nae for long but hata hajawahi kukufanyia (create an environment) ya SRM.. then he is not it to you… kuhusu hili waweza pata zaidi katika hii LINK ya SRM Courtesy ya MJ1.


  DISCLAIMER…..

  Note that kuna watu wamejaliwa roho ya Imani… aweza baadhi ya mambo hapo juu kikamilifu kabisa kama inavotakiwa but still akawa not in to you…


  Kumbuka kua naweza kua Wrong katika assumptions zangu... hivo basi naomba Comments zenu iwe ni opinion/masahihisho/addition ama lolote lile.... Karibuni.


  UPDATES.... [Mambo muhimu yaloongezeka katika thread tokana na michango...]

  Courtesy ya Klorokwin
  Courtesy of Tulizo....

  [maelezo yangu yali base saana katika mahusiano awali.... ya Tulizo ni more in the line ya WANDOA.... thou mengine mahusiano ya Awali pia Sababu sio woote hupata nafasi ya kusoma the Whole thread Naamini itakua helpful nikii add hapa.. ]  @Tulizo, Tatizomda, Eiyer and Nyumba kubwa [Mnaamini wivu in the above sense; i.e Tulizo alivoeleza... IMO Wivu ni the way ulivoelezewa hapa chini.... Naomba mjustify nje ya hapo, why iwe considered kutojiamini???]

  Courtesy of Kaizer...
  Pamoja Saaana

  AshaDii [ADI]
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  "It is better to be hated for who you are, than to be loved for someone you are not
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Bebii I Love this....
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Sep 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  AshaDii kwa kweli naomba nikuamkue (kusalute) hii thread imebeba ujumbe mzima wa mapenzi! Big Up.
  To me, I do feel loved kiasi kwamba sideserve vile na hii inaniletea woga sometimes!!
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  MJ1 Asante saana Dear... Na the type of person you are (at least from your threads ) ni dhahiri you deserve hayo mapenzi unapata.... Hivo HONGERA saaana, ila hakikisha you live the moment.... huna haja wa woga i think... Thanks kwa acknowledgement....
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kuna mtu aliimba
  heri niwe peke yangu mama .......+
  heri niwe peke yaaangu...... Inabidi ifike mahali kila mtu aheshimu status yake kwenye mahusiano
  huwa sioni sababu ya kumngangania mtu? Kama penzi alibalance sio penzi ilo.
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Kua peke yako daima bila mahusiano ni nzuri ndio.... But once in a while inafika wakati unahitaji mtu (for upweke hatimaye ushinda).... Hivo basi ni kweli uwe peke yako mahusiano yatapokushinda but sio kua always.... ni kazi saaana.

  Kingine ni kwamba Bebii amini usiamini kuna watu wanafanyiwa yalo hapo above but still haoni wala hagundui kua huyo mtu anampotezea mda... aidha sababu kapenda saana... ama sababu tu kapuziia hajaunganisha one and one... au sababau zingine kibao....
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  lakini sis wasichana wengi wanapenda kungangania sana wanaume sijui ni material support au nini? kweli unakuta dalili zote za kutopendwa zinaonekana wazi lakini mtu yupo tu .watu wanadhani kuachana hadi kwa ngumi na matusi labda ila dalili moja tu unatakiwa uchukue hatua.
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Bebii hao hapo juu... siwezi walaumu kwa kweli... hao mabinti wa hivo wako katika makundi matatu (my assumptions...)

  1. Mwanume alonae yupo presentable kwa marafiki zake... for hawaishi msifia kua she has nailed it... anaona bora ajikaze nae kuliko ionekane kaachana nae - just for the sake of appearance lakini deep down hata yeye anaelewa kua hafai....
  2. Mwanaume alonae as much as ana mapungufu hayo hapo juu.... Ndio tegemezi kubwa saana kwake.... yaani in short pesa ya matumizi haikosi kabisa... Hivo hata siku ambayo the guy akimtoa.. anamtoa kweli - starehe inakua sio ya kudimba dimba....
  3. She is deeply and intensively in love.... Hakuna utachomwambia akakuelewa kua huyo mpenziwe hafai....
  Lakini at the end of the day... Kwa yule dada ambae ni mtambuzi na tayari akajitambua kua nini anataka from the guy... then hayo ni muhimu ku observe.
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kweli wewe ni mkali sis mimi mtu akiniboa siku moja tu huwa natimua zangu sina roho ya chuma mie
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Asikudanganye mtu... hakuna mwenye roho ya Chuma katika mapenzi.... uchungu ni ule ule Mmoja.... wanadamu twapishana ustahimilivu, uamuzi ama matendo ya kufanya baada/wakati wa kuumia - Hata hivo Bebii inabidi usiwe na maamuzi ya haraka... siku nyingine omba space na upime lipi bora... kubaki?? kusepa?? For only you know the answer to that as long as kalisha na tafakari kabla ya hatua....
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  poa sis
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  Sep 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  am trying my sisy am trying lol
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Na reject hio above statement MJ1... Utanisamehe for ushatoka katika group ya "trial and error".... error ukiipata saizi inakua ni lazima uliitazamia, ila tu roho zetu dhaifu hizi hugoma kabisa saa ingine kuendana na logic....lol... tatizo lipo kwa hawa mabinti wadogo kabisa (na baadhi ya wadada ambao hawajajitambua bado...)
   
 15. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Dah umesema ukweli ila hii inetokana na experience uliyonayo pole kama yamekukuta ila huo niukweli tosha kwa wanaume inatuhusu sana 100% hasa pale unapokuwa umemchoka mpenzi wako au umeshakuwa na mahusiano mengine na nimzuri zaidi ya uliye naye!
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Ni kweli nimepita mengi... kikubwa namshukuru Mwenyezi Mungu nimejifunza saaana tokana na hayo... Na Kiiza naomba nikushukuru kwa niaba ya wakaka kua ume acknowledge kwa asilimia 100%....
   
 17. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Asante na Karibu Nimefuatilia kwa umakini sana hii thread yako imenigusa sana inauma ila naona nikutojitambua wanawake hawasomi alama za nyakati
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hio group inayoongoza kwa hio in blue ni mabinti young ambao mara nyingi kama kweli society ingekua na proper morals.... wasinge hata watongoza for bado she is young and on top of that naive in most cases.... Sad.
   
 19. tama

  tama JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Okeeey nimesoma nimeelewa asanteni nitayafanyia kazi tu now.
   
 20. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 11, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Thanks for useful post AD as usual! Itawasaidia sana wadada ambao wako kwenye searching for serious relationship.

  Nimependa zaidi hapo kwenye kumwambia mtu I love you yeye anajibu thanks; inahu. Mimi ndo zangu nikimpigia hubby simu namwambia I love you kupima yuko na nani sikubali hata kidogo jibu la thank you na akinijibu hivyo ntarudia tena aisee.

   
Loading...