Kwa Akili zako ndogo unatetea Ujinga wa Yule mzee MropokajiAcha uchochezi na uchongqnishi mleta mada. Hakuna aliyemnanga jiwe leo. Hayo ni mawazo yako tu.
Hebu mtaje mtu aliyemtaja jiwe kwa jina lake. Vinginevyo ni uzushi na uzandiki tu unaojaribu kuueneza.
Huyu kizee hana akili timamu. Kwa kumtaja tu jakaya kwamba anadunda direct frontline wanakaa marais kwani jakaya ni Rais mstaafu. CCM inadhani ina hazina kumbe ni level ya mashetani.Nanukuu kutoka kwa mzee Makamba "Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!"
Hii kauli ndio imeleta utata huko.
Nimesema mtaje aliyemnanga huyo marehemu wakoUnajaribu kujificha kwenye shamba la karanga.
Hajamtaja marehemu wenuKwa Akili zako ndogo unatetea Ujinga wa Yule mzee Mropokaji
Hebu tuwe realistic, tusijaribu kubadilisha ukweli wa kilichosemwa na Mzee Makamba, hapo hakuna siasa wala chochote kingine...hotuba nzima ya Mzee Makamba hii hapa.
..naomba muisikilize ili kutenda haki.
..kwa mtizamo wangu kuna baadhi yetu wanaikuza au kuipa tafsiri potofu kauli za Mzee Makamba.
..kinachoendelea hapa ni sehemu ya michezo michafu ya siasa.
Tutakutana 2025Hajamtaja marehemu wenu
Mungu amempa neema ya kuishi yule mzee leo anatukana wafu, baba tenda muujiza... iwe barabarani, au hata akinywa maji apaliwe, au hata akilala tu tuone imeisha iyo...
Tutakutana 2025
JPM atabaki kwenye ndimi zetu kwa mda mrefu sana.
Ni wakati sasa Kufanya Maombi ya kitaifa ili Kumshukuru Mungu kwa Zawadi ya maisha ya Magufuli
“Mungu ameamulia ugomvi” NapeKaingilia Kati
Huna mtakachofanya 2025. Chama kimo mikononi mwa watoto wa mjini. Mkileta za kuleta mtakatwa na watakaobisha watapumzishwa kwa amaniTutakutana 2025
The truth is, Samia ameomba radhi kwa kauli aliyoitoa Mzee Makamba kwasababu alijua Makamba alikosea, hapa msijaribu kumtetea Mzee Makamba.Man,
Hao akina MTAZAMO wanajiona wao ndo wana uchungu zaidi na JPM kuliko hata Mama Janeth mwenyewe!!
Ni kutokana na hilo ndo maana wakiona mtu anaongea wasichotaka wao kukisikia basi wanamuona ana chuki dhidi ya JPM
In short, source ilikuwa hotuba ya Mzee Makamba, na kama kawaida yao, akaanza kumwagia sifa Samia! Wakati akiendelea na hizo sifa, ndipo akasema maneno haya:-
Baada ya kuongea hayo hadi JK akashika kichwa...
Sasa Mzee Makamba akaona amekosea kusema "Ukiondoka kabla ya 2025 Mungu atatupa mtu mwingine" na katika kujikosha, ndipo akasema maneno haya:-
Sasa akina MTAZAMO ndo wanaona Makamba kamaanisha Magufuli alikuwa mtu mbaya ndo maana amekufa kumbe alikuwa anajikosha kutokana na kauli yake kwa SSH kwamba akiondoka kabla ya '25 Mungu atawapa mtu mwingine...
Cha ajabu, hata Mzee Mkapa amefariki... lakini kutokana na paranoia, wao wanaona kasemwa JPM...
Msikilie mwenyewe hapa...
Kwa Akili zako ndogo unatetea Ujinga wa Yule mzee Mropokaji
Huyu kizee hana akili timamu. Kwa kumtaja tu jakaya kwamba anadunda direct frontline wanakaa marais kwani jakaya ni Rais mstaafu. CCM inadhani ina hazina kumbe ni level ya mashetani.