Special kwa wadada wa mmu wenye mambo haya

Special kwa wadada wa mmu wenye mambo haya

Mimi najionea huruma, miez miwili niko bed rest nakula na kulala, siruhusiwi kufanya zoezi lolote! Nakiogopa kioo, naogopa mzani! Juzi nimepima suruali skin jeans zimepita, zinafunga hazinibani.

Yaani na hivi siponi leo wala kesho, najihurumiaje! Itabidi nianze kula asali na ndimu!
Una tatizo gani la kiafya Lara 1
 
Lkn mipasho na kuwapangia jinsi ya kuishi watu wengine, nashindwa kupingana na tabia ulizozitaja kwenye post yako ya kwanza.

Hapo juu unazungumzia kuwapangia watu wengine jinsi ya kuishi. Nami ndo nikauliza hivi kutoa tu maoni ni kumpangia mtu jinsi ya kuishi? Maana sijaona popote Mrembo by Nature aliposema au kuamrisha watu waishi vile ambavyo atakavyo yeye.

Kumpangia mtu sidhani kama anaweza; hata kama angependa, ila lugha aliyoitumia kwa maoni yangu ni ya mipasho na kusuta zaidi as if yeye ni authority wa the way watu waishi.

Sasa habari za kupangia watu jinsi ya kuishi zilitoka wapi?
 
sasa wewe kinachokuudhi hapo ni nini, mtu ajilie nyama zake, samaki zake ashushie na bia wewe upate presha ya ------ mmh, dunia ina mambo,

wala sidhani bibie alikasirika, ila ukweli ni kwamba lazma watu waambiane inapobidi. Wala si umbea au kusengenya, ni ukweli tu! Bahati mbaya sana baadhi ya hao wenye vitambi hawavipendi, basi tu uvivu au shughuli nyingi so hawawezi kufanya mazoezi.

Mbona zipo sites nyingi zinazoongelea jinsi gani watu wafanye kupunguza unene/vitambi? Hili limekuwa tatizo, japo baadhi mnaona kama mnafatiliwa!
 
sasa wewe kinachokuudhi hapo ni nini, mtu ajilie nyama zake, samaki zake ashushie na bia wewe upate presha ya ------ mmh, dunia ina mambo,

Ina mambo haswa, ndio unajua leo? kua uyaone si magorofa ila ni kama haya.
 
Mkaa hamna na kuni wamekataza kukata manake msitu ni wa sirikali. Leo nawahi supu kwa shirima nishushie na kabia kamoja then nikajenge taifa.

Unamisika! Usijipoteze sana bana
Asubuhi yote hii ya jumapili si uchemshe supu yako na wewe nyumbani?
 
Mkaa hamna na kuni wamekataza kukata manake msitu ni wa sirikali. Leo nawahi supu kwa shirima nishushie na kabia kamoja then nikajenge taifa.

Unamisika! Usijipoteze sana bana
watuache na vitambi vyetu!
kwani tunawapelekea bill mezani!
ahahahhahaha hebu wanipishe mie!
cha kusubiri kulishwa na mrija nin?
 
hahaaaa!!na ukizingatia kwny
injili hakuna swaga za mobali na ngai
mbona atakoma!!

hahahaaa...! Ila kwa ninavyo mjua lazima atatia ile swaga ya 'kembo na Nzambe etondi mokili' (God's glory is going around the world)
hahahaaa kama namuona vileee!

Pacha hebu mtafute Chimbuvu akamfundishe Arushaone kikongoman mwenzio nakimis ujue!
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo bia ni marufuku kwa wanawake? bia na nyama choma ndio zinaleta kitambi nilikuwa sijui
 
Kiranga, kwani ubishi ulisomea wapi jamani?

Eti nimesomea wapi, wakati chekechea naanza mwezi wa tisa. I took an interest in the philosophy of religion very early, and it entails a lot of philosophical arguments.

Bila ubishi hamna maendeleo. Ubishi uliofanyiwa uchunguzi ni msingi wa falsafa ya usomi.

Na kama alivyosema General Patton, ukiona sehemu kuna makubaliano matupu kila saa, wengine wanaburuzwa hapo.

Bila ubishi Galileo asingetuonesha mapungufu ya Aristotle, Copernicus asingetuonesha mapungufu ya Ptolemy, Einstein asingetuonesha mapungufu ya Newton.

Na tungekuwa tunaishi mapangoni bado.
 
Ngoja nikusaidie dada yangu kuweka vielelezo, wengine wagumu kuelewa:
 

Attachments

  • bonge nayanya.jpg
    bonge nayanya.jpg
    48.8 KB · Views: 69
  • Bonge puto.jpg
    Bonge puto.jpg
    22.1 KB · Views: 63
  • 542653_520387844645801_702056126_n[1].jpg
    542653_520387844645801_702056126_n[1].jpg
    25.2 KB · Views: 56
  • ugly-fat-girls-funny-picture.jpg
    ugly-fat-girls-funny-picture.jpg
    37.6 KB · Views: 80
Back
Top Bottom