I did not detect a scintilla of condescension nor inappropriate lording over somebody in particular. I took it as a general prescription for a healthy lifestyle. What's wrong with that?
Any uninvited advice/ opinion on a matter that is none of ones business pertains condescension. Uninvinted advice/ opinion on a matter that is highly personal, perhaps even medical is not only condescension or inappropriate, but also far into the terrain of inapropriate busybody-ing.
Now, asiyetaka kusikia na azibe masikio na/au asisome. Apotezee. As simple as that.
Kwa nini asitake kusikia?
Hii hoja ingekuwa na nguvu tu kama ushauri ungeelekezwa kwa mtu mahsusi.
I am dazzled and befuddled over here.
Hii hoja ina nguvu precisely kwa sababu ushauri haujaelekezwa kwa mtu mahsusi. Angalau ushauri ungeelekezwa kwa mtu mahsusi mtoa ushauri angeweza kusema mpewa ushauri yuko katika kumi na nane za kaka yetu, na sisi katika familia yetu hatutaki wifi awe na kitambi.
Na wewe unaweza kuulizwa kwani hayo maoni yanakuhusu wewe Papa Kiranga?:biggrin1:
By definition maoni yote yanayoletwa JF yanamhusu Papa Kiranga.
Kwani kutoa maoni nako ni lazima uwe na qualification?
Kuna tofauti kubwa ya kimtazamo kati yangu nawe. Wewe mpaka sasa unatazama haya kama maoni, wakati mimi nimesema haya hayajaishia kwenye maoni yameenda kwenye condescension na the preachy realm of lording it over them.
Kila mtu yuko huru kutoa maoni yake
Sawa. Except haya si maoni. Ni condescension iliyokosa humility ya kuwafikiria wengine kama ni binadamu wenye uwezo wa kujiamulia mambo yao wenyewe.
kwa mujibu wa anavyoona yeye ili mradi tu maoni yake si sheria.
Kashawekea watu shurti kwenye post, umeisoma?
Licha ya hayo, tajiriba ya maisha ni qualification tosha kabisa.
Qualification gani? Ya kuwashurutisha wenzako belly girth unayotaka wewe?
Maoni ya mtu mmoja kulingana na jinsi aonavyo yeye si mamlaka ya kuamua mstari wa acceptability unafutwa na kuchorwa wapi.
Except masharti si maoni.
Mbona hata hawajalazimishwa kusikiliza.
Kulazimishwa kusikiliza maneno mabaya si lazima ili maneno mabaya hayo yawe mabaya.
Ukibroadcast genocidal hate speech redioni huwezi kujitetea kwamba "sijawalazimisha kusikiliza".
Kama namna gani si wapotezee tu.
Kwa nini niwapoteze tu?
Mangapi tunasoma humu na tunayapotezea?
Ukiona kitu pinda halafu ukakipotezea ni haki yako kama ukiona hela barabarani ukaiacha usiiokote.
Hilo halina maana kwamba mimi nikiona hela imeangukia mtaani haina mwenyewe sina haki ya kuiokota.
Just because you do not pursue all of the posts you think nonsensical, it does not mean I should do the same.
Even prosecutors do not pursue all the cases which they deem worthy of pursuing.
Moreover, I too do not pursue all the posts I deem nonsensical, so what is your litmus test to determine "this is someting worthy of a discussion" and this is "mpotezee tu" territory? You surely do not let everything you disagree with slide by. You are attempting to put on your anti-pope cap in this very thread.
Acha watu wafunguke bana.
Hakuna nilipokataza watu wasifunguke. Mimi natetea kufunguka hata kama ni kufunguka kwa upuuzi tunaoweza kuupinga. Ni kwa kufunguka hivi tu ndivyo sote tunavyoweza kujifunza.
Hilo halimaanishi nikiona simplistic condescension niiachie tu.
Kama hupendi skip mabandiko yao.
Of course napenda, ndiyo maana nikajibu post. Post nisizozipenda nimezisoma na kuzi skip kabla ya wewe kuniambia.
Yeyote anayejibiwa nami post yake kwa maana moja au nyingine nimeipenda.
Hata kama ni kwa maana ya ku expose simplistic condescension tu.
Kama hukubaliani nao basi na wewe funguka kwani hujakatazwa wala kuzuiwa na mtu.
I have done nothing but that this entire thread, nifunguke mara ngapi?
Si ndo uhuru wenyewe huo...au nakosea?
Naam.Na mimi ni muumin wa uhuru. Ndiyo maana sija i report thread ifungwe, na thread ikifungwa nitalaumu ufujaji wa uongozi. Sijamfunga mtoa mada wala watetezi wake kutoa maoni ya upande wao, maana wanaweza kunielimisha kwamba kwa minajili hii na hii mada yao ina mambo ya msingi.
Mpaka sasa hawajanipa lepe la maelezo yakunitosha.
Wewe hicho kipimo cha staha umekitoa wapi hadi udai mwenzio kakosa staha ndogo?
Kipimo cha staha nimekitoa katika kanuni ya kutojiingiza katika mambo yasiyokuhusu, kukunufaisha wala kukudhuru.
Mbona na wewe umepinga maoni yake?
Kwa sababu kayaleta JF yajadiliwe.
Hiyo haki na wajibu wa kuyapinga maoni yake umeitoa wapi wewe Papa Kiranga?
Kanipa mtoa mada kwa kuyaleta maoni yake JF.
Au kwa vile wewe ni Papa :smile-big: basi unajiona una haki ya kufanya na kusema chochote upendacho?
Papa zaidi ya yote ni mtumishi wa wote. Kwa hiyo anaangalia wajibu kuliko haki.
Kwanza nani alikupa wewe huo Upapa wako? Papa wa wapi wewe? Upanga?
Kabla ya hilo, nikuulize "Papa" ni nini?
Halafu mbona unataka kunidhulumu kwa Upanga tu? Hujataja Oysterbay, Kurasini, Sinza,Tabata, Mbezi Beach,Gotham, New Jerusalem,Tokyo,Nairobi, Kampala, Kinshasa,Mwanza, Gambosh ?
Wala siyo ngumu hata kidogo. Narudia tena, kama angemlenga mtu mahsusi basi hoja yako ingekuwa na nguvu.
Specificity is king, why are you touting the lack of specificity as king?
Angekuwa specific tungeweza hata kujua kwamba anazungumzia jimama la sanamu ya Michelin lililompokonya bwana, tukamhurumia.
Lakini kawa general kakosa specificity hatuwezi hata kumhurumia hata kama alikuwa ana vent kwa jimama la "taarab iko huku" la sanamu ya Michelin.
Lakini siyo kwenye mambo ya jumla jumla kama hayo ya vitambi.
Jumla jumla ndo tatizo. Kuwa jmla jumla ndiko kunakolundika vitu na kufanya original thread iwe inappropriate.
Kunawalundika walio na matumbo waliotajwa kama wote wako sawa.Hawako sawa. Ujumlajumla si utetezi.Ni kitu cha kuonea haya.
Yaani watu tushindwe hata kutoa maoni ya jumla kuhusu jamii kwa hofu ya kuingilia mambo binafsi ya wengine?
Except haya si maoni, ni masharti.
Kwani tuko Pyongyang hapa ambako mtu pekee anayesujudiwa na kuogopwa ni Dear Leader peke yake?
Precisely my point. Kwani tuko Pyongyang hapa ambako Dear Leader ana prescribe the abdominal girth to a millimeter?
Maybe she is a fitness enthusiast (like myself) and can't stand the caloric input and in the least the lack of corresponding output that some people are up to their eyeballs day in day out and so she felt the need to get it off her chest.
There is nothing wrong with being a fitness enthusiast. I have a treadmill in my basement and some serious weighs in my garage gym. I do use them several times a week.Not to mention the various calisthenics. But that does not give me the entitlement to vitriol over others just because I appreciate fitness.
Just like I wouldn't want them to vitriol against my exercise regiment and label me a narcissistic gym hampster.
It's one thing to say "If you have an unwanted girth, here is the concoction of water and vinegar to get rid of it and the requisite diet" and quite another to irresponsibly diarrhea over the issue.
Again, I ask, what is wrong with that?
The needless condescension, the oozing vitriolic vile bile, the holier tan thou lording it over.
If one is a fitness fanatic without realizing that fitness is for oneself, and never for lording it over others, they are merely involved in a shallow pageantry and missing the essential nugget of fitness, which is self improvement.
Kuna watu wanajiandaa kuingia ligi ya Sumo wanaozijua wao wenyewe ambazo vitambi vinaweza kuwasaidia, hao nao mtataka kuwapangia abdominal girth kwa viwango vyenu arbitrary?
A central tenet of fitness is discipline of mind. The original post hardly exhibited that.