geniusMe
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 1,313
- 1,793
ni vampire diariesNi The Originals wapendwa
ni vampire diariesNi The Originals wapendwa
Ahsante kwa kunielewesha.Wewe hujawahi angalia Vampire Diaries. Klaus alianzia huko kabla The Originals haijazaliwa.
The Originals ni spin off ya Vampire Diaries
ni vampire diaries
Kuna season alikatwa uume, kwa hiyo hakuwa na madhara kwa Sansa.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora kaenda atuachie mke wetu Sansa house Lannister tumle maana alishaanza kumchekea chekea.
Ila Theon kama deni la kuwageuka Starks kalilipa lote na riba juu.
Ila angekua nao angemtembezea moto Sansa....waliangaliana Kwa hisia sana episode ya piliKuna season alikatwa uume, kwa hiyo hakuwa na madhara kwa Sansa.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pia alivyomuua giant. hizo ndio scene zilizonivutia kwenye episode 3Nimependa episode 3. Ingawa Brian hakuna alichokifanya. Arya she is the best the way alivyomuua night king. Yaani un expected
kwa mtazamo wangu itaifunika. sijaipenda hii episode 3 maana giza giza sana mpaka sijafaidi. ila Theon amenifurahisha sana, amekufa kishujaaMkuu bado nyingine tatu. Kuna ya battle na Cersie,labda inaweza ifunika hii episode 03
Team Arya OyeeeeeeArya my hero. I love you. Dah yaani amenikosha kusema ukweli.
Mkuu mbona kwangu ilikua Safi tu,kama unatumia simu ongeza mwanga mpaka mwisho na pia ningeshauri utumie Mx Player,nayo ongeza brightness had mwishokwa mtazamo wangu itaifunika. sijaipenda hii episode 3 maana giza giza sana mpaka sijafaidi. ila Theon amenifurahisha sana, amekufa kishujaa
Haka kaandunje kalinifurahisha sana hapoTyrion : If I was out there right now...
Sansa : You'd die , there is nothing you can do.
Tyrion : You might be surprised at the lengths i'd go to avoid joining the Army of the Dead. I could think of no organization less suited to my talents.
English ya Tyrion inanifurahisha sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Klaus ameanzia kwenye vampire diaries.Baadae ikazaliwa Original.Nadhan kama umefatilia zote utaelewaNi The Originals wapendwa
Spartacus imenifanya nikapenda series zinazoendana na hio.Spartacus nimeangalia mara tatu imenishinda ila siku nilikua nimeboeka sina cha kuangalia na humu majukwaani wamesifia saana.Nikaona nijilazimishe kuangalia kama nakunywa dawa.From nowhere nikakuta naanza kuielewa na nikaiangalia mpaka episode ya mwishodepends on your taste...mie ninayo, lakini nilishindwa kumaliza hata single episode... i hope itakuwa ni mzuri but it's not my taste! those Spartacus stuffs make me sick but when I gave the series to my nephew; dah! kaifagilia ile mbaya.
Ila aliteswa sana dah!had hurumaKuna season alikatwa uume, kwa hiyo hakuwa na madhara kwa Sansa.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna season alikatwa uume, kwa hiyo hakuwa na madhara kwa Sansa.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tell a jokeTyrion : If I was out there right now...
Sansa : You'd die , there is nothing you can do.
Tyrion : You might be surprised at the lengths i'd go to avoid joining the Army of the Dead. I could think of no organization less suited to my talents.
English ya Tyrion inanifurahisha sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Ana masifa Yule.sijui kama bado Yuko haiThey call me Giantsbane. Want to know why? I killed a giant when I was ten. Then I climbed right into bed with his wife. When she woke up, you know what she did? Suckled me at her teat, for three months. Thought I was her baby. That's how I got so strong: giant's milk[emoji16]