Nimeanza kujiuliza na mimi etibado najiuliza ni kwa nini knight king hakutaka kupugana na john snow?
Tormund anakwambia giantmilk zimemfanya awe na nguvu[emoji3][emoji3][emoji3]
Saivi rank ya episode zangu
1. Battle of Winterfell
2. Hardhome
3. Battle of the bastards
4. The red wedding
Naona watu waltegemea the night king ataongea hii episode ila kaachia kitabasam tuu cha kumkejeli Daenerys....Jon Snow alkua anategemea nn kumkimbilia night king vile aisee....anafanya kama alvofanya kwne battle of the bastards kumkimbilia Ramsay, hisia zake ztamuua.
Brienne, Tormund na Jaime hawajafa...cjui nan atapta na mtoto Brienne
Kuna kitu Jon atakua nacho ndo mana ata season za nyuma walpokutana hardhome jamaa almkata jcho sana Jon.Nimeanza kujiuliza na mimi eti
Huyu tyrion sijui ndo mrisho mpoto wa England? Ana Dictionary kichwaniTyrion : If I was out there right now...
Sansa : You'd die , there is nothing you can do.
Tyrion : You might be surprised at the lengths i'd go to avoid joining the Army of the Dead. I could think of no organization less suited to my talents.
English ya Tyrion inanifurahisha sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Tyrion : If I was out there right now...
Sansa : You'd die , there is nothing you can do.
Tyrion : You might be surprised at the lengths i'd go to avoid joining the Army of the Dead. I could think of no organization less suited to my talents.
English ya Tyrion inanifurahisha sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaaa umeniacha hoi....ila Arya mbabe hadi kwa 6×6Hata Gendry nae kapona kwahyo saivi ni mwendo wa kutembezeana moto na Arya
Klaus ni katil sana kwenye vampire diaries.Japo nae alikua anamwogopa babake yake.Napenda anavoongea kwa madoidoYani baada ya Klaus wa Vampire Diaries sikudhani nitafall inlove na adui mwingine wa kwenye Series ila Night King ni nyoko.
Aliachia kasmile flani ka kejeli baada ya Danny kupoteza moto wake kumuunguza.
Na zaidi ya yote hana haraka. Ulipo atakufikia!
Ukiangalie ya 3 utabadilisha comment yakoEpisode 2 ni moja kati ya episode nzuri na bora.
Ngoja niangalie ya 3 sasa
Hahaha , episode 2 inabaki kuwa nzuri kwangu - sababu ina wakutanisha characters wengi muhimu.pia iko emotional, hakuna mtu kufa.Ukiangalie ya 3 utabadilisha comment yako
The kingslayeer............Mtoto balaa sana huyuView attachment 1084469
Hahahaha...jamaa poa sana amevaa uhisika.Natamani wamrudishe .Yule alipaswa akutane na Cersie kabisa.Yani baada ya Klaus wa Vampire Diaries sikudhani nitafall inlove na adui mwingine wa kwenye Series ila Night King ni nyoko.
Aliachia kasmile flani ka kejeli baada ya Danny kupoteza moto wake kumuunguza.
Na zaidi ya yote hana haraka. Ulipo atakufikia!
''Not Today'' then kaanza mwendo mdogo mdogo hahahaaa AryaThe kingslayeer............
Yani baada ya Klaus wa Vampire Diaries sikudhani nitafall inlove na adui mwingine wa kwenye Series ila Night King ni nyoko.
Aliachia kasmile flani ka kejeli baada ya Danny kupoteza moto wake kumuunguza.
Na zaidi ya yote hana haraka. Ulipo atakufikia!
Ni The Originals wapendwaKlaus ni katil sana kwenye vampire diaries.Japo nae alikua anamwogopa babake yake.Napenda anavoongea kwa madoido
Hata mimi imenishinda kabisa, nimejaribu zaidi ya mara moja kuitazama bado ikanishinda.depends on your taste...mie ninayo, lakini nilishindwa kumaliza hata single episode... i hope itakuwa ni mzuri but it's not my taste! those Spartacus stuffs make me sick but when I gave the series to my nephew; dah! kaifagilia ile mbaya.
Ni The Originals wapendwa