SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Dorthorak waliwekwa front line ina make sense kwanini walipigwa ghafla maana walikuwa wametawanyika sana
 
Tyrion : If I was out there right now...

Sansa : You'd die , there is nothing you can do.

Tyrion : You might be surprised at the lengths i'd go to avoid joining the Army of the Dead. I could think of no organization less suited to my talents.

English ya Tyrion inanifurahisha sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jamaa poa sana huyo..alijua anaenda kuwala wote kule.Alijiamini sana.Needle a.k.a Arya kamaliza mchezo vyema sana.Naona Cers jinsi atakavyokurupuka kuja kuvamia huku walioshandana na Wafu...
Cersie hatoamini macho yake kwa kitakachomkuta
 
Mnanipa morali ninayo mpaka ya 6 hata episode moja sijagusa, itabidi nianze kuangalia
Kuna visa vingi sana kwa hii kitu ila kama hupendi mapanga mapanga bado kuna visa vingi vya kusisimua kama The Red Wedding na vingine vingi.Binafsi nilikaa nayo siku niliposema ngoja niangalie.Hahaha...
 
Cersie hatoamini macho yake kwa kitakachomkuta
Ninahisi kama watapigwa mwanzoni...
1084274

Huyu atakuwa mkombozi wao...maana ana kisa na yule Uncle wao.
 
Theon kaonyesha ubishi wa hali ya juu, pigo sana kuondoka kwake mapema.
 
View attachment 1084110
Mwamba kafa daah nimeumia mno..huyu Bwana alikuwa amsha amsha mno....Alionekana mara chache ila habari yake hahahaaha.

Yani baada ya Klaus wa Vampire Diaries sikudhani nitafall inlove na adui mwingine wa kwenye Series ila Night King ni nyoko.

Aliachia kasmile flani ka kejeli baada ya Danny kupoteza moto wake kumuunguza.

Na zaidi ya yote hana haraka. Ulipo atakufikia!
 
Kwenye hii scene Arya ni jinsi Arya alivyo mmaliza Knight King
 
Bora kaenda atuachie mke wetu Sansa house Lannister tumle maana alishaanza kumchekea chekea.

Ila Theon kama deni la kuwageuka Starks kalilipa lote na riba juu.
Amefuta makosa yake, bran alijua kama theon hatoboi kwa king. Ndiyo maana alimwambia thank you. Kazi yako imeisha tusubiri tu rehema za mungu
 
Back
Top Bottom